viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Maandamano yajayo yawe ni ya viongozi wa kisiasa/uponzani na wanaharakati na familia zao

    Hakuna kiongozi wa serikali na kisiasa aliyepoteza ndugu wa familia au mtoto ktk vurugu zilizopita sasa iwe zamu yao kuandamana/kufanya vurugu wakati ujao. Za kuambiwa changanya na za kwako
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Nashauri viongozi waache kusema watu walioko nje ya nchi ndio wanachochea ya ndani. Kana kwamba huku ndani mambo ni shwari

    Hamjambo! Nimemsikia viongozi kadhaa wakisema na kulaumu watu walioko nje kama kina Mange Kimambi na wengineo wao ndio wanachochea vurugu na amani ndani ya nchi. Kauli hiyo inatolewa ni kana kwamba huku ndani watu wako sawa na hakuna tatizo. Kauli kama hizo zinatufanya tukimbie ukweli na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa Usalama

    Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa usalama Ni muda tu tutajua lakini kama mimi ni kiongozi wa ulinzi na usalama Tanzania mambo si mazuri
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Si viongozi wote hupata NEEMA na KIBALI cha heshima hii

    Pamoja na matumizi ya mabavu katika kuhakikisha CCM inasalia madarakani, Nchi hii haijawahi kushuhudia uchaguzi uliosuswa na kuleta unyonge katika mioyo ya watanzania kama uchaguzi huu wa mwaka 2025. Wakati ule CHADEMA ilipokuwa na kasi mno na hata matukio ya vurugu yalikuwepo sana tu na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiacha viongozi wao, wanausalama wote hawana furaha!

    Wameenda kwenye majeshi, idara za usalama kwa uzalendo lakini sasa wakubwa wao wamekuwa mafisadi wakubwa na kuunga mkono unyanyasaji! Sasa kuna tatizo jipya kubwa Tanzania la wanajeshi kuamini nao viongozi wao ni mafisadi
  6. N

    JamiiForums Tanzania FlightRadar inaonesha ndege aina ya Boeing ikielekea kusikojulikana. Je, kuna utoroshaji wa pesa za umma au viongozi wakubwa wanakimbia nchi?

    Air Tanzania Dreamliner ime take off from JNIA masaa machache yaliyopita huku uelekeo ukionesha ni private. Unadhani kuna nini kinaendelea hapa?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi watakaohudhuria Uapisho wa Rais (Mteule), November 2025

    Ndugu zangu nawasalimu nikitokea kupiga Kura kwa Kitambulisho changu cha NIDA. Hapa nawaletea orodha ya viongozi na Watu Maarufu watakaouhudhuria Uapisho wa Rais (Mteule) hapo November 2025. 1. Dr William Ruto (PhD), 2. Yoweri Museveni, 3. Paul Kagame, 4. Paul Biya, 5. Felix Tshisekedi, 6...
  9. JamiiForums Tanzania Sala ya Kuwaombea Viongozi na Waathirika wa Hali ya Kisiasa Tanzania

    Baba Yetu wa Mbinguni, tunakushukuru kwa upendo wako mkuu na rehema zisizo na mwisho. Tunakutolea sala hii, tukiwa na majonzi ya mioyo yetu, tukiwaombea viongozi na wananchi waliokumbwa na maumivu na mateso katika taifa letu. Tunakuomba, Baba yetu, uingilie kati kwa huruma yako isiyokwisha. 1...
  10. JamiiForums Tanzania MAONO: Mauaji ya viongozi na ugaidi kushamiri nchi moja Afrika mashariki 2025-2030 kama kisasi kutoka kwa raia

    kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa 1.Mauaji ya polisi kushika kasi 2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe 3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga tunataka mtuletee Soup na Chapati Uwanjani pamoja na Maji

    Naomba niweke hili ombi ili tuingie uwanjani mapema basi watuletee supu chapati mida ya saa 5 asubuhi. Hii itatuhamasisha sana na kutupa roho ya kuishangilia team. Pia tutaweza kuja kwa wingi uwanjani. Hersi pambania jambo hili. Maana naona kama mnajisahaulisha kuwa mashabiki tutakuja hapo...
  12. JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kwa viongozi wa serikali na makundi ya kiimani kutangaza amani huku watu wakitekwa na kupotezwa kusipojulikana

    Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa CHADEMA mko wapi wakati huu viongozi wenu wakisulubiwa?

    Kuna wakati CHADEMA hawakuwa watu wanyonge namna hii, Askari anakamata viongozi wa chama bila maelezo na kinyume na sheria na wafuasi mmekaa mnatazama tu! Askari wanajifanyia wanavyojisikia na kutumiwa na CCM lakini CHADEMA mmekuwa wanyonge mno! Huenda viongozi wana sababu kujiweka mbali na...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mnapigisha shot ili Yanga itolewe hatua za awali, kubadili hamasa ya maandamano

    Sisi Wanachama wa Yanga wazalendo tuliwaasa kuhusu kujihusisha na siasa hasa CCM Sasa Kuna tetesi kuwa mmetumwa na CCM ili mfanye muwezavyo ili Yanga itolewe hatua za awali ili kubadilisha mjadala na hamasa za maandamano Kwamba vijana na Mashabiki wa Yanga watumie muda huu wa dhahabu...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wamekaa kimya suala la Heche kuzuiwa kwenda kumzika Odinga

  16. JamiiForums Tanzania Kwamba nao watakaa tu kimya na kutazama imani yao inavyobagazwa na kubanangwa?

    Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua? Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
  17. JamiiForums Tanzania Ukanda ya Ziwa Victoria (Nyanza) ni eneo linalotoa viongozi wa kimkakati sana, shupavu, na watu kazi

    Watoto wawili kutoka Ziwa Victoria na kama Wakoloni wasingetutawala na kuweka mipaka au wakazi wanaozunguka ziwa Victoria wangetengeneza nchi yao. basi Ukanda wa Nyanza (Ziwa Victoria) ungekuwa ukanda tofauti sana, tumbo la Ziwa lile limetupa Watu Mashujaa sana kwenye majukwaa ya siasa na...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi, viongozi wanawatoa wananchi akili? Wanajitoa akili au wao ndio hawana akili?

    Mwaka 2025, bado wanawauzia wananchi hofu, eti "tunu hii ya amani tuilinde" Amani gani ? Na wanaposema amani wanamaanisha "uninga wa wananchi", so wananchi waendelee kuwa wajinga ili wao wazidi kuneemeka na watoto wao, wakitumiana miamala ya ma bilioni. But this is the end.
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini uelewa wa haki ni mdogo sana kwa viongozi wengi wa CCM?

  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Bodaboda Arusha wapo 'Lokapu' wakituhumiwa kula hela za kempeni za chama cha Siasa

    VIONGOZI watatu wa Umoja wa Bodaboda Jiji la Arusha (UBOJA) akiwemo Mwenyekiti wao Costantine Okelo, Katibu Hakimu Msemo, na mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Hemedi maarufu kama Osama, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa zaidi ya wiki moja wakikabiliwa na tuhuma za kula fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…