viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zoezi la ugawaji wa pembejeo kwa wakulima, RC Mtwara wabane sana viongozi wa vyama vikuu vya ushirika kuna mchezo wanaucheza

    Zoezi la ugawaji wa pembejeo Kwa kiasi kikubwa linatiwa dosari na viongozi wa vyama vikuu vya ushirika. Wengi wao wanahujumu pembejeo za wakulima Kwa kujilimbikizia viwatilifu na kuviiza. Lakini pia waangalie Kwa umakini maafisa ushirika Kuna mchezo wanaucheza Kwa kushirikiana na makatibu wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Rais Samia atakugombanisha wewe na Wanachama, Wafuasi na viongozi wenzako wa CHADEMA

    Mwenyekiti Mbowe, kwa yanayoendelea nchi hii na kwa reaction ya wana-CHADEMA kufuatia maamuzi ya Spika kuwalinda Mdee na Wenzake, naiona hatari ya Rais Samia kukugombanisha na viongozi wenzako wa CHADEMA pamoja na wafuasi na mashabiki wa chama hiki. Hizi ni tweets za Martin Maranja Masese...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo niliona viongozi wakifurahi katika shughuli za kitaifa, kumbe wanafurahia posho sio uzalendo

    Aisee nilikuwa sipo sahihi, nilidhani viongozi wanapenda nchi yao Hadi nikawa inspired, toka nipo msingi shule tunaitwa na walimu tushiriki shughuli za viongozi, mama anawaandalia mihogo asubuhi nyumbani muende uwanjani kushiriki. Nilichogundua kumbe wakubwa wanalipwa posho kubwa sana kushiriki...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa ACT-Wazalendo Tunduru Washinda Kesi

    VIONGOZI ACT WAZALENDO TUNDURU WASHINDA KESI: Viongozi wa ACT Wazalendo kutoka Mkoa wa Kichama wa Selous (Wenye Majimbo ya Tunduru Kusini, Tunduru Kaskazini na Namtumbo) waliokuwa na kesi ya kushambulia na kujeruhi katika Mahakama ya Wilaya Tunduru wameachiwa huru baada ya kukutwa hawana kesi...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi huwekwa wa MAKUSUDi ili kubomoa Jamii

    Hii inatokea sana Duniani kote, kuna Viongozi huletwa mahsusi kwa kazi moja tu ya kubomoa jamii ambayo tayari ilikuwa imeshaanza kujitambua, ikumbukwe kwamba poverty ya Afrika ni biashara, kuna watu wanaishi kwa sababu ya poverty ya Afrika na wana Mishahara ya kukufuru, fikiria tu kwa mfano UN...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la sasa ni la walalamikaji sio la viongozi!

    Wabunge wa bunge la sasa wengi ni walalamishi na washabiki badala ya kuwa viongozi. Sasa bei ya mafuta mnataka Rais afanyeje kama bunge lenyewe haliwezi kukata kodi. Kukata kodi inabidi mkate na budget! Sasa mnataka mishahara iongezeke, kodi ipunguzwe , miradi imalizike na Mama asikope sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja!

    Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa! Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo sambamba na hali halisi ya nchi yetu! Kumbuka tu tunasema kuwa nchi yetu ni ya amani na utulivu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, unadhani kwa ulichobaini Mwanza, viongozi wa mkoa wanakusaidia wewe na Rais? Kama umebaini awawasaidii wanafanya nini ofisini?

    Ukifutalia maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu huko Mwanza Kuhusu uundaji wa meli pamoja na ubainishaji wa mitaa utabaini haya Siyo mambo yakumsubiri Mhe. Waziri Mkuu ndipo hatua zichukuliwe, Kuna viongozi wamekaa ofisini bila kutimiza wajibu wao. Kwa nchi za ulimwengu wa kwanza baadhi ya viongozi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri January ni kweli hatuzalishi Mafuta ila Afrika inazalisha Mafuta: Tanzania ni Mhanga wa uzembe wa viongozi wa Kiafrika

    Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa uwekezaji wa kutosha katika soko la juu (upstream market). Masoko ya uzalishaji katika bara zima la...
  10. JamiiForums Tanzania Tusiruhusu Rais na Viongozi wetu kutishwa na wahuni kwa namna yoyote

    All potential advisers and decision makers kamwe tusiruhusu Rais wetu na viongozi wote kutishwa na wahuni.Tanzania bado ipo stable sana tu.all what is prevailing has been planned! Viongozi wa ngazi zote wajiamini katika kutekeleza malengo ya chama na Serikali. Hakuna muhuni atakayeishinda mama...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna mkakati wa kuwatisha viongozi wa nchi hii?

    Wana JF na Watanzania, Kuna kundi limejitanabaisha humu kama wao ndio waamuzi wakuu wa hatma ya nchi. Huko nyuma mwandishi mmoja wa kundi hilo amekuwa akiandika na kuyaita maandishi yake kama "maono", badae akaanza kusema anawasilisha yaliyopitishwa "mezani", badae alivyopata kuaminika hasa...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Warithi wa viongozi walioshindwa kuliandalia taifa lao warithi wengine kama wao au zaidi

    Nakumbuka miaka ile ya utotoni namna chuo cha uongozi cha kivukoni kilivyokuwa maarufu. Ukipanda pantoni pale feri ndani ya dakika chache umeshafika Kivukoni. Walikuwepo makada halisi wa Chama waliokuwa wakiandaliwa na Hayati Julius Nyerere akishirikiana na wakongwe wengine. Yale yalikuwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa dini wanavaa kweli ndani?

    Hapa kiongozi huyu wa dini yupo ndani ya nyumba ya ibada anasali. Ila, kwenye dakika ya 17:40-17:43 inaonekana kama ndani hakuna kitu. Hivi huwa awavai ndani?
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini Tambueni, Tume Huru itapatikana ktk Katiba Mpya. Sisitizeni Katiba Mpya kabla ya 2025

    Tupate Katiba Mpya ambayo itaweka wazi kuwa viongozi wa Tume ya Uchaguzi kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka wasimamizi wa uchaguzi wawe watu huru wasiofungamana na upande wowote na wasiwe na vinasaba vya kufungamana na chama chochote. Huu ndio utakuwa msingi wa kisheria wa kuwa na tume huru...
  15. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tunahitaji kujitafakari

    Sisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu kwenye michuano ya kimataifa lakini baada ya kutupwa nje kwenye michuano hiyo kwa sasa tumeanza...
  16. JamiiForums Tanzania UVCCM Mwanza" watapeli" mamilioni ya pesa, viongozi wagawana

    UVCCM Mwanza" watapeli" mamilioni ya pesa, viongozi wagawana Katika hali ya kusikitisha Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, wanadaiwa kutapeli zaidi ya milioni 80. Tuhuma za UVCCM wilaya ya Nyamagana zinawakabili watu wawili ambao ni viongozi, Mwenyekiti wa UVCCM wilaya...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini tabia za maisha ya kawaida ya viongozi wa Kitanzania wakiachia madaraka hubadilika?

    Kuna life style flani la viongozi wa kitanzania wakiwa maradakani huionesha jamii kupitia mitandao yao ya kijamii lakini punde wakishatoka madarakani style hiyo hupotea ghafla, labda waanze tena Leo baada ya Uzi huu! Mfano; Wakiwa madarakani utaona wakipost wapo jimu (gym) nakutufanya sisi...
  18. JamiiForums Tanzania Kinana: Viongozi wazuri wanaogopa kugombea sababu wanajua watatakiwa kutoa fedha nyingi

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewata wajumbe wa Mkutano Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro kuchagua watu sahihi wanaokubalika na wananchi. Aidha, amewataka kuepukana na kasumba ya kupigana fitna na tabia ya watu wenye uwezo ndani ya chama kupigwa vita ili kuwarudisha nyuma...
  19. JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

    Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!! Tazama na...
  20. JamiiForums Tanzania Mama Salma Kikwete, kutaka wake wa viongozi wakuu wapewe pension ni kumkufuru Mungu!

    Kwa kweli nilishtushwa Sana niliposikia mama Salma Kikwete, akilitumia Bunge la Jamhuri ya Tanzania, badala ya kuongelea Shida za watu wa Jimbo lake la Mchinga, anaongelea mambo yake binafsi. Eti anataka yeye kama mke wa Rais mstaafu, naye alipwe pension! Hivi hawa viongozi wa CCM wanatuonaje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…