viongozi wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama ni kweli viongozi wa CHADEMA mpaka sasa wanaamini No Reforms no Election, basi chama hakina viongozi

    Husika na mada tajwa hapo juu: Nashangazwa kuona slogan ya no reform no election ikiendelezwa na viongozi wakuu wa chadema ili hali wanaona kuna maelfu kwa maelfu ya watu wanachukua form za kugombea uongozi ndani ya Nchi yetu. Hii ni ishara kuwa chadema hakuna viongozi kabisa na sidhani Kama...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kufanya kikao na balozi mbalimbali nchini, kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa, huu siyo ukiukwaji wa mkataba wa vienna?

    Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya ndani ya nchi hasa...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kufanya kikao na mabalozi mbalimbali nchini kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa, huu siyo ukiukwaji wa mkataba wa Vienna?

    Golf Mike Uniform! Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA kufanya kikao na balozi mbalimbali nchini, kwa lengo la kujadili hali ya kisiasa, huu siyo ukiukwaji wa mkataba wa Vienna?

    Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini tarehe 30/06/2025 kuanzia majira ya saa 9 alasiri Viongozi wa CHADEMA kwa kushirikiana na Mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha Mataifa yao nchini wanataka kuvunja sheria na kanuni za kidiplomasia kwa kuangilia mambo ya ndani ya nchi hasa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dhambi waliyoamua kuifanya baadhi ya waliokuwa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM kumtoa sadaka ya mateso Lissu, itaamua maisha yao badaye

    Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapata picha gani Viongozi wa CHADEMA ambayo haitashiriki uchaguzi kukubalika kwa wananchi kuliko vyama ambavyo vitashiriki uchaguzi

    Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma. CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha wiki 2 hizi viongozi wa CHADEMA warejee kwenye ziara binafsi za "engagement". Safari hii lengo liwe ni kutunisha tone tone

    Wawatembelee:- 1. Viongozi wa dini. 2. Wafanyabiashara. 3. Marafiki wa chama wa nje na ndani ya nchi. 4. Asasi za kiraia. Kwa lengo la kutunisha misuli ya kifedha kupitia wadau hao.
  8. JamiiForums Tanzania Kuzuiwa Lema kutoka nje ya nchi ni dalili viongozi wa Chadema wapo kifungoni.

    Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Godless Lema: Nimekwama kwenda Nairobi kutokana na zuio la Viongozi wa CHADEMA kusafiri nje ya nchi

    Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amedai kuzuiwa kusafiri nje ya nchi leo mchana katika mpaka wa Namanga wakati akielekea Nairobi, Kenya. Lema amesema akiwa katika ofisi za Idara ya Uhamiaji aliambiwa kuna zuio kwa viongozi wa CHADEMA kusafiri...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA jitengeni maneno ya udini kwa baadhi ya wanachama wenu

    Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi. Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na...
  11. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wapya wa CHADEMA wamechagua mtindo wa kufoka, wanapohutubia kwenye mikutano yao?

    Hususani kwa wenye maoni na mitazamo tofauti na ya chama hicho? Na kwanini viongozi wapya waandamizi wa chadema wamechagua mtindo wa kuropoka, kufokafoka na kugomba, wanapohutubia kwenye mikutano yao ya hadhara badala ya kusemezana taratibu na wanachama wao na kuwashawishi wananchi wengine kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kauli za Viongozi wa CHADEMA kila anayewakimbia wana mbeza ikome.

    Heshima sana wanajamvi. Imekuwa kawaida na utaratibu kila mwanachama au kiongozi wa CHADEMA anayeondoka kupewa majina mabaya ana tamaa,mamluki,wamenunuliwa,team Mbowe na nk. Viongozi na wanachama wa kawaida wanaondoka wengi wametoa sababu mbali mbali nyingine zina mashiko na nyingine hazina...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni mafuriko: CHAUMMA kupokea wanachama wa CHADEMA 3,000, mkutano kufanyika Ubungo Plaza

    Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema. Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000. Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Maskini! Lissu alengwalengwa na machozi baadi ya kusikia maelfu ya viongozi wa chadema wamkimbia chama

    Uso wake umesinyaa kwa huzuni kubwa baada ya kusikia kuwa viongozi wanaadamizi kama kina Benson Kigaila, John Mrema, Salum Mwalimu, Sungu na viongozi wengine wengi wakimkimbia Lissu. Maelfu ya wanachama wakimbilia vyama vingine huku wakimuacha Lissu na Heche wakishangaa, hawajui cha kufanya...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Dickson Matata: Uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kutotambua baadhi ya viongozi wa CHADEMA hauna uhalali wa Kisheria upuuzwe

    https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Viongozi wa Chadema waliojiondoa kwenye chama nafasi zao kuzibwa

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No Reform, No Election". Agizo hili limetolewa leo Alhamisi Mei 15 mjini Bariadi wakati wa mkutano wa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA rudisheni panga alani mjipange upya

    Shalom. Naomba VIONGOZI wa CHADEMA Mh Heche rudisheni panga alani mrudi mjipange. Mkakati niuonao rohoni sio mzuri la sivyo manakwenda kuzima taa ya ukombozi wa Watanzania. Nionavyo barua ya msajiri msiichukulie poa. Kinachoundwa ni kuwatengua viongozi wote wakuu rejea barua ya msajiri. Kisha...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya ajabu yanafanywa na viongozi wa Chadema chakavu

    Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Chadema ndio wanapaswa kulaumiwa na wanachama wao kwa kukataa kusaini kanuni za maadili na sio kuilaumu Tume Huru ya Uchaguzi

    Nimemshangaa sana mzee wetu Warioba Kuishangaa Tume na kuzishangaa Kanuni za uchugazi badala ya kuwashangaa Viongozi wa Chadema (Katibu Mkuu) ambaye kwa Jeuri tu walisusia kusaini kanuni hizo za uchaguzi na huku wakitambua kufanya hivyo kutawazuia wao kushiriki uchaguzi Mkuu. Jambo hilo sio tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…