Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche tayari wamefika Mahakamani hapo leo, Ijumaa Novemba 28.2025
Ikumbukwe kuwa, Mahakama hiyo leo...
Hawa wacheni wakaridhiane na Tuliouliwa Ndugu zetu .
Hasira ya Wananchi Iko juu sana.
Yoyote atakayeonekana Kuridhiana na Wauaji huyo ni Msaliti .
Narudia, Ole Ole Ole wenu !!! .
Kwa yanayoendelea na hasa baada ya kusoma ujumbe wa Yerriko kwenye mtandao wa X, nawashauri mfunge akaunti zenu kwa muda.
Nashauri hivi kwasababu hawa watu wanaweza kuwawekea hela chafu kisha bank statement zikavujishwa ili tu wawaondolee credibility kwa wananchi.
Sitaki kuamini Yeriko...
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
Kuna msako mkubwa wa kuwakamata viongozi wote wa CHADEMA kuanzia kwenye matawi mpaka ngazi za kitaifa.
Kuna orders za kuwakamata vijana wote ambao hawaiungi mkono CCM.
Hawa wote watateswa na wengine hata kuuawa kisha kubambikiziwa kesi za ugaidi na uharibifu wa mali.
Kila mtu anajua...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara, Chacha Heche akizungumza leo Novemba 5, 2025 katika Mahojiano na Chombo cha habari DW ameeleza hali wanayopitia viongozi wa CHADEMA wakikamatwa kwa kuhusika kupanga na kuhamasiha Maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025...
Unaweza jiuliza ,Hawa Pimbi vichwani mwao wamejaza matope au nn ??
Yaaan Huko CCM hamna Mmoja mwenye Akili ya kushauri??.
Even a corrupted TISS , JWTZ, Polisi , hamna mwenye Akili hata Mmoja awaambie 'Huo ni motoooo kwenye Petroli?'.
Haya majamaa ni Majinga mpaka unaweza kuyaonea Huruma...
Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani ni watu wachache wangejua heche ameenda msibani wengi wasingejua ila kwa tukio la jana watanzania wengi sana wamejua
Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick...
Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (Ahmed Rashid Khamis na Maulidah Anna Komu) dhidi ya viongozi waandamizi wa chama...
Viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuharibu mabango ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi...
Wanachama wa CHADEMA pamoja na Viongozi mbalimbali wakifanya maombi ndani ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kabla ya kuanza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu.
Wafuasi wa Chama cha CHADEMA wamefanya maombi ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu ya...
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo John Heche ameonekana na viongozi wengine wa chama hicho wakiomba nafasi ya kuonana na jaji mkuu ili waweze kuzungumza nae, ombi hilo limeonekana kukataliwa na wahusika waliotakiwa kuwapa kibali viongozi wa CHADEMA.
Licha ya kukataliwa huko...
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limekamata viongozi wa Chadema waliokuwa kwenye Kaburi la Bob Nyanga Makami wakifanya usafi huko Ukenyenge.
Walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kituo cha ukenyenge ni hawa wafuatao;
1. Jackson Mnyawami Mnyawami Katibu wa kanda ya serengeti
2...
Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
Mwanzoni nilipewa taarifa na Diwani Mstaafu wa Chadema wiki iliyopita. Baadaye akaniambia waliokuwa madiwani wenzake wa Dsm karibu wote Dar na kwao Mbeya wameombwa kujiunga Chauma.
Leo nimepata taarifa ya Viongozi wa kata Fulani na wilaya Mojawapo nao wameombwa kujiunga na CHAUMMA.
Taarifa...
Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli.
Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani...
Viongozi wa CHADEMA julisheni umma mapema, tunahitaji kujua Mwenyekiti wenu wa zamani wa chama, Freeman Mbowe amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Tanzania 2050 kama nani?
i/ Kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA?
ii/ Kama mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA?
iii/ Kama...
Hawa jamaa nashindwa kuelewa akili zao kesi ya lissu Kila siku inapigwa kalenda huku akiteseka mahabusu na yenyewe yapo mahakamani halafu yanatoka huko yanakuja kujiliza mitandaoni sijui huu uoga wa Hawa jamaa utaisha lini na yalivyo majinga yanajaa mahakamani eti kusubiri haki wakati huku nje...
Wakuu!
Hili la Haji Manara na mke wake wa zamani Rushaynah "kujifanya wamerudiana" linapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili.
Ni kama sehemu ya mkakati wa kupotosha fikra za Watanzania na kuwatoa kwenye reli ya mjadala mzito unaoendelea kuhusu mustakabali wa Taifa letu, hususan sakata la viongozi...