viongozi wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Dar: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wazuiliwa tena kuingia Mahakama Kuu

    Salaam, Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa...
  2. Tlaatlaah

    Tetesi: Ukata wa fedha na ugumu wa maisha watesa viongozi wa CHADEMA Taifa

    Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa. Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana...
  3. M

    Said Mohamed: Kesi ya mgawanyo wa mali za chama niliyofungua ina baraka za viongozi wa CHADEMA Zanzibar

    Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 ameeleza kuwa kesi ya mgawanyo wa mali aliyoifungua ina baraka zote za viongozi wa CHADEMA Zanzibar, kwani anachokipigania na wao ndicho wanapitia...
  4. Q

    Yericko Nyerere aomba radhi viongozi wa CHADEMA na Wanaharakati aliowatuhumu kuhongwa na Amnesty International

    Ni baada ya wahanga kutishia kumpeleka mahakamani. Yericko Nyerere: IMEDHIHIRIKA TAARIFA HII HAIKUWA SAHIHI. Kwa msingi huo, Naomba nitumie nafasi hii kuomba radhi juu ya maoni yangu kwenye post ya juzi kuhusu nyaraka hii ambayo imethibitika ilikuwa ni ya uzush wa mitandaoni, maoni yangu kwa...
  5. Troll JF

    Viongozi wa CHADEMA wanapotosha Umma zuio la mahakama kutofanya siasa Linaendea

    VIDEO: Siku chache baada ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA @ChademaTZ2) wakiongozwa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala Rugemeleza kuutangazia umma kuwa zuio la Mahakama Kuu lililokuwa limetolewa Juni 10.2025 likipiga marufuku...
  6. Roving Journalist

    Amani Golugwa: Kuanzia leo Februari 11, 2026, CHADEMA tupo huru kutumia ofisi za chama na mali zetu zote

    https://www.youtube.com/watch?v=D7Mr4uLn7tQ Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amekemea vikali madai yanayosema viongozi wa chama hicho, akiwemo yeye na Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, wanafaidika na kufungwa kwa Mwenyekiti wao, Tundu Lissu. Akizungumza nje ya Mahakama...
  7. MamaSamia2025

    Ninalaani kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA kutafuna pesa alizochangiwa Lissu

    Kingekuwa na uwajibikaji hadi muda huu Amani Golugwa na Mnyika wangekuwa wameshajiuzulu ili kulinda taswira ya chama. Haiwezekani Tsh 19m alizochangiwa mwenyekiti Lissu zitafunwe na wahuni ndani ya chama halafu Katibu mkuu na naibu wake wakaendelea kung'ang'ania viti. Wapishe uchunguzi...
  8. R

    PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
  9. R

    PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kudharau amri ya Mahakama kuu kusikilizwa leo Novemba 28

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania Bara John Heche tayari wamefika Mahakamani hapo leo, Ijumaa Novemba 28.2025 Ikumbukwe kuwa, Mahakama hiyo leo...
  10. Carlos The Jackal

    Ole wenu Viongozi wa CHADEMA muonekane kwenye Maridhiano, Uhaini una Dhamana? Wauaji wanatafuta Picha, Chama kitakufa

    Hawa wacheni wakaridhiane na Tuliouliwa Ndugu zetu . Hasira ya Wananchi Iko juu sana. Yoyote atakayeonekana Kuridhiana na Wauaji huyo ni Msaliti . Narudia, Ole Ole Ole wenu !!! .
  11. S

    Ushauri: Viongozi wa CHADEMA ikibidi mfunge akaunti zenu za benki kwani mnaweza ingiziwa mabilioni muonekano mmenunuliwa

    Kwa yanayoendelea na hasa baada ya kusoma ujumbe wa Yerriko kwenye mtandao wa X, nawashauri mfunge akaunti zenu kwa muda. Nashauri hivi kwasababu hawa watu wanaweza kuwawekea hela chafu kisha bank statement zikavujishwa ili tu wawaondolee credibility kwa wananchi. Sitaki kuamini Yeriko...
  12. Black Opal

    PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  13. M

    Kuna amri ya kuwaangamiza viongozi wa CHADEMA nchi nzima

    Kuna msako mkubwa wa kuwakamata viongozi wote wa CHADEMA kuanzia kwenye matawi mpaka ngazi za kitaifa. Kuna orders za kuwakamata vijana wote ambao hawaiungi mkono CCM. Hawa wote watateswa na wengine hata kuuawa kisha kubambikiziwa kesi za ugaidi na uharibifu wa mali. Kila mtu anajua...
  14. R

    GE2025 Chacha Heche: Viongozi wa CHADEMA wanakamatwa na kupewa kesi ya kuratibu na kuchochea Maandamano ya Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara, Chacha Heche akizungumza leo Novemba 5, 2025 katika Mahojiano na Chombo cha habari DW ameeleza hali wanayopitia viongozi wa CHADEMA wakikamatwa kwa kuhusika kupanga na kuhamasiha Maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025...
  15. Carlos The Jackal

    Kosa Vyote ila Sio Akili. Wauaji wanataka Kuwapa Kesi ya Ugaidi Viongozi wa CHADEMA, Mtaupata huo Ugaidi mnaoutaka !!

    Unaweza jiuliza ,Hawa Pimbi vichwani mwao wamejaza matope au nn ?? Yaaan Huko CCM hamna Mmoja mwenye Akili ya kushauri??. Even a corrupted TISS , JWTZ, Polisi , hamna mwenye Akili hata Mmoja awaambie 'Huo ni motoooo kwenye Petroli?'. Haya majamaa ni Majinga mpaka unaweza kuyaonea Huruma...
  16. Dennis Robert Shughuru

    Serikali inawapa sana hype na kick zisizo za lazima viongozi wa CHADEMA

    Jioni hii heche kazuiliwa kwenda msibani habari imeenda viral kila mtu amejua mfano asingezuiliwa kwenda msibani ni watu wachache wangejua heche ameenda msibani wengi wasingejua ila kwa tukio la jana watanzania wengi sana wamejua Kuna mambo serikali inabidi iyapuuzie sababu yanawapa kick...
  17. Mafyangula

    Kesi ya viongozi wa CHADEMA kukiuka amri ya Mahakama kusikilizwa tena Oktoba 22, 2025

    Kesi ya jinai namba 25480 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (Ahmed Rashid Khamis na Maulidah Anna Komu) dhidi ya viongozi waandamizi wa chama...
  18. DuaZaMama

    GE2025 Viongozi wa CHADEMA mbaroni kwa kuchana mabango ya CCM

    Viongozi watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuharibu mabango ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi...
  19. Waufukweni

    GE2025 Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wafanya maombi Mahakamani kabla ya Kesi ya Tundu Lissu

    Wanachama wa CHADEMA pamoja na Viongozi mbalimbali wakifanya maombi ndani ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kabla ya kuanza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Wafuasi wa Chama cha CHADEMA wamefanya maombi ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu ya...
  20. tonicimmobility

    GE2025 CHADEMA waomba kuonana na jaji ''Kama hawataki, sisi tunawaacha wao wabaki na hiyo kesi''

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo John Heche ameonekana na viongozi wengine wa chama hicho wakiomba nafasi ya kuonana na jaji mkuu ili waweze kuzungumza nae, ombi hilo limeonekana kukataliwa na wahusika waliotakiwa kuwapa kibali viongozi wa CHADEMA. Licha ya kukataliwa huko...
Back
Top Bottom