Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM.
Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
Aiseeeh, nafikiri huyu mzee anawapima aone anaweza kuwakasirisha kiasi gani.
Inakuwaje mkuu wa mkoa, anaongelea habari za wanaume kuhonga na kuwahamasisha wafanye hivyo kwenye kikao na watumishi wa Serikali?
Toeni neno moja kwake!
Full clip hii hapa...
Polisi wafanya Uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja kujeruhiwa na risasi.
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linafanya uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aitwaye Bakari Halifa Daud (18) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kujeruhiwa kwa kupigwa risasi mguuni.
Akitoa taarifa hiyo leo...
Ramadhani Kailima Polee sana
Imeandikwa hadi kwenye vitabu vitakatifu kuwa kweli itatuweka huru.
Utetezi uliotoa Kailima hauwezi kubadilisha chochote, zaidi unazidi kuongeza hasira zetu Wananchi dhidi yenu nyie Madhalimu na Wahuni mnaohujumu maamuzi ya Wananchi.
Kwa muda mrefu tulikuwa...
Katika mazungumzo ya aliyekua balozi wa Tanzania nchini Cuba mjini Havanna ndugu Humphrey plepole kwa njia ya mtandao amegusia suala la viongozi wa CCM kutozungumzia suala la rushwa hasa kipindi hiki cha kampeni ambacho ndico kipindi pekee rushwa inatawala sana.
Namna ya mazngumzo yake juu ya...
Akizungumza Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam, Mgombea nafasin ya Urais chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina ameeleza kuwa taarifa za kukatwa jina lake kugombea ubunge Jimbo la Kisesa zilianza kutangazwa miaka miwili iliyopita na baadhi ya viongozi wa CCM...
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Inasekana ugomvi baina ya Mpina na viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu ndio chanzo cha jina lake kukatwa katika vikao vya Mkoa.
https://youtu.be/qN1T8rrBep8?si=64FCUMgEIb8iIE-T
Kwa Ndugu, Stephen Wasira, na CPA Amos Makala.
Kwa heshima na taadhima, naomba kutoa ushauri huu wa bure kwa viongozi wawili muhimu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Stephen Wasira (Makamu Mwenyekiti wa CCM) na CPA Amos Makala (Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM):
Katika mikutano yenu...
Mvutano unaoendelea kati ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu,Shemsa Mohamed na Katibu wake,Eva Degeleki umeanza kuzua taharuki miongoni mwa wanachama na wachambuzi wa siasa, wakionya kuwa hali hiyo inaweza kudhoofisha nafasi ya chama hicho tawala kuelekea uchaguzi mkuu wa...
Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi.
Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
Habari zenu,Kuna kitu huwa najiuliza sana na kujadili kichwani mwangu.Viongozi wa CCM inapofika kipindi cha uchaguzi hofu ya Mungu inaondoka kabisaa,wanaamini kuwa Mungu alieumba Mbingu na ardhi hawezi kuwafanya chochote.
Mimi nimeshiriki kusimamia uchaguzi toka 2010 lakini kila uchaguzi wao...
Nakumbuka mwaka 2019/2020 aliyekuwa Rais wa wakati ule, John Pombe Magufuli ambaye pia alikuwa mgombea urais wa mwaka 2020 kupitia chama cha CCM alinukuliwa akisema "Uchaguzi utakuwa huru na wa haki". Yaliyotokea kutokana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa mwaka...
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, wakiongozwa na katibu wa chama hicho mkoa Bi Pili Augustino wametembelea vituo vya watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa kutoa sandaka ya vitu mbalimbali ikiwemo Mchele, mafuta, maji, juisi, unga wa ngano, mbuzi na vingine...
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amekabidhi pikipiki sita kwa ajili kuwawezesha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutekeleza majukumu yao hasa wakati huu chama hicho kikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, 2025.
Mbali na pikipiki hizo, Kingu pia amechangia vifaa...
Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani.
Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi
Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kutoa malalamiko yao kuhusu hali ya haki katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama.
Malalamiko haya yanakuja wakati ambapo chama hicho kinajiandaa kwa uchaguzi ambao unatarajiwa kuwa na changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.