viongozi wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Mwigulu Nchemba unadhania Watanzania ni Wajinga? Kwamba viongozi wa CCM ambao ni mafisadi kujaza fomu za maadili ndio defence?

    Unatudharau sana hasa sisi Wakulima wa Igunga tunalima chakula na kulisha hiyo Ilamba yote na kulipa kodi? Yaani kiongozi au mtumishi wa umma akijaza fomu za maadili kuwa ana mali aina fulani ndio justification kuwa sio fisadi na mwizi wa mali za umma? Usitufanye sisi wajinga na wapuuzi.
  2. Idugunde

    CCM ni chama cha kisultani. Walalahoi wasio na mbele au nyuma wanaokishabikia ni wajinga. Watoto wa viongozi wa CCM wanarithishwa madaraka kisultani

    Leo hii hii nchi ni mali ya familia na koo za wanaCCM. Familia za akina Kikwete, Samia, Mwinyi Nyererere na hat akina Jenista Mhagama ndio wanarithishana madaraka ya nchi hii. Wewe mpuuzi ambae huna mbele wala nyuma CCM ya nini kwako?
  3. Fbn

    Hivi JWTZ imeshakuwa na majukumu ya kulinda mali za viongozi wa CCM.

    Kuna sehemu sita taja ila nimeona wao ndio walinzi wa mali za mkubwa masaa 24. Majukumu yao yamegeuka walinzi wa mali za CCM.
  4. Idugunde

    Dharau za viongozi wa CCM zimelifikisha taifa pabaya. Leo hii watu wanaishi kwa taharuki

    Nimeshangaa sana. Nimekutana na dada mmoja akaniambia kuwa ana ndugu zake wapo Dar wamefunga biashara sababu ya hofu ya D9. Oktoba 29 viongozi wote wa CCM kuanzia ngazi ya taifa mpaka mabalozi wa nyumba kumi hawakutarajia kilichotokea. Hii yote ni sababu ya dharau na mazoe kuwa watanzania...
  5. Idugunde

    Viongozi wa CCM mliomdanganya rais Samia kuwa anakubalika wakati wananchi hawamtaki hamuoni aibu?

    Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure. Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki. Nasema kuwa mna dhambi...
  6. Its Tesha

    PostGE2025 Kauli za viongozi wa CCM na serikali yake dhidi ya wananchi waliopoteza wapendwa wao zinadhihirisha dharau dhidi yetu

    Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
  7. Tajiri wa kinyankole

    GE2025 Tarehe 29.10.2025 rasmi CCM imekufa haitokuja kusimama. Je viongozi wake nchi nzima watalindwa na vyombo vya dola? Yanayoongelewa na umma ni hatari

    Tarehe 29.10.2025 umma ulimkataa mgombea wa ccm kwa maandamano makali yaliyopelekea watu kupoteza uhai hadi sasa watu wanalia kila kona ya nchi, maandamano hayo yalifanyika umma ukihitaji reform za uchaguzi, kukemea utekaji na waachiliwe waliotekwa, uhuru wa maoni , kupinga ufisadi ,n.k. Kwa...
  8. baz kaiza

    Kwanini viongozi wa huwa wanasisitiza amani bila Kutaja Neno HAKI

    Mara nyingi utasikia mara amani sio ya kuchezea, lakini huwezi kusikia wanasema neno haki. Je, amani wanayosema kulinda ni zile mali walizochuma? Je, wao ndio wana haki ya kulinda amani, sio watu wengine? Mara nyingi wanaosema amani ni wale walioshiba kwa kukwapua mali za umma, lakini hapo hapo...
  9. M

    GE2025 Chato: Viongozi wa CCM wanahaha kutafuta usafiri wa kubeba watu toka vijijini ili kumridhisha Rais Samia

    Nimedokezwa kuwa Viongozi wa CCM akiwemo Dc wa Chato na jopo lake wanaomba msaada kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri ili watu kutoka vijiji mbalimbali wahudhurie mkutano wa Kampeni tarehe 13/10/2025. Nimedokezwa hii yote inafanyika ili kumridhisha mkuu wa nchi kuwa anakubalika. Wananchi...
  10. Lord Denning

    Tarehe 29 ni mwendo wa Nepal. Watachagua walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au barabara za kwenda Ofisi za CCM

    Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma. Enough is Enough Lazima turudishe...
  11. H

    Watawala wa Tanzania, viongozi wa CCM na WanaCCM, Wanaimba Amani na Umoja, Lakini Mioyo na Matendo Yao Yanadhihirisha Walivyojaa Ushetani na Uharamia

    Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM. Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
  12. Binti wa zamani

    CHALAMILA: Acheni kulaumu wanawake, tafuteni hela, ukijilalamisha ina maana maisha yako bado yako chini

    Aiseeeh, nafikiri huyu mzee anawapima aone anaweza kuwakasirisha kiasi gani. Inakuwaje mkuu wa mkoa, anaongelea habari za wanaume kuhonga na kuwahamasisha wafanye hivyo kwenye kikao na watumishi wa Serikali? Toeni neno moja kwake! Full clip hii hapa...
  13. Roving Journalist

    Arusha: Jeshi la Polisi lasema linafuatilia tukio la msanii Dogo Janja kumjeruhi Mtu kwa kumpiga risasi

    Polisi wafanya Uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja kujeruhiwa na risasi. Jeshi la Polisi mkoani Arusha linafanya uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aitwaye Bakari Halifa Daud (18) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kujeruhiwa kwa kupigwa risasi mguuni. Akitoa taarifa hiyo leo...
  14. Lord Denning

    Poleni sana Tume ya Taifa ya Uchaguzi: Polepole amekuja kututhibitishia tu kwa nini Viongozi wa CCM wamekuwa na kiburi cha Uchaguzi

    Ramadhani Kailima Polee sana Imeandikwa hadi kwenye vitabu vitakatifu kuwa kweli itatuweka huru. Utetezi uliotoa Kailima hauwezi kubadilisha chochote, zaidi unazidi kuongeza hasira zetu Wananchi dhidi yenu nyie Madhalimu na Wahuni mnaohujumu maamuzi ya Wananchi. Kwa muda mrefu tulikuwa...
  15. tonicimmobility

    Hakuna kiongozi wa CCM anaezungumzia rushwa hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi, hii ina maana kuwa CCM wamehalalisha rushwa?

    Katika mazungumzo ya aliyekua balozi wa Tanzania nchini Cuba mjini Havanna ndugu Humphrey plepole kwa njia ya mtandao amegusia suala la viongozi wa CCM kutozungumzia suala la rushwa hasa kipindi hiki cha kampeni ambacho ndico kipindi pekee rushwa inatawala sana. Namna ya mazngumzo yake juu ya...
  16. R

    GE2025 Mpina: Taarifa za Jina langu kukatwa kugombea Ubunge Jimbo la Kisesa zilianza kutangzwa miaka 2 iliyopita na baadhi ya Viongozi wa CCM

    Akizungumza Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam, Mgombea nafasin ya Urais chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina ameeleza kuwa taarifa za kukatwa jina lake kugombea ubunge Jimbo la Kisesa zilianza kutangazwa miaka miwili iliyopita na baadhi ya viongozi wa CCM...
  17. K

    Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

    Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
  18. S

    Kuhusu tetesi za Luhaga Mpina kukatwa CCM; “ugomvi na viongozi wa CCM umechangia

    Inasekana ugomvi baina ya Mpina na viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu ndio chanzo cha jina lake kukatwa katika vikao vya Mkoa. https://youtu.be/qN1T8rrBep8?si=64FCUMgEIb8iIE-T
Back
Top Bottom