viongozi wa afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Video: Rais William Ruto wa Kenya na funzo kwa viongozi wa Afrika hususani Tanzania. Uongozi wa nchi ni kusikia na kuelewa. Sio ubabe na maguvu..

    Rais wa Jamhuri ya Kenya amekubali kushindwa.... Amekubali kuwa yeye ni kiongozi wa serikali lakini kubwa zaidi ni kiongozi wa wananchi wa Kenya... Amekubali kuwa sauti ya umma ni sauti ya Mungu... Amekataa na kutambua kuwa uongozi si kutumia nguvu na mabavu bali ni kuwa na sikio la...
  2. M

    Berghahn Journal ya Ujerumani inaandika, viongozi wa Afrika wapigania Uhuru walikuwa na akili sana kuliko kizazi kilichofuatia baada ya uhuru

    Kutoka kwenye jarida hilo Wanasema kuwa Afrika kutoendelea ni sababu ya viongozi kutokuwa na uwezo mkubwa wa kiakili ilihali wamelalia rasilimali lukuki. Jarida linasema wapigania uhuru wengi walikuwa ni watu wenye akili kubwa na maono makubwa na nchi zao kuliko viongozi wa sasa ambao wao...
  3. Mpigania uhuru wa pili

    Zabuni (tender) ya kununua vitu vya kawaida kabisa anapewa mchina viongozi wa Afrika ni wabinafsi sana

    Copy & paste Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao...
  4. kavulata

    Hotuba nyingi za viongozi wa Afrika kwenye mkutano wa UN zimejaa malalamiko

    Viongozi wa nchi zote za dunia wanakutana Marekani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la usalama la umoja wa mataifa (General Assembly of United Nations). Hotuba nyingi za viongozi kutoka Afrika ni za malalamiko kuhusu nchi za Magharibi na Marekani kama chanzo Chao kikuu Cha matatizo kwenye nchi zao...
  5. Richard

    Urusi yaituhumu idara ya Ujasusi ya Uingereza MI6 kuunda kikundi cha mauaji kutoka Ukraine dhidi ya viongozi wa Afrika wanaoshirikiana na Russia

    Russia imeituhumu idara ya ujasusi wa nje ya Uingereza ya MI6 kuhusika na mpango wa kuunda kundi la wauaji au "Assassination Squad" ambalo kazi yake kuu itakuwa ni kuharibu miundombinu na kufanya mauaji ya viongozi wa nchi za Afrika ambao watakuwa wakishirikiana na Russia kiuchumi na...
  6. I

    Viongozi wa Afrika wanajisahau sana

    Viongozi wa Afrika au watu wenye madaraka ya kuongoza au kusimamia Wananchi wanajisahau sana, lakini nawakumbusha jinai haiozi. Kama watu mtakuwa na kumbukumbu ya Arbeto Fujimori (Peru) mtanielewa. Wenye dhamana ya uongozi waona Watu hawa tunaweza kuwafanyia chochote lakini ipo siku hata kama...
  7. MK254

    Mkuu wa Wagner akutana na viongozi wa Afrika mbele ya Putin, jamaa ameshindikana

    Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin...
  8. L

    Ziara ya ujumbe wa viongozi wa Afrika nchini Ukraine na Urusi yaonesha kuwa na Mafanikio

    Ujumbe wa nchi za Afrika ulioongozwa na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ulifanya ziara nchini Ukraine na Russia, na kukutana na viongozi wa pande hizo mbili ukitafuta njia za kutatua mgogoro huo ambao umekuwa na madhara kwa nchi mbalimbali za Afrika. Ujumbe huo ni moja ya juhudi za jumuiya...
  9. kavulata

    Viongozi wa Afrika wanaweza kuwasuluhisha Wazungu wanaopigana?

    Kuna viongozi wa Afrika wakiongozwa na Ramaphosa wako Ukraine na Urusi kuwaambia waache kupigana, je, ni sawa kufanya hivyo? wataweza? au walipaswa kuanzia na Sudan, Somalia, DR Congo na Ethiopia kabla ya kwenda Ulaya?
  10. Jidu La Mabambasi

    King Charles Coronatiin leo, viongozi wa Afrika hawaendi kupandishwa Coaster?

    Afrika nzima tulisikitika viongozi wetu wote kupandishwa coaster wakati wa maombolezo ya Malkia Elizabeth. Jamani leo King Charles anasimikwa, je, mmewaona kwenye coaster?
  11. Kaka yake shetani

    Falsafa za Adoph Hilter zinapendwa kutumiwa na viongozi wa Afrika kubaki madarakani

    Kuna wimbi kubwa wengi tunapenda kuokota bila kufatilia kiundani sana. Kama utakuwa umebahatika kujua na kusoma vizuri utawala adolph hilter basi utaona kuna chechembe nyingi aina ya viongozi wengi wakitumia ili kubaki, kukubalika na hata kutenganisha watu. Sio mgeni ndani ya nchi yetu na nchi...
Back
Top Bottom