Kumekuwa na uhitaji mkubwa wa kutuma watu, hasa wengi hutumia waendesha bodaboda, kuwaletea vyakula mfano; chipsi, nyama choma, vyakula vilivyopikwa, matunda yaliyo katwakatwa, juisi n.k na kuwaletea sehemu walipo, iwe nyumbani, maofisini n.k
Swali la kujiuliza, una uhakika gani kile...