Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Tunakutumia kwa whatsapp. Tucheki 0715278384 Pia kuna bonasi ya vitabu kama saba. Hardcopy kipo kitabu kimoja cha Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote.
ORODHA YA VITABU NA BEI
1.Tajiri wa Babeli(Tafsiri ya kitabu The richest...
Ndugu zangu watu wa Stationery hali yao ni mbaya sana. Kwani bidhaa muhimu katika Stationery hasa karatasi nyeupe zimepanda sana na haijawahi kutokea.
Kabla ya kauli ya Rais kuwa bidhaa nyingi zitazidi kupanda bei ya Katoni ilikuwa inauzwa Tsh 43000 ghafla baada ya ile kauli kutoka katoni ya...
Kwema humu wadau poleni na majukumu mimi ni mkazi wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu nilikua naomba kujua je gharama za kuchukua vilainishi vya magari kama oils (total au Castrol), grease, cc, hydraulic na brake fluid wanauzaje kwa Bei ya jumla mfano jijini mwanza.
Kama Kuna wakala wa total...
Kilichopelekea Chadema kufanya vibaya uchaguzi uliopita pengine ni kukosa Uhuru wa Kufanya Siasa, Uhuru wa kuwafikia watu, uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara, uhuru wa mikutano ya ndani, na kikubwa zaidi ni muundo mzima wa uchaguzi.
Kwahiyo baada ya uchaguzi wa 2020, Chadema wakaanza kudai...
Kuna pisi moja ya ukweli sana imepotea. Naskia ilichanganya pombe na dawa. Kwa nini hamsemi? Mnafurahi mtu akifa?
Haya ninyi madaktari mliomo humu hebu tusaidieni orodha ya dawa ambazo haziendani na pombe.
Msisubiri watu wafe ndo mjifanye kusikitika.
Ahsante.
Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha...
Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi pia aikumbakiza na shemeji alikuwa amkuja salimia naye akubaki salama, yaani nyumba nzima...
Wakuu Asalam aleikum,
Hayati Magufuli aliwahi kusema kuwa "your not free to such extent" akiwatahadharisha wanahabari juu ya kile alichokiita upotoshaji na kuwaonya vikali.
Baada ya kauli hiyo vyombo vyote vikawa vya mlengo mmoja na wale waliotaka kwenda kinyume walinyooshwa kwa mkono wa...
Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine.
Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi?
Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya...
Hatari ya anga za juu:Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote
Ulimwengu haupo salama. Licha ya kuanguka kwa njia salama kwa roketi ya China kutoka anga za juu na kuwapa watu wengi afueni, bado kuna hatari kwani kuna zaidi...
Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika.
Majukumu:
Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini wateja wanahitaji.
Kituo cha kazi/duka lilipo: Mkonze, Dodoma
Jinsia: awe mwanamke /msichana
Umri...
Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie kuelewa kwani kila nikitafakari kwa kina sipata jibu linaloniridhisha.
Hivi tofauti kubwa sana ya vyama vya siasa iko kwenye Nini?
1.Wanachama na viongozi kwa maana ya hulka za wanaokiunda chama!?
2.Muundo wa chama kwa maana ya jinsi chama...
Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana.
Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi
Asema umeme...