vingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 Almaarufu kama Gen Z uwezo wenu wa Akili ni mdogo kuliko vizazi vingine

    Kama inavyoonekana hapa Gen Z uwezo wenu wa akili umethibitika kuwa ni mdogo na hiyo ipo wazi tunaiona hata kwenye maisha ya kila siku. Hata hivi juzi kuna mhadhiri wa chuo kikikuu cha Dar es Saalam alieleza pia. Hivyo mnatakiwa mtuheshimu sana sisi kaka na dada zenu Millennial. This major...
  2. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Tanzania haitayumbishwa kwa sababu ya mabeberu kutunyima misaada, labda watafute vikwazo vingine

    My Take Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka. Pia soma Ongezeko la bajeti ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Agha Khan kinatoa Shahada kwa miaka miwili tofauti na vyuo vingine na TNMC wapo kimya!

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa degree miaka 2 na wao wapo kimya bila ufafanuzi na hili limekuwa kero hata wauguzi kubadilishiwa madaraja...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polisi, Serikali, CCM mmepokea vipeperushi vingine wenzetu? Tumepata vya Maandamano, vya Vurugu 77 mmetoa wapi?

    Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi? Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-DED, maofisa Utumishi wadaiwa kuzuia walimu kujitoa CWT, kujiunga na vyama vingine

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 20(1) inasema, “Kila mtu anao uhuru wa kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika, kushirikiana na watu wengine, na kwa ajili hiyo kutoa mawazo yake hadharani na kuanzisha na kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  7. JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa hua sababu ya msingi kwa Chadema kuchukia vyama vingine huru vya siasa nchini?

    Kila chama cha siasa kilichoanzishwa nchini, kina itikadi, agenda na falsafa yake ya kufikia malengo yake. Je, Kulikoni sasa chadema hua wanaona wivu dhidi ya kuimarika na kushamiri kwa vyama vingine vya siasa vyenye malengo yasiyo fanana na yao, na kukerwa sana na maendeleo ya kisiasa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mi Kataa Ndoa. Ila kama ikikulazimu Kuoa, Hakikisha shemeji Anajua Kupika. Vingine vinavumilika, ila sio msosi m’baya!

    Kichwa kimejieleza totally. Vingine vinasameheka, vinavumilika, vinasahaulika. Kasoro chakula.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baraza la NACTEVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing Chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025

    Baraza la NACTVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025. Cha kusikitisha ni kwamba vyuo vingine vilishapatiwa isipokuwa chuo kimoja tu kitu kinachopelekewa wahitimu kukosa fursa mtaani na hamna maelezo ya kueleweka kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania The voices from within japo simtetei Mafwele, ila sio kila kinachosemwa juu yake ni kweli, vitu vingine si yeye ila ni wanamsingizia tu kuwa ni yeye!

    Wanabodi, Hili jina la mtu anayeitwa Mafwele, sasa linatumika vibaya, kulitumia kuwatishia watu kwa kumsingizia kila kunapotokea tukio la utekaji au mtu kupotezwa, the most recent ni kauli za mtl anayejitambulisha kama Kaka yake Polepole, anayejinasibu kama mwanajeshi wa JWTZ mwenye cheo cha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliorejesha vitambulisho vya NIDA vilivyofutika tunapigwa 'danadana' kupatiwa vingine

    Baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi wengi kudai kuwa vitambulisho vyao vya NIDA vimefutika, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilijitokeza kujibu kuwa changamoto hiyo imetokana na uzembe wa mzabuni aliyekuwa na tenda ya uchapishaji, aliyesababisha uzalishaji wa vitambulisho vyenye...
  12. JamiiForums Tanzania Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine Visiwe Washindani Bali Vishiriki Ndani ya CCM

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni, siasa za ushindani nchini Tanzania zimegeuka kuwa uwanja wa lawama, chuki, na migawanyiko badala ya kuwa chanzo cha mawazo ya maendeleo. Vyama vingi vya upinzani vimeshindwa kuja na sera mbadala zinazotekelezeka, badala yake vimekuwa vikijikita katika maneno...
  13. JamiiForums Tanzania Tunauza copper coils na copper pipes na vifaa vingine vingi vya majumbani

    Tunauza copper coil size zote zente urefu wa mita 15 kwa roll kama ifuatavyo 1/4 copper coil ~ 75,000/= 3/8 copper pcoil ~ 115,000/= 1/2 copper coil ~ 155,000/= 5/8 copper coil ~ 210,000/= 3/4 copper coil ~ 270,000/= 7/8 copper pipes ~ 170,000/= 1 1/8 copper pipe ~ 250,000/= 1 3/8 copper...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mhe Bwege: Matokeo yoyote tutakayopata kwa Uchaguzi huu ni kutokana na msimamo wa CHADEMA, asema vyama vingine ni vinyonga

    Dar es Salaam, Akihojiwa juzi katika kipindi cha The Interview kinachorushwa na kituo cha East Africa Radio, Mbunge wa zamani wa Kilwa, Mhe. Suleimani Bungara almaarufu Bwege, ameendelea kusisitiza kwamba Chadema bado wapo sahihi mpaka sasa na kwamba matokeo yoyote watakayopata upinzani katika...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini account za Ikulu zinarusha tukio la Mgombea Samia kuchukua fomu ya kugombea? Watarusha na wagombea wa vyama vingine?

    Wakuu, Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake. Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais? Vyama vingine vikienda kuchukua...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu BIBLIA YA ETHIOPIA yenye vitabu 88 na kwa nini vitabu vingine vilinyofolewa na wajanja.

    Yale waliyoyaona yatawapa changamoto wakayaita APOKRIFA. Ati maandishi yaliyotiwa chumvi nyingi!! Yale waliyoona hayana madhara katika kuwezesha malengo yao kutimia ndiyo wakayaacha. Twende polepole: https://youtu.be/n489bUhMXb0?si=gAXe7aU7KY-ohDWR
  18. JamiiForums Tanzania Kuna vitu vingine havina hata maana, eti Girlfriend Day!

    Nakataa kufata trend za kipuuzi sasa, hii generation ni ya ajabu kupita kiasi. Hizi ni sherehe ambazo hazina maana zaidi ya kupoteza pesa na muda; Happy birthday Valentine’s day Happy new year Boxing day Happy girlfriend day Happy mothers day na Happy upuuzi mwingine. Kuna siku wataleta "Happy...
  19. JamiiForums Tanzania Mr Electronics: Jipatie vifaa vya kielectronic kama Computer ,Sound Sustems, phone accessories pamoja na vingine vingi kwa bei ya Store

    Tunauza: 💻 Kompyuta (Desktop & Laptop – mpya & used) 🖥️ Vifaa vya kompyuta (keyboard, mouse, monitor, printer n.k) 🎧 Sound systems (speakers, home theaters, Bluetooth systems) 🔌 Accessories mbalimbali (USB cables, screen protectors, covers,adapter,Air pods,headphones n.k) ⚡ Vifaa vya umeme vya...
  20. JamiiForums Tanzania Tumeahirisha derby mara tatu mnashangaa nini vingine kuhairishwa. Tulieni mambo mazuri hayataki haraka

    Leooo naonaaaa mwendo WA siasa kila kuonaaa JAMANI TUMEHAHIRISHA DERBY mara TATU na watu wamechexa na wameliwa kichwa mnyama MNASHANGAA nn KUHAIRISHA uteuzi haya n mambo ya kawaida EMBU mtuondolee Yale mapost YENU yanakera Cha Cha KAZI iendeleeee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…