vilaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ministrant

    Ashakum si matusi, ila nachelea kusema kuwa taaluma ya habari imevamiwa na vilaza

    Nimekuwa nikifuatilia mahojiano kadhaa yanayofanywa na viongozi mbalimbali wa taasisi za Serikali na Wana habari, ila kilichonisikitisha ni kuona mwanahabari anahoji swali ambalo hata uelewa wa hilo jambo hana kiasi kwamba swali likirudishwa kwake kwa ufafanuzi zaidi anabaki kumbwelambwela tu...
  2. Raba kali

    Polisi ijitafakari, inaajiri vilaza sana

    Wazee kwema, Ni kwa namna gani hasa hawa polisi wanaajiriwa na hizo interview zao zinakuaje?. Juzi nimeenda kumtembelea mzee wangu flani hiv akiwah kuwA kiongozi nchini. Pale getini nimekutana na polisi viaz sana na mbaya zaidi wameletewa pilau wale mama ya nchi. Katika mabishani mawili matatu...
  3. D

    Shida ya nchi hii tuna wabunge vilaza wakiongozwa na spika. Eti spika anashadadia ajira za kunitolea. Hii ni failure ya serikali kabisa

    Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli. Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo kwanza unaona poa tu unalitumia kuwakandamiza wengine ili nao wajitolee ili kupata kazi. Halafu mobunge...
  4. Samia atosha tukutane2030

    "Kama huna D mbili huwezi kuelewa" ni msemo unaowapa amani vilaza, tuukemee utaendelea kuzalisha wajinga wengi

    Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani (slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu. Sasa hivi karibuni Kuna kilaza kaanzisha huu msemo" Kama huna D mbili huwezi kuelewa" Vitoto vya sekondari watadhani D...
  5. Its Pancho

    Ukweli mchungu: Simba na Tripoli wote ni vibonde na vilaza watatoana kwa matuta

    I salute you kinsmen. Hilo kombe la shirikisho ambalo simba wamekuwa wanashiriki sasa kwa kweli sio kama lile la misimu yote. Hili la sasa limekuwa la kibwege sana na team za hovyo sana kama hao Tripoli. Hawa hawa ndiyo waliokandwa na Biashara United kipindi kile eti leo ndiyo mnategemea...
  6. Bob Manson

    Kwanini warembo na mabarobaro wengi ni vilaza?

    Habarini waungwana.... Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani? Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu...
Back
Top Bottom