vilaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  2. Beira Boy

    Kuzaliwa kwa Magufuli Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana, nchi hii inastahili vilaza pekee, siyo watu wenye akili kubwa kama magu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa Magufuli kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye...
  3. Carlos The Jackal

    Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  4. Lord Denning

    PostGE2025 Yaani uonewe na Al Jazeera, BBC, France 24 na CNN? Wewe nani kwa mfano?

    Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini. Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo...
  5. Hidden Diamond

    Ni aibu serikali kuwatumia mabongolala kama mwijaku,Stan bakola,wema sepetu,Jimmy mafufu na vilaza wengine kuhamasisha watu wakatiki oktoba

    Serikali badala ya kuwatafuta watu wenye ushawishi wa Maana ili waweze kutushawishi Sisi wenye uelewa mpana ili tukatiki oktoba wenyewe wanatuletea vichekesho kwenye jamii ya watu waliojeruhiwa imagine mtu kama Bibi wema sepetu amekazana kusema oktoba tukatiki ukimuuliza kwa sababu gani nikatiki...
  6. M

    KERO Uhamiaji kuna tatizo gani? System ya Emergency Passports Haifanyi Kazi na Passport kubwa zinachelewa

    Wasalaam ndugu zangu, KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona? Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka...
  7. FYATU

    Je Watu wa kale walikuwa "Vilaza"?.

    Ukisoma maandiko ya kale hata kupitia Vitabu vyetu vya kiimani ni kama utaona Dunia ya kitambo hicho ilikuwa nyuma sana ki teknolojia.Hawakuwa na mashine za kuwarahisishia kazi. Na ukifuatilia gunduzi nyingi zilizopo leo zinaanzia hapo miaka ya 1700 hivi,na kadri tunavyoenda na ndivyo gunduzi...
  8. X

    Hivi kwa nini wafanyakazi wengi wa halmashauri hawana uweledi?

    Nimepata nafasi ya kutembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji. Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa. Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu...
  9. Knock life

    Mtu anayesema tusirudie kuchagua wabunge vilaza tena je huyu mtu anayeongea hivi na yeye ni kilaza mkubwa ambaye kaamua kujitoa ufahamu.

    Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020. Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi tuliwachagua au walipitishwa tu na Ccm?. Kwa kutumia Dola.?
  10. Knock life

    Hawa vilaza wanaogombania ubunge wa Arusha Mjini Makonda na Gambo je ni wazaliwa wa Arusha.?

    Kwanini hawa Vilaza Makonda na Mrisho Gambo wasiende kugombea ubunge sehemu walipozaliwa ? Nitashangaa Sana watu wa Arusha wakiwapa nafasi
  11. Samia atosha tukutane2030

    Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

    Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri. Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele. Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
  12. K

    Je wanasiasa serikalini ni vilaza kuliko zamani?

    Kuna hisia kwenye jamii kutokana ma matukio ambayo yamekosa mwelekeo. Ukilaza haina maana hawajasoma lakini je wanafanya mambo kwa kufiria manufaa ya taifa. Je tuna wakina Makinda, mongella , warioba, salim, Msuya, Nyalali...... hata kwenye majeshi Mahundi. Je tunawatu bado wenye vipaji...
  13. Mwizukulu mgikuru

    Asilimia 80 ya watumishi wa serikali ni weupe kichwani

    Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa...
  14. Yoda

    Maneno ya Kiswahili yaliyopo mbioni kuharibiwa na vilaza

    Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena Sebule- wanasema seble Muziki- wansema mziki Muda- wansema mda!
  15. The redemeer

    Vilaza ukuza viungo Wenye akili ukuza akili

    Vilaza ndo utawakuta gyms wanakuza vidali,shingo,mgongo,Makario,mapaja na wanafanya kegel Watu wenye I Q kubwa kuanzia 100+ utawakuta wanafanya squash, jogging , cycling,hiking,ping pong,chess na golf Vilaza wanakuza mwili,, Wenye IQ wanakuza Akili ONLY FACTS
  16. Kitimoto

    Taifa la Vilaza....

    God bless Tundu Lissu
  17. MIXOLOGIST

    HOJA NGUMU: Kutetea FAM kuendelea kusalia madarakani ni sawa na kukiri CHADEMA ni chama kilichosheheni vilaza

    Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu. Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20 Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili...
  18. Rorscharch

    Walimu jiongezeni maarifa mitandaoni kabla ya kuingia Darasani maana wanafunzi wenu wanawaona vilaza mkijongea hapo ubaoni na kushika chaki

    Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini wao wakigoogle wenyewe wanagundua kuwa zipo zaidi ya 1,000. Unategemea watachukulia masomo yako kwa...
  19. Brain Kingdom

    Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

    Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously? Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi? Aibu sana kama...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Ukifuatilia, Chawa karibu wote hata darasani walikuwa vilaza, yaani uwezo mdogo, Low battery!

    Mpo wazima! Awe Chawa wa CHADEMA! Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule. Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani. Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
Back
Top Bottom