vijana

  1. JamiiForums Tanzania Kuna vijana wajinga sana katika hii nchi

    Habari! Mimi ni mwajiriwa katika ofisi moja ya umma. Sasa hapa kazini kuna watumishi wa kudumu, wa mkataba wa muda mfupi na wanafunzi waliokuja kufanya field na wengine wamezamia mazima wakisubiri huruma za boss huenda atawaajiri. Yes. Wapo walioanza kama wanafunzi mpaka wakaajiriwa kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Serikali kuwainua vijana kiuchumi

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kutatua changamoto ya ajira kwa watanzania alitoa ajira lakini pia kama tunavyojua serikali haiwezi kuajiri watanzania wote hivyo akasema ataweka mazingira wezeshi ya vijana kujiajiri Ili kufanisha hilo Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Viwanda...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Waziri mkuu, vijana wa TAESA wanateseka toka January hawajapokea mshahara, tusaidieni jamani

    Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti...
  4. JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

    Hizi tuhuma ni nzito sana. 👇
  5. JamiiForums Tanzania CDF General Mkunda naomba Interview ya Mazoezi yafuatayo itumike kwa Vijana watakaoomba Ajira zenu Mpya JWTZ

    Na nakuomba CDF Jenerali Mkunda kama Waombaji Ajira Wote katika Tangazo lenu wakiyashindwa haya Mazoezi yafuatayo muachane nao na mbaki na wale tu Watakaoweza ( walio Fiti ) kabisa 1. Wakimbie kwa Kuuzunguka Uwanja wa Mkapa mara 75 kwa Spidi kama za Winga teleza wa Yanga SC Tuisila Kisinda. 2...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia inasubiri kuona insurrection ya Azimio. Kuona kama vijana wake Raila watathubutu kufanya insu-erection.

    Hali imekuwa very tense Kenya. Raila amekuwa na wasiwasi mkubwa kutangaza maandamano,ameona matatizo mengi,ameona mambo mengi yanayoleta hofu,lakini vijana wake wameonekana wako tayari kumchezea simba masharubu. Kwa hiyo tunasubiri kuona jambo gani litatokea. Inaonyesha masses wana akili ya peke...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli ya vijana wengi wamejiajiri kwenye bodaboda ina usiasa mwingi ndani yake

    Kuna kauli mpya mjini imezuka iliyoletwa na jamaa wetu wa ma'mbele, kuhusiana na vijana na bodaboda. Ningetumia fursa hii kuliomba Baraza la Kiswahili nchini (BAKITA), kukipa neno "Lema" kama neno jipya likimaanisha kisawe cha bodaboda. (Hapo tutasema mangi kaupiga mwingi). 😂😂 Utani Mangi...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

    Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti. Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting. Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Amina Mzee atoa Mafunzo ya Vijana dhidi ya Dawa za Kulevya

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mjini Magharibi Amina Ali Mzee alikuwa mgeni rasmi katika kufungua mafunzo ya vijana dhidi ya dawa za kulevya yaliyoandaliwa na taasisi ya vijana Mwembetanga Youth Organization (MYO) Amina Mzee amewapongeza sana taasisi ya vijana ya Mwembetanga Youth Organization...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nimeacha CHADEMA vijana wengi imara, vyama sita vimeniomba nijiunge nao

    Dr Slaa siku ya leo jioni akiwa Club house amesema yeye ataendelea kutetea sera nzuri za chama cha CDM kwa kuwa ana uzoefu nao na amekijenga kutoka zero mpaka hapa kinapewa heshima. Kwa upande mwingine amesema yeye sio tena mwanachama hai wa chadema na hata hivyo vyama sita vimemuomba ajiunge...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwenyekiti wa UVCCM mbona kama vijana wamepigwa?

    Huyu Mwenyekiti wa UVCCM NI kweli alijenga hoja akachaguliwa na wapiga Kura au alipitoshwa? Nimemsikiliza anazungumza jukwaani Dodoma, nikamsikiliza anaanza kusema anataka amfundishe Dr. Slaa kujenga hoja, najiuliza MTU anayetembea ameandika vitu vyakusema kwenye hotuba yake anaweza mfundisha...
  12. JamiiForums Tanzania Tuwashike vijana mkono

    Nilichogundua kuwa, baadhi ya vijana wanaweza kupata mitaji hata kama sio mikubwa sana kama wangekuwa na uhakika wakipata hiyo mitaji wafanyie nini na kiwape faida Sasa nakaribisha watu hasa wafanya biashara wawasaidie vijana wenye mitaji ya kawaida… Mfano mtu aseme; Kama kuna kijana/vijana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi atua Singida kuzungumza na Vijana makundi matatu

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi kuanzia leo Alhamisi na kesho Ijumaa Machi 02-03/03/2023 atakuwa mkoani Singida na kufanya matukio matatu:- ✅ Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Bodaboda na Bajaji. ✅Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Chuo...
  14. JamiiForums Tanzania Elimu ya darasani haina faida zaidi ya kutengeneza vijana tegemezi

    Kuna watu tunawafahamu kabisa hawana hii elimu ila wako vizuri na unaweza shangaa wao ndio waliotusomesha mpaka leo tuko na degree na ma PhD ila wao hata hawakunusa karatasi. Elimu ya darasani hii imerudisha maenndeleo ya wananchi nyuma kabisa. Mtu anauza shamba eti mwanae asome mwisho wa siku...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Madiwani Rungwe watakiwa kusimamia utoaji mikopo kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameshiriki katika Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Busokelo Wilayani Rungwe pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo. Akitoa salamu za Serikali katika baraza hilo, Haniu ameishukuru Halmashauri hiyo kwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana

    Serikali ya Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya (Building Better Tomorrow) kwa kushiriki Kilimo biashara kupitia mashamba ya pamoja (block farms). WAZIRI wa Kilimo Husein Bashe, ametangaza majina ya...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana 812 waliochaguliwa kujiunga katika Programu ya BBT-YIA awamu ya kwanza

    Tarehe 23 Februari, 2023 Jijini Dodoma, Wizara ya Kilimo imetangaza awamu ya kwanza ya majina 812 ya vijana waliochaguliwa kujiunga katika programu ya Building Better Tomorrow: Youth Initiative in Agribusiness (BBT-YIA). Serikali kupitia programu hii itawawezesha vijana kushiriki kilimo biashara...
  19. JamiiForums Tanzania Asilimia 96 ya vijana walioomba Mafunzo ya Kilimo (BBT) wakosa nafasi, waliochaguliwa watangazwa

    Miongoni mwa vijana 20,227 waliojitokeza kuomba nafasi ya mafunzo ya Kujenga Kesho Mpya kupitia kilimo biashara (Building Better Tomorrow-BBT), ni vijana 812 tu ndio waliopata nafasi sawa na asilimia 4. Dirisha hilo lilifunguliwa Januari 10, 2023 na Wizara ya kilimo ikiwa ni maelekezo ya Rais...
  20. JamiiForums Tanzania TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Habari wana JF, Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo chini ya Taesa, kwa msiojua utaratibu wao ni kuwa wanakutafutia sehemu ya kufanya internship kwa mkataba wa mwaka mmoja halafu wanakulila 150k per month (Ambayo ni kipengele kwa kweli kuipata) na then mkataba ukiisha wanakuacha. Hii kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…