Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na Rais wa AGRA, Bi. Alice Ruhweza, na kueleza hatua zinazochukuliwa na Tanzania kuimarisha kilimo na kuwawezesha vijana kushiriki katika sekta hiyo.
Mazungumzo hayo yamefanyika Oktoba 21, 2026, kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug...