vijana wa kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Mabraza zenu hapa JF kwa vijana wa kiume kama vipato vyenu vya kusuasua achana na wanawake ambao kila mwanaume anatoa macho

    Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena. Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana. Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye masoli makubwa mdogo wake na mke wangu amekuja kunilalamikia kachukuliwa mpezi wake na bosi ambaye...
  2. Mr nobby

    PostGE2025 Asilimia kubwa ya vifo vilivyotoea Oct 29 ni vya vijana wa kiume (23-35's ndio wengi walikua mtaani) je tutarajie ongezeko la single mothers mtaani??

    Habari za jumapili Wana bodi! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimejaribu kuwaza hivyo, je tutarajie jambo kama Hilo kwa miezi mitatu ijayo? Ipo wazi, impacts za Oct 29,2025 hazitoonekana kwa mwezi huu Wala ujao lakini baada ya miezi mitatu na kuendelea kuna mambo mengi sana yatajitokeza...
  3. Just Pray

    GE2025 Video: Polisi wakifuata vijana wa kiume majumbani huko Mara

    Ujumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram. "Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la kutusaidia, hatuna viongozi tuko wananchi kujipigania wenyewe Hapo ni Nyamongo North Mara. polisi...
  4. Sharbel

    Maendeleo Kwanza: Vijana wa Kiume acheni kuteketeza Fedha kwenye mahusiano

    Vijana wengi wa kiume hukutana na changamoto ya kutumia muda na fedha nyingi kwenye mahusiano kabla hata ya kuweka msingi thabiti wa maisha yao ya baadaye. Ni jambo la kawaida kuona kijana anatumia kipato chake chote kuhudumia mwenza wake, kuanzia kodi ya nyumba, mavazi, chakula, hadi matumizi...
  5. ELI COHEN

    Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  6. Megalodon

    Vijana wa Kiume Tujifunze namna ya kutofautisha Wanawake, Hasara ni kubwa

    Kama kijana wa kiume, jifunze kutambua kuna wanawake ni MAALUM kwa NDOA tu na kuna wanawake ni MAALUM kwa shahawati za mwili na starehe tu , Hata wao wanajijua hivyo. Ndio ipo hivyo duniani kote. Kushindwa kwako kutofautisha hilo kama mtoto wa kiume litakuletea shida kubwa kwenye future yako...
  7. Faana

    Picha: Wanaume na vijana wa kiume tukumbushane

    Wanaume, ni kumbusho tu—baadhi ya shule zimefungwa, na zingine zinafungwa kesho, na miongoni mwa wasichana hawa wanaweza kuonekana wakubwa, walioiva, wenye kuvutia na kutetema, lakini msiwachanganye. Wanakua haraka na wanajua mengi, lakini kwa sheria, bado ni wanafunzi na watoto. Jiepusheni...
  8. Jack Daniel

    Hasira za vijana na namna wanavyoishi

    Salaam jamiiforum Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko mwenye miaka 50 kwenye historia zao. Mkikutana barabarani,wamependeza Sana, wengine wamenyoa vizuri...
  9. Paspii0

    Ndoa za vijana wa kiume na wenza wenye Umri mkubwa kuwazidi!.

    Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’? Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
  10. Doto12

    Kwa nini vijana wa kiume wanajiachia na kuwa huru kwa dada zao

    Hiyo kichwa inahusika Watoto wa kike wakiolewa kaka zao wanakuja kama ndgu wengine. Cha ajabu tena katika umri mkubwa 30s wanajiachia kama mazombie. Hii kitu siielewi na nimeshuhudia vijana kwenye nyumb a kadhaa wakiwa very free na hawajali hata dada yao akitoa milio ya kupelekewa moto wanaona...
  11. S

    swala vijana wa kiume kujenga misuli kwa steroids/protein ni ushamba na kutokujiamin

    .
  12. Mkalukungone Mwamba

    Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kuigiza kama wanawake. Hii ni moja ya kichochoze wa kuvunja maadili

    Nina kereka sana kuona vijana wengi wa kiume kujiwekea utamaduni ambao kwangu na utafsiri kama kuongeza matukio ya kuvunja maadili ya Kitanzania ikiwemo 'ushoga'. Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii mfano Tiktok Instagram au Facebook unakutana na video za vijana wa kiume wakiigiza kwa...
  13. G

    Kasi ya vijana wa kiume kupungua kuoa si kwajili ya kuogopa majukumu, Kuwaoa wanawake wa sasa kikristo ni kujipiga kitanzi

    Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo. Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana wanaendelea kuoa kama kawaida, Wengi wanatumia kisingizio cha majukumu lakini hakuna ukweli, kuna vijana...
  14. Mwizukulu mgikuru

    Vijana wa kiume wamegoma kabisa kuowa

    Leo nilikuwa natizama kipindi cha "funguka" kwenye channel ya east Africa Tv almaarufu kama channel 5, mada ili yokuwa ikijadiliwa kwanini vijana hawaowi au kuolewa,?, Kwa upande wa wanawake wao walitoa maoni yao kwa wingi kuwa vijana wa kiume wanaogopa majukumu, Na vijana wa kiume walikomaa Na...
  15. Yoda

    Vijana wa kiume kutongoza wanawake waliowazidi umri sana ni tabia mbaya na ya hovyo?

    Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo? Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za...
  16. Kichuguu

    Kwa vijana wa kiume wanaotafuta wachumba

    Neda Israel; kuna warembo wengi wa kishua mitaani
  17. Allen Kilewella

    Vijana wa kiume muigeni huyu jamaa

    Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa. Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya baba zao. Vijana hao husahau kuwa anayotendewa baba yao na mama yao akisihrikiana na wao, na wao...
  18. Hance Mtanashati

    Vijana wapo hatarini zaidi kupoteza nguvu za kiume, matumizi ya ndimu ya unga yamekithiri mno

    Upatikanaji wa ndimu umekuwa adimu sana kipindi hiki na bei zake zimechangamka sana. Mbadala wa wafanyabishara wengi wa chakula wanatumia ndimu ya unga, na ni sehemu nyingi sana kwa sasa ndio ndimu wanayoitumia. Ndimu ya unga ni kisababishi kikuu cha kulegeza uume , hivyo kwa hii hali...
  19. Glenn

    Maisha ya bongo ni magumu mnoo vijana wa kiume wanapitia pagumu...Hasa bodax2

    Wakuu kuna wakati mawahurumia sana vijana wetu, wanapitia hali tete sana. Nililazimika kutoka saa 8.30 na kurudi saa 9.30. Kila kijiwe cha boda boda nakuta vijana wamelala chali usingizi juu ya boda boda zao hata hawasikii hata mlio wa gari. Mji umetulia hautii matumaini yoyote kwao angalau...
  20. M

    Kwa vijana wa kiume mnaotarajia kuoa

    1. Usioe kamwe mwanamke aliyeachika. 2. Usioe ndugu wa karibu. 3. Usioe mwanamke anayeomba omba Hela Kila mara, mwanamke mwenye upendo na wewe atakuhurumia. 4. Usimtegemee mwanamke kamwe.. 5. Usiishi ukweni. 6. Usidate na mwanamke anayetumia muda mwingi saluni. 7. Jitahdi sana ukiwezekana...
Back
Top Bottom