vifaru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Heche angalia usalama wako maana umewataja wenye bunduki , risasi, vifaru, magari ya deraya na zana zote za maangamizi duniani

    Just kutoa tahadhali! Angalia maisha yako, chukua tahadhali. Tetesi: eti wa kule wamemkolimba kuficha ushahidi wa MO 29!
  2. Carlos The Jackal

    PostGE2025 Muda huu wangekua wanapitisha Ma vifaru ,na ma vitisho mengi mengi, nguvu nyingi akili Kisoda. Tutaelewana Dec 9

    Dec 9, wote tutoke, tukadai Haki na Ndugu zetu WALOULIWA.
  3. wa stendi

    Vile vifaru pale Lugalo jeshini vinatisha

    Jinsi vilivyopangwa huenda viko tayari kwa lolote chochote ewe mtanzania siku ya kura kapige kura rudi nyumbani kwa amani msije sema sijawaambia
  4. Echolima1

    Askari wa Israel usiku huu wanaingia Gaza city na vifaru vyao

    IDF inafanya mashambulizi makubwa na makubwa zaidi huko Gaza kwa saa chache zilizopita. Vishindo vya makombola hayo yanasikika mpaka Israel kwa kweli Sasa hivi Gaza wanakipata kipondo cha kufa mtu
  5. The Zanzibar Echo

    Vifaru, ndege za kivita na makombora: Fahamu silaha zilizotumwa Ukraine

    Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (£205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu tuangazie aina ya vifaa vya kijeshi ambavyo vimepewa Ukraine. Ukraine imekuwa ikitumia makombora ya ATACMS...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Bashungwa: Adui wa Taifa Karne ya 21 siyo lazima aje na Vifaru, huja kwa njia za Kuvuruga Amani kwa Magenge ya Wanaharakati

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Watanzania kushikamana na kulinda nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje, akisisitiza kuwa adui wa Taifa katika karne ya 21 si lazima atumie vifaru bali anaweza kutumia njia nyingine zenye madhara makubwa kwa jamii. Akizungumza...
  7. Sigonella Island

    Ndani ya mwezi mmoja Hezbollah imechakaza vifaru zaidi ya 40 vya Israel

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Hesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:- ..⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️ 𝟰𝟬 𝗠𝗲𝗿𝗸𝗮𝘃𝗮 𝗧𝗮𝗻𝗸𝘀 𝗗𝗲𝘀𝘁𝗿𝗼𝘆𝗲𝗱 𝗯𝘆 𝗛𝗲𝘇𝗯𝗼𝗹𝗹𝗮𝗵… Hezbollah has announced the destruction of two...
  8. FaizaFoxy

    Kamanda wa vifaru wa mazayuni ajiuzulu baada ya kuchezea Kichapo cha Hezbollah

    Kamanda wa vikosi vya vifaru 8200 ambavyo kikawaida huwa mstari wa mbele kwenye mashambulizi, amelazimishwa kujiudhuru baada ya kutaka kunyayanyuwa bendera nyeupe ya kukiri kushindwa. Baada ya kikosi cha makomandoo kuchezea Kichapo cha Hezbollah, ambacho kikosi anachoongoza yeye ndicho...
  9. MK254

    Vifaru vya Israel vimeanza kuingia Rafah

    Mlionywa kufuga magaidi, haya... Israeli tanks have rolled into Rafah. What does this mean for the Palestinians sheltering there? ERUSALEM (AP) — The Israeli tanks that entered the periphery of Rafah early Tuesday stoked global fears that an offensive on Gaza’s southernmost city could endanger...
  10. 2019

    Karne hii vifaru basi, huko Gaza vinabomolewa kuliko Ukraine

    Asee huko Gaza kuna rundo la vifusi na skrepa za vifaru, hamasi wanavibomoa sana. Kwanini media za kimagharibi hazitangazi kama zilivyotangaza vya Urusi kule Ukraine? https://youtu.be/GQ3eDg-UShA?si=8sJ9o-FJ0o_VcZ42 Hata vifo vya Waisraeli ni vingi mno, kama Israel iliweza kushinda waarabu...
  11. Webabu

    Vifaru vya Merkava vimeshindwa kazi.Vile vya Abrams vya Marekani vyaingia mzigoni Gaza

    Wale wapenzi wachache wa Israel wameona matokeo yasiyopendeza katika jeshi la Israel.Walitaraji baada ya siku mbili kuingia Gaza,kajioneo kadogo tu wangeona vikosi vya IDF vikiwa vimebeba mateka mabegani na kupiga nao picha ili kuwarudisha Israel na wale wa mataifa ya nje kupakiwa kwenye ndege...
  12. M

    Marekani imeanza kujihami mapema kuhusu vifaru vyake vya ABRAHAMS inavyopeleka Ukraine!! Inahofu vitaunguzwa na kutekwa na URUSI!

    Marekani imeshaanza kuonesha hofu ya vifaru vyake kutekwa au kuchomwa moto na Majeshi ya urusi kama ambavyo vifaru vya ujerumani (Leopords) vinavyochomwa moto na kutekwa huko ukraine!! Marekani inasema kuwa itavyofoa sehemu muhimu kwenye vifaru hivyo ikiogopa teknologia yake kuangukia mikononi...
  13. Webabu

    Marekani yaongeza vifaru vya Bradley Ukraine baada vya mwanzo kupigwa vibaya.

    Baada ya idadi kubwa ya vifaru vya Ukraine kuripuliwa miongoni mwao vikiwemo idadi kubwa ya Bradley kutoka Marekani sasa riaisi Biden ameamua kumuongezea Zelensky vifaru vingine katika vita vya kutaka kurudisha maeneo yaliyomegwa na Urusi.
  14. S

    Video iliyochukuliwa na Camera ya Bradley fighting vehicle la Ukraine yaonesha namna msafara wa vifaru vya Leopard ulishambuliwa na Urusi

    Video iliyorikodiwa na camera ya mojawapo ya magarivita ya Marekani (Bradley fighting vehicles, yaliyoshambuliwa na Urusi) imeonesha namna msafara wa vifaru vya Ujerumani (Leopard tanks) na magarivitaya hayo ya Marekani (Bradley fighting vehicles) vilivyopigwa 'mtungo' na majeshi ya Urusi kisha...
  15. M

    Urusi ilivyosema sitishiwi na vifaru vya Ujerumani leopords-2, vitaunguzwa kama vilivyounguzwa vifaru vingine. Kweli imevitia kiberiti

    Rais Zelensky wa Ukraine alipigia debe sana kupewa vifaru vya ujerumani vinavyoaminika sana ulaya. Ujerumani ilikuwa haitaki kutoa vifaru vyake. Lakini mwisho wa siku ujerumani ikakubali kuipa ukraine vifaru vyake na kuruhusu nchi zingine kuipa ukraine vifaru vya Leopords-2. Vyombo vya...
  16. Webabu

    Huku vifaru vikiwasili Ukraine na Urusi yafungulia nyuklia

    Vifari vya Chalelenger vya Uiengereza inasemekana vimeanza kuwasili nchini Ukraine. Makamanda wa Uiengereza wameonesha wasi wasi wa askari wa Ukraine kutokuvimudu kuvitumia vifaru hivyo japo tayari wameshapata mafunzo yake. Kwa upande wake Urusi sasa imeanza kufanya kweli kuhusu tishio lake la...
  17. Webabu

    Vita ya vifaru kule Vulhedar/Bakhmut ishara ya ushujaa wa Urusi

    Bosi wa Wagner Prigozin sasa ametangaza rasmi kuikalia Bakhmut. Hata mkuu wa NATO naye japo hajasema kwa wazi naye amekubali kazi ya Bakhmut imeisha kwani yeye ametabiri kuanguka kwa Bakhmut baada ya siku tatu. Sijui kama alichosema raisi Zelensky kama ni kweli dhidi ya uvumi kwamba ana...
  18. MK254

    Urusi yaanza kulialia kuhusu vifaru anavyopewa Ukraine

    Yalalamika vikali kwanini Ukraine inapewa madubwana ya kuipiga Urusi. ========= Russia said on Thursday it saw the promised delivery of Western tanks to Ukraine as evidence of direct and growing U.S. and European involvement in the conflict. The Kremlin was reacting for the first time to...
  19. Webabu

    Huku vifaru vikipelekwa Ukraine. Zelensky asema anataka ndege na mizinga ya masafa marefu

    Baada ya kilio cha muda mrefu na kutegeana kwa mataifa ya magharibi yanayoisaidia Ukraine kupambana na Urusi hatimae mataifa hayo yamekubali kuipelekea Ukraine ilichodai kwa muda mrefu navyo ni vifari vya Leopard kutoka Ujerumani na Abrahms kutoka Marekani. Hata hivyo muda mfupi baada ya...
  20. Mtanga90

    Ujerumani yaruhusu upelekwaji wa vifaru vya Leopard 2 nchini ya Ukraine

    Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Anna Baerbock amesema "hatoizuia " Poland ikiwa itatuma vifaru vya Leopard 2 nchini Ukraine. Ukraine imetoa wito kwa nchi za Magharibi kutoa vilivyotengezwa na Ujerumani ambavyo wanasema ivtawasaidia kuishinda Urusi. Lakini Ujerumani bado haijatoa magari ya...
Back
Top Bottom