vidonda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mayova

    Msaada wa matibabu ya vidonda vya tumbo

    Jamani wapendwa mko poa? Nina tatizo la vidonda vya tumbo, naombeni kama kuna mtaalam anaye jua matibabu sahihi ya ugonjwa huu.
  2. Robert Mbathane

    Vidonda vya tumbo

    Chanzo Kikuu: # Maambukizi ya bakteria Helicobacter pylori (H. pylori) chanzo chake ni matumizi ya muda mrefu ya dawa za kupunguza maumivu kama Aspirin, Ibuprofen, Diclofenac). # Dalili zake ni pamoja na:- Maumivu ya tumbo sehemu ya juu. Gesi Kujaa tumboni au kuvimbiwa mara kwa mara. KuWa na...
  3. A

    MUONGOZO KHS VIDONDA VYA TUMBO NA H-PYLORI

    Habari za mchana wana jamvi naomba kuuliza vidonda vya tumbo na hylori ni vitu vinavyotegemea?namaanisha kwamba unaweza kupima h-pylori hlf kwenye kipimo iko iko doctor akagundua una vidonda vya tumbo?
  4. M

    Dawa ya vidonda vya tumbo kwa wale wanaosumbuliwa.

    Hii dawa ni ya kienyeji! Hii dawa imesaidia watu wengi na vidonda vya tumbo kwao imebaki historia. Ni dawa ya maji kwa mgonjwa ambae vidonda vina muda mrefu atapaswa kupata doz 2 mpaka 3 na kwa mgonjwa ambae vidonda havina muda mrefu mwaka mmoja kushuka chini atatumi dozi 2 tu. Bei ya dozi...
  5. Sarikiaeli

    Msaada wa tabibu bingwa wa Vidonda vya Kisukari

    Habari ya uzima wakuu ! Naomba msaada wa haraka, kwa ajili ya ndugu yangu, sawa kichwa cha habari hapo juu. Ndugu yangu, amepatwa na changamoto kubwa ya ugonjwa wa kisukari, unaombatana na vidonda vikubwa hasa miguu yote! Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu mahali hapa, hasa kwa wenye ushuhuda wa...
  6. Technophilic Pool

    Je, vidonda vya tumbo vinaua? Nasikia watu wanasema vinaua bado hainiingii akilini

    Wakuu nipeni update vidonda vya tumbo vinauwaje?? mi sijui mechanism Au kama kuna evidence za watu kufa Na kama kuna Mtu alishawai pona completely
  7. L

    Dawa ya vidonda vya tumbo

    Jana nilifika pale hospital ya muhimbili kitengo cha tiba asili nikanunua hiyo dawa ya vidonda vya tumbo, kwa maelezo ya Dr natakiwa kunywa chupa 15 mpaka 20 , nilinunua chupa 5 za kuanzia Kwahiyo ndugu zangu kwa wale mnaohangaika na gas, vidonda vya tumbo mnaweza kufika pale muhimbili na...
  8. A

    Je, unaweza ukawa una vidonda vya tumbo na usipate maumivu ya tumbo?

    Mambo vipi wana jamvi, naomba kuuliza, kwa uchache sana. Hivi unaweza ukawa una vidonda vya tumbo halafu usiumwe na tumbo? (usipate maumivu) kama ni ndio naomba kwa ufupi sana dalili nyengine za vidonda vya tumbo
  9. ELI COHEN

    Houthi wana pesa ya kurusha makombora ila hawana ya pesa ya kuponesha vidonda kutokana maasi waliofanya Yemen.

    Wazee wa vita takatifu dhidi ya marekani na israel na blah blah nyingi ili waonekane civilized ila kiuhalisia wao ni matapeli, makatili na wauaji. Unaendaje kusaidia mtoto wa malaya unaetembea nae wakati wa kwako wa kuzaa anaumwa na hajapata pesa ya kutibiwa. AKILI UOZO.
  10. ELI COHEN

    Sio muda mrefu tu Yemen imetoka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe na madhara bado yapo, ile bado hajapona vidonda huyoo tayari anaanza kurusha ngumi

    Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule. Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
  11. D

    Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

    Habari ndugu zangu. Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu. Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili...
  12. M

    Anayesumbuliwa Na vidonda vya tumbo tafuta majani yanaitwa mashona nguo

    Habari za Leo wakuu, Haijalishi vidonda vyako vimefika hatua gani au umekuwa ukisumbuliwa kwa muda gani, unaweza kutumia tiba ya asili kwa majani ya mashona nguo. Haya ni yale majani ambayo huwa yanatoa vimiba vidogo vya rangi nyeusi vyembamba, ambavyo huweza kunasa nguo unapopita karibu nayo...
  13. M

    Dawa ya vidonda kooni

    Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo. Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao. Au hata ya hospitali ni sawa Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
  14. Introvert Music

    Je, mchuzi wa maharage unafaa kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Wakuu naombeni majibu hivi mtu mwenye vidonda vya tumbo mchuzi wa maharage unamasihara kwake maana wife Hadi namuonea huruma anateseka sana mboga ya kulia wali maana anakula wali mkavu na ndizi tu
  15. Introvert Music

    Hivi njegere na mbaazi zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    kichwa Cha habari
  16. Scared

    Je njegere zinafaa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

    Wadau naombeni ushauri he njegere zinafaa Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo Kwa wanaojua msaada
  17. Scared

    Mrejesho wanajamvi kuhusu vidonda vya tumbo

    Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital. Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui. Naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha...
  18. Surveyor_1

    Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    Habari za asubuhi wana JF, Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya kabisa katika mazingira yetu ya nyumbani. Sitojikita kuelezea magonjwa kwa ajili ya kutorefusha...
  19. Tujisahihishe Tz

    Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo nitakutibu ndani ya mwezi mmoja

    Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila nafuu, Nina tiba ya asili itakuponesha ndani ya mwezi mmoja tu, kama ulikuwa Hulu baadhi ya vyakula utakula Kila kitu na mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya wiki moja tu baada ya kutumia hii dawa Mimi nilikuwa muhanga wa hii changamoto...
  20. KUKU_UFUGAJI

    Vidonda vya tumbo kwenye utumbo mdogo

    Vidonda vya tumbo vilivyopo tumboni (tumbo la chakula) na vile kwenye utumbo mdogo tofauti yake ni nini? Kwa wanaojua tafadhali naombeni kujua wakuu.
Back
Top Bottom