video

  1. JamiiForums Tanzania Video clip ya Lema anamaanisha nini?

    Kuna video clip hii hapa chini imekuwa posted na Lema kwenye mtandao wa X, nimeshindwa kuielewa vizuri. Mwenye ufafanuzi anisaidie - asanteni https://x.com/godbless_lema/status/1794461864656597292?cxt=HBwW2MS73d7jmucxAAAA&cn=ZmxleGlibGVfcmVjcw%3D%3D&refsrc=email
  2. JamiiForums Tanzania Video: Huduma kwa wateja Taasisi za Umma mbovu. Nimepiga simu Nest (PPRA) nusu saa hakuna anayepokea. Siasa zisiue huduma kwa jamii

  3. JamiiForums Tanzania Video: wakatoliki kesho msisahau matoleo maalum

    Kristu ni tumaini letu Tumsifu yesu kristu Milele Amina Kesho ni Jumapili nyingine nawakumbusha waumini kuja Na matolea maalumu. Pamoja na sadaka ya kuwategemeza maketesta wetu na walei. Tumsifu yesu kristu.
  4. JamiiForums Tanzania Nini dhumuni la video na picha za utupu?

    Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza? Nini hasa kinachochea ujichanue kwa hiyari yako au uchanuliwe na mwenzi wako sehemu za siro zikae...
  5. JamiiForums Tanzania Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu, Hamas waonyesha video yupo hai

    Wanaukumbi. Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya rambirambi kwa familia ya Kanali Asaf Hamami, kamanda wa Brigedi ya Kusini huko Gaza, iliyoanguka...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Kwa Hali Hii Viongozi Mnapata Wapi Ujasiri wa Kutuhimiza Tulipe Kodi?

    Tazama mwenyewe hali ilivyo kwenye Usafiri wa Mabasi yaendayo kasi, jijini Dar es Salaam alimaarufu "mwendokasi"
  7. JamiiForums Tanzania Video: Vyoo vya Saudi Arabia vina Camera ukijisaidia kuna watu wanakuangalia

    Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao? Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

    ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4 Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii. --- Mafuriko...
  9. JamiiForums Tanzania Mapinduzi yaliyoshindwa ya DRC. Ni kwamba jamaa walienda kufanya mapinduzi au walikuwa wachekeshaji?

    Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya Tiktok ili wapate viewers na likes . Anaejua account yao ya Tiktok aiandike chini hapo tuwa follow
  10. JamiiForums Tanzania Diddy aomba radhi baada ya video akimpiga Cassie kusambaa

    Baada ya viedo ya Diddy kusambaa akimpiga aliyekuwa mpenzi wake Cassie aomba radhi kupitia page yake. Pia soma: Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani
  11. JamiiForums Tanzania Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya mpenzi wake wa zamani, Cassie Ventura. Video hiyo ilinaswa kwenye moja ya hoteli waliyoenda kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kutokana na video hizi mbili unaweza kubashiri mstakabali wa sera za multiculturalism ambayo nchi za magharibi ziliupigia upatu na kukaribisha wageni?

  13. JamiiForums Tanzania VIDEO :Huyu Mkuu Wa Mkoa Wa Tabora aliyeingilia Mamlaka isiyomuhusu na kuhamisha walimu kwa LAZIMA, ana akili timamu!??

    Ualimu.. Ualimu ..Ualimu...😞😞😞 Ifike mwisho. Hizi ni aibu. Na huu ni UPUMBAVU. I'LL BE BACK
  14. JamiiForums Tanzania Nafanya Graphic Design, Window Repair and Installation, Phone Settings

  15. JamiiForums Tanzania Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

    ====== UPDATES ======= Habari zinazosambaa Mtandaoni zikidai Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu si za Kweli kwani Treni ipo kwenye Majaribio.
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Mohammed Issa aliyesema yeye si Mtanzania, kwanini bado yupo Bungeni?

    Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”. Sasa Humo Bungeni anafanya nini? Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, “ Tanzania” Sasa kama yeye ni Mzanzibar na hatuna nchi hiyo, humo...
  17. JamiiForums Tanzania VIDEO: CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina

    Wanakumbi. CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina katika kambi ya Sde Teiman katika jangwa la Naqab, ambapo Israel inatekeleza uhalifu mkubwa dhidi ya wafungwa wa Kipalestina waliotekwa nyara kutoka Gaza. Wafuasi wa Israel walikuwa wanasema Al Jazeera...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kuna possibility ya kuwa na video assistant referee (VAR) next season NBC Premier league

    Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani?! note : Hawa wazee wa TFF na board ya ligi wanaweza kuzingua, wataweka rushwa mambo yawe magumu, wapo...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Tuwe makini na Wanawake wanaocheza Judo

  20. JamiiForums Tanzania Video: Jamaa kayachokoza kayapata hajui afanyeje baada ya kutumiwa video

    Ila haya maisha 🤣🤣🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…