vema

Vema Seamount is a seamount in the South Atlantic Ocean. Discovered in 1959 by a ship with the same name, it lies 1,600 kilometres (1,000 mi) from Tristan da Cunha and 1,000 kilometres (620 mi) northwest of Cape Town. The seamount has a flat top at a mean depth of 73 metres (40 fathoms) which was eroded into the seamount at a time when sea levels were lower; the shallowest point lies at 26 metres (14 fathoms) depth. The seamount was formed between 15-11 million years ago, possibly by a hotspot.
The seamount rises high enough that its summit is at shallow depth, allowing sunlight to reach it and thus permitting the growth of kelp and algae. A number of sea animals and fish are encountered on the seamount; active fisheries existed at Vema Seamount and caused the disappearance of some animal species.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  2. Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

    Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima. Askofu Ruwai'chi ameonesha kukosa uvumilivu wa kimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe. #Roho itendayo dhambi ndiyo...
  3. T

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ? HEADLINE: CCM magnates in the media The treasurer of the Chama cha Mapinduzi (CCM) and advisor to the...
  4. Upinzani wetu jueni hamna kitu mtakifanya mkafanikiwa

    CCM IMEJIPANGA! MWAKA HUU MTAISOMA 🎹 Upinzani jueni kuwa KAZI ya CCM ya kuwaletea maendeleo ishafanyika toka mwaka 2020 mpaka Leo kilichobaki kwa CCM Wananchi na Wana CCM ni kusema ASANTE CCM ASANTE CHAMA TAWALA kupitia KURA Upinzani hamuwezi mkakurupuka from no where Leo eti fyokofyoko...
  5. Wachambuzi wahofia uwezo wa Bunge la 12 kuwakilisha wananchi, tuzo kwa Rais Samia yazua mjadala

    Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson likielekea ukiongoni kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kumekuwa na maoni ya kupwaya kwa Bunge hilo kwa kushindwa kufikia malengo ya Wananchi wanaowakilishwa zikiwamo changamoto za utawala bora, uchumi na kijamii. Hayo...
  6. K

    Kwa karne ya sasa, Mbunge ni vema awe na kisomo cha digrii ya kwanza

    Tuko kwenye karne ya 21 na dunia ya utandawazi bado unakuta kuwa sifa ya kuwa Mbunge ni kusoma na kuandika. Hili ni kosa kubwa sana. Tuchukue mfano umemteua Mhe. Mbunge awakilishe nchi kwenye kongamano na yeye ndiyo atachokoza mada kwenye kongamano hilo. Kweli Mhe. mbunge ambaye anajua...
  7. P

    Ushauri: Diploma ya IT ni vema kwenda Degree au VETA?

    Wakuu, wenye uzoefu wa elimu na maisha ya chuo msaada wenu kwa ushauri mtu alipiga diploma ya IT miaka mi3,,,heri aendlee degree au aende veta kusoma mambo mengine!?
  8. K

    Kufuatia matokeo dhidi ya Al Masry SC, ni vema tukamrudisha Aishi Manula kuwa kipa wa kudumu

    Jana Klabu ya Simba imecheza na Klabu ya Al Mastry na kufungwa magoli mawili kwa bila. Binafsi kama mpenzi wa Simba yale magoli yaliyofungwa kama Manula ndiye angekuwa kipa jana tusingefungwa yale magoli. Bado Manula anamzidi Camara kwa ustadi wa kulinda mipira ya hatari. Sasa ni wakati...
  9. Kuelewa Matumizi / Ugavi wa Umeme ni rahisi ukifananisha na Bandwith (Matumizi ya Simu) OffPeak na Peak Times.

    Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa unaweza kutumia Bwawa kama Battery), kwahio nikichukulia mfano wa kama watu wanaweza kunywa maji Pipa moja...
  10. Si vema serikali ya awamu 6 kulipuuza hili.

    Wasalaam Mungu wa binguni alitupa hii hazina tukaipoteza na kumpoteza mweka hazina. Hayati mwendazake alitengeneza njia sahihi kuhakikisha tunajitegemea kwa madini yetu, ajabu amefariki na upigaji wa tanzanite umerudi kwa kasi ya kimbunga. Sikiliza hapa uni jibu je tumelaaniwa?
  11. Lissu yuko vema

    TAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti. Na ndio maana unakuta TAL kama anakitu kinafukuta moyoni. Kama ni kuleta mabadiliko atayaleta hata akiwa mjumbe au...
  12. Mipango ya ccm kuisambaratisha CHADEMA inaenda vema lakini wakumbuke kulinda milango yao pia

    Mpaka sasa wamefanikiwa walau asilimia 40 kutengeneza kundi la upinzani ndani ya CHADEMA Kwamba sasa kuna makundi mawili yanayokinzana 1. Kundi la mwenyekiti 2. Kundi la makamu Makundi haya kupitia mamluki wa CCM ndio yatagombanishwa siku ya uchaguzi na mambo mawili yanaweza kutoka 1...
  13. U

    Nashauri Serikali iondoe kodi kwenye 'Peds' na 'Pampasi'

    Nashauri serikali iondowe kodi kwenye peds na pampasi na zigawiwe bure kwenye shule zote za serikali na binafsi,pia hata kwa wenye mahitaji maalum. Kwa mfano kuna kijana wa kiume jirani yangu anasoma shule ya msingi kila siku mama yake analazimika kununuwa pampasi Mana pasipo hivyo si mkojo...
  14. Kuna muda mwingine ni vema kukata tamaa

    Kuna muda mwingine ni vema kukata tamaaa🙄🙄🙄🙄🙄
  15. M

    Nandy haiba yako inaendana vema na mavazi ya heshima. Usivae nusu uchi

    Tofauti na mwanzoni alivyokuwa anavaa nguo nzuri sana na zinazomsitiri vema, hakika alikuwa anapendeza sana na nina uhakika ndicho kilichomuongezea umaarufu na kupendwa. Ila kwa sasa naona Nandy naye anavaa vinguo kuonyesha tumbo, mapaja na matiti. Ukiangalia sura ya Nandy haijakaa KIMCHARUKO...
  16. PreGE2025 Ni vema CHADEMA wasishupaze shingo itavunjika

    Wasalaam, Inafahamika wazi nchi hii hakuna vyama vya upinzani zaidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA). Vyama vingine vyote vinavyojiita vya upinzani ni matawi ya CCM na vimeanzishishwa ili kudhoofisha nguvu za CHADEMA. Sasa kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa baadae mwaka huu ni...
  17. Waziri Biteko: Tanzania imejipanga vema kuhakikisha inatumia fursa ya uwepo wa soko la pamoja la EAPP la mauziano ya umeme

    TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO 📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP 📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme 📌Wanachama EAPP watachangia Megawati Elfu 90 kwenye soko la pamoja la...
  18. U

    Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

    UPDATES: Huduma ya kuwaombea Wajane Wagane na WaleaPweke inaendelea kufanyika muda huu Wadau hamjamboni nyote? Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa Mwenge Dar es Salaam. Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya "...
  19. Teach Men Fashion: Kuna baadhi ya Mavazi "Mwanaume" sio vema kuvaa na Kutoka Nje

    Wakuu. Hii nchi ni huru, kila mtu ana ruksa ya kuvaa nguo yoyote anayopenda kikubwa asivunje sheria tu za nchi. Ila kuna baadhi ya mavazi, mwanaume sio vizuri kuvaa na kutoka nje kutembea nje mbele ya kadamnasi. Hapa ni baadhi ya mifano mitano (5): 1. Vipensi kuonesha Mapaja. Kuna watu...
  20. K

    Ni vema tukaelezwa ni kiasi gani DP world inailipa Serikali kwa mwezi?

    Serikali imeipa DP World baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Hili ni jambo jema kabisa. Sasa ni vema Serikali ikahabarisha wananchi wake ni kiasi gani DP World inailipa Serikali kwa mwezi ili tulinganishe mapato ya Bandari kabla haijachukuliwa na DP World na mapato ya DP World...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…