uzito

  1. Wakili wa shetani

    Wakati wa Ramadhan na Kwaresma watu wanaongezeka au wanapungua uzito?

    Nimekua najiuliza sana. Watakaobainika wameongezeka uzito warudie funga.
  2. M

    Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  3. SirAlfred006

    Uzito stahili kulingana na kimo cha urefu wako ( Ideal height vs Weight)

    Yazingatie haya;
  4. Yoda

    Kwanini dhambi ya riba haipewei uzito mkubwa kwa washika dini ya Uislamu ?

    Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo? Ni mazingira gani ambayo yanaruhusu waumini kushiriki biashara za riba bila kupata dhambi?
  5. Yoda

    Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  6. Yoda

    Kwa nini mauaji ya kimbari ya Wakristo Nigeria na DRC hayapewi uzito mkubwa kama Gaza?

    Maelfu ya Wakristo wameuwawa Nigeria kwa miongo miwili mfululizo na magaidi wa Boko Haram lakini hakuna kelele kubwa katika vyombo vya habari Africa wala popote duniani. Huko DRC magaidi wanachinja watu lakini hakuna kelele. Maisha ya Waafrika hayana thamani kama ya Waarabu na Wazungu?!
  7. Afisa_Nkai

    Jitahidi kupima uzito wa kila neno unaloletewa

    Wakuu Mimi Niko salaama, salama sijui ninyi huko, turudi kwenye uzi Siku moja Nguli wa falsafa bwana Socrates, siku moja alitewa habari na shushu, snitch pindi alipokuwa ofisini kwake, Bwana Socrates alimwambia hivi snitch ambaye alikuwa mwanafunzi wake kwamba kabla ya hujanipa hizo habari...
  8. Madihani

    CRDB imekuwaje tangazo lenu halikuwa uzito kama matokeo ya hayo marekebisho au matengenezo ya Benki yenu

    Watu tumelipwa: Overtime Allowance Airtime/Communication Allowance Transport Allowance House Allowance Lakini kwenye akaunti hakuna kitu na wenzetu wa NMB wanakenua tu meno yao ofisini. Toeni taarifa shida nini. Nipo hapa nawaza nikilipwa pesa ya likizo sijui kama nitaiona.
  9. SankaraBoukaka

    Kama Kuna Dawa Inachoma Mafuta Mwilini Basi Usiache Kuyala

    Katika ulimwengu wa sasa, ambapo uzito wa mwili unachukuliwa kuwa changamoto kubwa kwa wengi, ni kawaida kuona matangazo mengi ya dawa au virutubisho vinavyodai kuchoma mafuta mwilini kwa haraka. Hata hivyo, ukweli wa kisayansi ni kwamba hakuna dawa yoyote ya kienyeji au ya viwandani inaweza...
  10. IlakozeOnline Tv

    Kuunguza unene na kitambi

    Dawa pekee ya kuchoma tumbo lako liwe tambarare.. Utachoma mafuta ya tumbo ndani ya wiki 2. Katika kikombe cha maji ya moto ongezea maji ya limao nusu, kijiko cha chai cha pilipili manga , tangawizi kijiko kimoja cha chai , turmeric yaani binzari manjano kijiko kimoja cha chai..kijiko kijae...
  11. Mshana Jr

    Misamaha miwili yenye uzito tofauti

    Kwanza uungwana ni vitendo.. Na kujishusha ni kuonesha ukomavu wa akili.. Lakini vilevile kutubu ni kuonesha majuto na kujirudi kulikojaa tafakuri Lakini yote hayo huwa na maana ama hukosa maana kama yamefanyika kwa kushurutishwa ama kulazimishwa.. Kama mlengwa ni mtu mmoja ama ni jamii Job...
  12. D

    Punguza uzito kwa Juisi ya Papai na Karoti

    Njia ya Asili Baada ya chakula cha jioni (saa 2–3 usiku), andaa juisi nzito ya papai na karoti usiongeze maji kabisa kwa sababu papai tayari lina maji ya kutosha. Kunywa glasi moja kubwa mara baada ya mlo wa jioni. Faida zake ni: Husaidia mmeng’enyo wa chakula tumboni 🥗 Hufanya usiku wako...
  13. D

    Punguza uzito kwa asali na maji tu

    Kama unapambana na uzito mkubwa au unataka kulinda mwili wako usiongezeke, kuna njia rahisi na salama unayoweza kuanza leo. Soma kwa makini maelezo haya, hasa kama unataka kuondoa kitambi na kufanya ngozi yako ipendeze. wewe ni mwanaume au mwanamke, kitambi kinaweza kupotea kabisa. Faida kwa...
  14. Dr Luu

    Fahamu vitafunwa vya asili ambavyo vitakuweka mbali na magonjwa na kuongezeka uzito

    VITAFUNWA VYA ASILI Habari za wakati huu. Nimeamua kuja na mada hii baada ya kuulizwa na mdau na mpenzi wa tiba asili yakua " ni vipi vitafunwa vya asili ambavyo naweza kuvila hasa asubuhi? Baada ya kuulizwa swali hili nimeona niandike makala fupi juu ya vitafunwa hivyo ili wadau wengi...
  15. al-baajun

    jina Lako Linaweza Kufunga Maisha Yako? (Siri Ya Majina na Uzito Wake)

    Katika tamaduni nyingi za Afrika hasa za Kiswahili jina la mtu halikuchaguliwa tu kwa kupendeza au heshima ya familia. Jina lilizingatia: Asili ya neno hilo (kama lina mizizi ya vita, huzuni, roho, au baraka) Nguvu ya herufi za jina hilo kwa mujibu wa maandiko ya kale (kama Shams al-Ma’arif)...
  16. youngkato

    Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

    Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu 1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua 2. Saa nne unakula matunda sahani nzima 3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga 4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
  17. K

    Nauza mizani ya kupimia uzito wa nguruwe

    habari wadau nauza mizani ya kupimia uzito wa nguruwe kama attachment ilivyo kwa anayehitaji wasiliana kwa 0626333300
  18. Imani rubaba

    Usifanye kosa hili, Uzito wa Kuku wako, ni silaha ya mafanikio

    ⚖️Uzito ni Msingi wa Mafanikio Katika Ufugaji wa Kuku wa Mayai! Kwa muda sasa tumekuwa tukitembelea wafugaji wa kuku wa mayai katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Kitu cha kushangaza (lakini cha kawaida sana) ni kwamba wafugaji wengi hawana mizani kabisa ya kupimia uzito wa kuku wao! Hii...
  19. Yoda

    Kesi ya Tundu Lissu ichukuliwe kwa uzito wake, akitiwa hatiani kwa makosa ya uhaini itakuwa mwisho wake kisiasa.

    Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena. Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa kisha akaachwa akae gerezani kwa miaka kadhaa na baadaye...
  20. M

    Jinsi yakufuga nguruwe bila kudumaa na kupata uzito 117 kg kwa miezi 6 bila gharama kubwa

    Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group...
Back
Top Bottom