uzinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

    Wakuu salamu, Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako. Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana...
  2. JamiiForums Tanzania Uzinzi Huondoa Amani Kwenye Ndoa au Mahusiano

    Mkihubiriwa na watumishi wa Mungu mwache uzinzi mnakua wakali. Mnataka injili za baraka, pokea gari pokea nyumba. Tumeambiwa tusizini ili tuwe na amani katika maisha yetu. Maisha yetu yametawaliwa kwa kiasi kikubwa na ndoa na mahusiano. Ndoa yoyote yenye roho ya uzinzi haiwezi kuwa na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto zenye uzinzi na madhara yake

    Maana ya Neno Uzinifu Mtu ambaye hana ndoa lakini anafanya tendo la ndoa huyo anaitwa mzinifu. Maana ya Pili Mtu ambaye ameoa au kuolewa anapofanya uzinifu anaitwa mwasherati Inawezekana watu wengi tuna amini kwamba ndoto zenye kuambatana na vitendo vya uzinzi ni kitu cha kawaida tu , na mara...
  4. JamiiForums Tanzania Mabinti waambiwe ukweli serikali haitakuwa na muda wa kushughulikia ujinga na uzembe wao watakapozalishwa na wanaume wapenda uzinzi. Hasa mabinti mask

    MABINTI WAAMBIWE UKWELI SERIKALI HAITAKUWA NA MUDA WA KUSHUGHULIKIA UJINGA NA UZEMBE WAO WATAKAPOZALISHWA NA WANAUME WAPENDA UZINZI. HASA MABINTI MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba 1. Hakuna cha huruma hapa. Binti Yangu hakuna wa kukuonea huruma dunia hii. Kama hutojionea huruma...
  5. JamiiForums Tanzania Nimegombana na mtu wangu wa karibu kwa sababu nimemnyima Gheto langu asifanye uzinzi

    Nanukui "Oya kaka kuna demu nimempata hapa chapu naomba funguo niende nae gheto kwako nikapige chapu" Nikazima simu kabisa Baadae analeta makasiriko Yani ukamwage shahawa zako na Malaya wako sehemu yangu ya kulala?? Huu upumbavu siwezi kufanya jaman au makosa?
  6. JamiiForums Tanzania Mwijaku aachwa na Mke Kisa UZINZI

    Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui. Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kiapo: Kuanzia leo nimeacha uzinzi

    Naapa kwa jina la JF kuanzia leo mimi Kazanazo nimeacha uzinzi sitakuja kurukia tena pisi za nje hata kama mke wangu aninyime kwa mwaka mzima Hili gube gube limeniambukiza uti sijawahi ugua toka nizaliwe wallah nimekoma sirudii tena
  8. JamiiForums Tanzania Yajue maneno maarufu yanayotumika kuhalalisha dhambi hasa ile ya uzinzi

    1. SLEEPOVER Hii inamaanisha mtu kwenda kulala kwa mpenzi wake. Ingekuwa ni kulala tu kusingekuwa na tatizo ila sleepover inajumuisha na ngono usiku kucha l. 2. ONE NIGHT STAND Hii ni ngono ya mara moja na kila mtu kuchujua hamsini zake. Wanaofanya hii mara nyingi ni malaya low profile. 3...
  9. JamiiForums Tanzania Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Jifunze hapa jinsi ya kushinda tamaa hiyo

    Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Yesu Kristo alitoa onyo hilo zito kuhusu dhambi ya uzinzi usioonekana kwa macho ya kawaida lakini unaotekelezwa ndani ya moyo wa mtu. Katika Mathayo 5:28 anasema hivi: "Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtazamaye mwanamke kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Uzinzi ni mbaya mnoo aisee, nishawahi fukuzia mrembo fulani ananifanyia dharau kumbe mme wa shangazi yake alipokuwa anaishi alikuwa anajilia kisela

    Ngono ni laaana duh, kumbe mtoto alikuwa anapata kila kitu ambacho binti yoyote angekihitaji maana mme wa shangazi alikuwa well-off plus unajua sugar daddy akionga basi anahonga kweli, nyie agemates wake anawaona wahuni tu😁 Aisee ila yule binti hata na huruma kidogo kwamba Shangazi mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wanaofurahia uzinzi, ulevi na dhambi nyingine watakavyoteseka milele

    Loo, wanacheka, wanarukaruka, wanacheza wakifurahia uzinzi, ulevi, ulaghai, wizi, na anasa za dunia. Wanadhani maisha hayo hayana tatizo. Lakini Biblia iko wazi kabisa: maisha ya dhambi yana mwisho mbaya mno. Ni mateso ya milele na milele. Tafadhali, fuatana nami leo tuitafakari habari ya tajiri...
  12. JamiiForums Tanzania Uzinzi Ndio Adui Mkubwa wa Kibali chako ulichopewa na Mungu

    Uzinzi siyo tu dhambi ya mwili, bali ni silaha kali ya adui inayotumika kuvunja, kuiba, na kuharibu kibali ambacho mtu amepokea kutoka kwa Mungu. Katika ulimwengu wa roho, kuna vitu ambavyo si rahisi kuviona kwa macho ya kawaida, lakini vina uzito mkubwa sana katika maisha ya kiroho na kimwili...
  13. JamiiForums Tanzania Ngoja tuongelee Uasherati na Uzinzi kidogo

    Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini? Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au kujamiiana kwa hiari na mtu ambae sio mkeo na wala sio mumeo yaan hamjaoana na hii inaingiza uzinzi...
  14. JamiiForums Tanzania Nilivyotapika katikati ya uzinzi baada ya kukutana na harufu ya yai viza

    Nilidhani wanawake wana harufu ya kisamaki tu,nilichokutana nacho mwaka huu,naapa kuacha uzinzi. Harufu ya yai viza baada ya kuvua nguo ya ndani.kumenifanya niokoke na kuchukia wanawake wanene Nilijikuta natapika katikati ya tukio.nikasingizia nina malaria. Cha ajabu ni mke wa mtu.hakika...
  15. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutofautisha kati ya Uzinzi, Ufuska na Uasherati

    Nisaidieni kutofautisha kati ya Uzinzi, Ufuska na Uasherati
  16. JamiiForums Tanzania Kataa ulimbukeni na uzinzi linda na penda ndoa

    Nimekuwa nikisoma kampeni chafu na uchwara za kataa ndoa zinazosambazwa na kutangazwa humu. Sifichi msimo wangu. Nachukia wale wote wanaokataa ndoa na kutaka kulazimisha wengine. Kama wanazikataa tokana na matatizo yao fichi, ni haki yao. Lakini wasilazimishe wengine. Nami hapa silazimishi...
  17. JamiiForums Tanzania Muda huu kuna wazinzi wanamcheka Mwijaku kufanya uzinzi

    Kama ilivyokuwa kwa "Mwijaku wa zamani" aliwacheka wazinzi wenzake waliomtangulia kubumbuluka kwenye skendo ya uzinzi. Ndivyo ilivyo hata sasa kuna wazinzi wengine wanamcheka "Mwijaku wa sasa" kufanya uzinzi. Kila mwizi ana siku yake ya arobaini. Hizo arobaini hazihesabiwi kama ulivyofundishwa...
  18. JamiiForums Tanzania Katoka hija juzi tu Leo kanaswa kashfa ya uzinzi alienda hija kusaka views au ibada

    Kwa yaliyotrend ni doa sana kwa alichokiendea hija ni ibada kila muumini utamani kabla hajaondoka duniani angalau aipate nafasi hio. Kupata kashfa kubwa kama ile si jambo la kusudio la kwenda kule. Ukiamua kufanya ibada achana na maasi na sio huku unataka kule unataka. Alienda kutrend views...
  19. JamiiForums Tanzania Uzinzi pekee ndo dhambi isiyofutika kwa watu

    WANADAMU HAWATA SAHAU JUU YA DHAMBI YAKO YA UZINZI🔥🔥 Mungu husamehe dhambi zote ikiwemo dhambi ya uzinzi au zinaa. Ikiwa wewe unasema umeokoka ukizini na mke au mume wa mtu au na yeyote;jambo hilo likibainika kwenye jamii yako,basi wanadamu hawatakaa wasahau hilo tukio.Hata kama umeacha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…