uwt

The University of Washington Tacoma (UW Tacoma) is a public university in Tacoma, Washington. It is a satellite campus of the University of Washington. UW Tacoma opened in leased space in 1990 and opened its permanent campus in 1997.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    GE2025 TAKUKURU yakamata wajumbe wa UWT kwa madai ya rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu Jimbo la Geita mjini walionekana katika picha mjongeo wakigawana rushwa katika mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM huku taasisi hiyo ikiendelea na uchunguzi...
  2. Ndagullachrles

    Moto wazidi kuwaka UWT K'njaro.walioenguliwa kura za maoni watishia kurejesha kadi za CCM

    MOTO WAZIDI KUWAKA UWT K'NJARO,WANACHAMA WATISHIA KUREJESHA KADI ZA CCM HALI bado si swari ndani ya Jumuiya ya wanawake wa Chama cha Mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake na wale walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kura za maoni kutishia kurejesha kadi za Umoja huo endapo mamlaka za juu za...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wagombea UWT Kilimanjaro wamlalamikia mwenyekiti wao kwa upendeleo

    Malalamiko yameibuka kutoka kwa baadhi ya Wagombea wa Ubunge kupitia kundi la Wanawake (Viti Maalum) Mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa mkoa huo,Elizabeth Minde, kwa kukiuka taratibu za uchaguzi kwa kupeleka majina ya wagombea kutoka Moshi Mjini...
  4. Ndagullachrles

    Ngoma bado mbichi UWT K'njaro, wagombea walioenguliwa waanika mtandao wa rushwa

    Moshi bado unaendelea kufuka ndani ya Jumuiya ya wanawake ya Chama cha mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kusaka nafasi ya ubunge wa Viti maalumu kufichua mtandao uliotumika kutawanya rushwa kwa wajumbe . Miongoni mwa wanaotajwa kutawanya rushwa kwa...
  5. Ndagullachrles

    GE2025 UWT Kilimanjaro kwafuka moshi; rushwa, upangaji matokeo na kujuana vyatawala kila kona

    Huko mkoani Kilimanjaro hali si shwari ndani ya Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha mapinduzi(UWT)kutokana na kilio cha wanachama wake kulalamikia vitendo vya rushwa,kujuana,upangaji wa matokeo na upendeleo katika kwapata washindi wa kura za maoni ndani ya jumuiya hiyo. Kinacholalamikiwa na wengi...
  6. Waufukweni

    GE2025 Wajumbe UWT wazuiwa kuuliza maswali kwa wagombea ubunge

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongela amezuia maswali kwa wagombea wa nafasi ya ubunge kundi la UWT. Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)) leo Jumamosi Agosti 2, 2025 wanafanya mkutano wa kuwachagua wabunge kupitia kundi hilo. Katika ukumbi...
  7. Ojuolegbha

    GE2025 Agnes Marwa Awashukuru Wajumbe wa UWT Mara Julai 31, 2025 - Ubunge Viti Maalum Mara

    Agnes Marwa Awashukuru Wajumbe wa UWT Mara Julai 31, 2025 - Ubunge Viti Maalum Mara
  8. and 998 others

    GE2025 Shilole atoswa UWT Tabora, aiangukia Kamati Kuu

    Mfanyabiashara Maarufu Duniani na Mwenye connection zake nchi nzima. Ametoswa na Wajumbe kwa sasa anategemea huruma ya Kamati Kuu. Ikiwa watakumbuka mazuri aliyowatendea siku zilizopita.
  9. McLaren

    Luguba na Kombani wang'ara kwenye Uchaguzi UWT Morogoro

    Wagombea wawili Kati ya wagombea 9 wameibuka Vinara Katika Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Mkoa wa Morogoro Uliolenga kuwapata wawakilishi wanawake kutoka mkoani humo watakaoshiriki katika hatua ya kitaifa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma pia: Kuelekea Uchaguzi...
  10. W

    GE2025 Mgombea UWT Singida agalagala na kuambulia kura 12 kwa wajumbe

  11. R

    GE2025 Kombani na Lukuba Wangara Matokeo ya UWT Morogoro

    Wagombea wawili Kati ya wagombea 9 wameibuka Vinara Katika Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Mkoa wa Morogoro Uliolenga kuwapata wawakilishi wanawake kutoka mkoani humo watakaoshiriki katika hatua ya kitaifa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Katika zoezi hilo...
  12. W

    GE2025 Maryprisca Mahundi apiga goti mbele ya wajumbe wa mkutano UWT akiwashukuru wajumbe na kuomba kura

    Naibu waziri wa mawasiliano na teknolojia ya habari Mhandisi Maryprisca Mahundi amepiga goti mbele ya wajumbe wa mkuato mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Mbeya akiwashukuru kwa kumuamini na kumchagua kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, huku akiomba ridhaa kwa wajumbe hao kumuamini na...
  13. W

    GE2025 Catherine Magige na Zaitun Swai kusubiri huruma ya Kamati Kuu baada ya kukwama UWT Arusha

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha. Wabunge hao ambao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
  14. R

    GE2025 Wajumbe UWT CCM Mkoa wa Njombe Kupiga kura za maoni Uchaguzi Wabunge Viti Maalum

    Wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Njombe wakiwa kwenye Ukumbi wa Agreement uliopo halmashauri ya mji wa Njombe kwa ajili ya kupiga kura za maoni katika uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu Mkoa wa Njombe Chanzo: Mwananch_official
  15. Idugunde

    Uchaguzi ndani ya UWT umethibitisha kuwa CCM hii haifai. Rushwa kila kona ya Tanzania mithili ya mvua ya mawe

    Wamehongana mchana kweupe kuanzia nje ya ukumbi mpaka ndani ya ukumbi. My take kama wanaCCM wanahonga namna hii kupata udiwani tu. Je kwenye ubunge na urais? Kwa ujumla hawapo kwa ajili ya kutumikia umma wa Watanzania. Wapo kwq ajili ya matumbo yao.
  16. Inside10

    TANZIA Mama Anna Makete, Mwenyekiti UWT Kinondoni Afariki Dunia

    Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kinondoni, Anna Makete, maarufu 'Mama Makete' amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Hindu Mandali Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Mwananchi Katibu wa UWT Wilaya Kinondoni, Aziat Juma amesema kuwa taarifa za kifo chake walizipokea mchana...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum UWT Kata ya Nachingwea, Lindi

    Katibu wa Chama cha Makandarasi Wanawake Kanda ya Kusini, Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza rasmi kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) katika Kata ya Nachingwea, Wilaya ya Lindi mkoani Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
  18. R

    PreGE2025 Mary Chatanda: UWT haitavumilia vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wagombea, hususan kwa Rais Samia, tutachukua hatua

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha Mapinduzi Tanzania UWT, Mary Chatanda ameweka msisitizo kuhusu ukatili wa kijinsia hasa kwa viongozi ambapo amesema UWT itawalinda wagombea wake dhidi ya ukatili huo hususani Rais Samia Hata hivyo amewataka wananchi nchini kujitokeza kugombea...
  19. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Suma Fyandomo akabidhi madirisha ya Aluminium nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Kyela

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Ikenda Fyandomo tarehe 06 Juni, 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kyela ambapo amekabidhi na kupachika Madirisha ya Aluminium kwenye Nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Kyela. Kupata matukio na taarifa zote...
  20. USSR

    PreGE2025 UWT wilaya ya biharamulo yampa zawadi ya saa maalumu mbunge wa biharamulo kwa uwakilishi wake uliotukuka 2020-2025

    Jumuiya ya umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi wilaya ya biharamulo imempa tuzo ya uwakilishi bora uliotukuka mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa kama ishara ya kukubali kazi kubwa aliyoifanya jimboni biharamulo tangu ashinde ubunge. Saa maalum yenye picha yake ni ishara kubwa...
Back
Top Bottom