Habarini leo narudi tena
Kumekuwepo na makundi mawili hapa duniani ambayo kwa sasa ni kama yanavutana hivi, lengo uzi huu sio kubeza watu ila ni kujaribu kuwekana sawa juu ya haya mambo ya muumba
Kila mtu au jamii ina tafrsiri yake juu ya neno muumba.. kwakuwa mimi ninaamini juu ya uwepo wa...
Yule Dogo ambaye Baba yake aliwai kuwa Mkuu wa 3 kwenye Taifa la Mcharo aliwai jisahau kuwa huwa anajitambulisha kama Atheist, akajikuta kaandika kitu kama hiki.
Baada kuwa confronted na Umma wa JF, kumtuliza ilikuwa ni kipengere
Kuna wakati nataka kuamini Mungu hayupo lakini kuna maswali ambayo najiulizaga mpaka leo sijawahi kupata majibu yake
1 Sayansi inasema ulimwengu ulianza (Big Bang) Kabla ya hapo hakukuwa na dunia, jua wala muda kama tunavyoujua. Swali ni hili kama ulimwengu ulianza, nani au nini kilianzisha...
Ingawa wanasayansi wengi hawajawahi kusema wazi kuwa hakuna Mungu, tafiti na maelezo ya sayansi yanapokuja na majibu yanayotofautiana na maandiko ya dini, mara nyingi huleta tafsiri inayofanana na dhana ya kutokuwepo kwa Mungu au angalau kutohitajika kwa Mungu katika kueleza asili ya ulimwengu...
Mbona kama TAJIRI anaonekana ana nguvu na anaabudiwa kama Mungu? Mbona watumishi wa Mungu wanamuogopa Tajiri kuliko Mungu?? KAMA KWELI MUNGU UPO TAJIRI ASIMALIZE MIEZI 7
Kama Mungu yupo kweli Mbona anaacha TAJIRI anaabudiwa na kuombwa kama Mungu?
Kwasasa TAJIRI ana nguvu kuliko Mungu huyu...
1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya.
2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini).
Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
Haya mataifa yote yenye rangi ya kijani ni ya kiislamu, wote wana chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo ilianza tangu enzi za Mohammad ambaye aliwahi kusababisha mauaji kwa Wayahudi na hata kuuza watoto wao utumwani. Na hata ukisoma maandiko yao kwenye "sahih muslim 2921" waislamu wameamrishwa...
Asalamaleku jukwaa!
Kwa kile nilichokiona labda kweli Kuna Mungu maana fikra zilinijaa kichwani pasina jibu sahihi.
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa maeneo fulani natembea tembea maeneo ya mto weruweru, kama mnavyojua kule Kuna fresh water yanayotoka katika kilele cha mlima kilimanjaro na watu...
You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs?
Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
Kuna mtazamo potofu wanao watu wa dini, wanaamini mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu basi ni mtenda maovu, hana maadili n.k
Mtazamo huu ni potofu.
Maadili ya mtu hayaamuliwi na imani yake ya kidini, bali misingi yake ya utu, malezi na jamii inayomzunguka.
Kuna sehemu tulikuwa tunafanya kazi...
Habari za siku ya leo WanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio...
Habari zenu Wanajamiiforums.
Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa.
Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana...
Ewe mzazi ukiona mtoto wako mdogo anapinga uwepo wa mungu usimshangae au kumwadhibu kwa sababu hiyo ni dalili kuwa mtoto wako anajaji Kila kitu anachoambiwa na mtu mwingine hata kama anamuheshimu kwa mfano mzazi.
Kwenye utamadauni wa kiafrika mtoto hatakiwi kipinga mawazo ya mtu mzima au mtu...
Kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati kuna maisha mazuri mbinguni kwa baba?
Kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda kwa baba kula raha, kufurahia maisha mazuri yasiyo na dhiki?
Wasalaam.
Nipo kwenye Group Moja la rapa mahiri na storyteller matata Sasa DIZASTA VINA,
Nimesha sikiliza ngoma zake kadhaa kama Vile kanisa ambazo ame jitanabaisha kuwa yeye haamini uwepo wa Mungu
Siku za karibuni alivyo achia ngoma ya TRIBULATIONS Ile aliyo mdiss Rapcha ame nukuliwa akisema...
Kuna wasiaminini , walisema Mungu haonekani, hasikilikani, hupati hisia ya harufu yake, wala hisia ya aina yoyote ya uwepo waje . Kwa hivyo hakuna Mungu.
Jibu alilojibiwa
Jee hayupo au humjui kutokana na upeo wenu mdogo?
Wakaulizwa twambieni, ndani ya chumba kinachofuata mnajua mnanini...
Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu,
Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli,
Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.