uwekezaji

  1. M

    Kwanini uwekezaji mkubwa wa kimkakati unaofanywa na Serikali ya awamu ya tano utaongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo ya watu.

    Serikali ya awamu ya Tano katika dhamira yake kuu ya kujenga uchumi wa kati wa viwanda, imekuwa ikijenga miundombinu wezeshi ya kufika azima hiyo. Kutokana na miundombinu hiyo ukuaji wa maendeo ya watu unafanyika.Mathalani Umeboreshaji wa sekta ya elimu kwa kuongeza bajeti ya mikopo kwa...
  2. Kwa kasi hii ya uwekezaji, je GSM anaitaka Yanga SC?

    Hebu tujadiri hili swala GSM naona anamwaga sana pesa yanga kwenye kununua wachezaji na hata motisha timu kila inaposhinda je ni kwa kuwa ni mdhamini ama kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia? Nakumbuka GSM kuna kipindi alitaka kuinunua African Lyon bahati mbaya ikashuka daraja sasa naona nguvu...
  3. Uwakala wa soko la utalii na usafiri wa ndege (Travel & tours)

    Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
  4. Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
  5. Rais Mstaafu Kikwete ahimiza uwekezaji katika elimu ya sayansi

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amehimiza uwekezaji katika sayansi, hususani katika kipindi hiki ambacho nchi inajielekeza katika uchumi wa kati ifi kapo mwaka 2025. Aidha, Kikwete ametoa mwito kwa waajiri kuruhusu watumishi kujiendeleza kielimu isaidie kuongeza idadi ya watu wenye shahada. Alitoa...
  6. Tanzania yaingia ‘Top Ten’ mazingira bora uwekezaji Afrika

    TANZANIA imeshika nafasi ya saba, katika nchi 20 zenye mazingira bora ya uwekezaji barani Afrika. Anaripoti Faki Sosi . Akizungumza na wanahabari leo tarehe 28 Oktoba 2019, Geofrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) amesema, utafiti huo huria uliofanywa na Kampuni...
  7. M

    Tanzania highlights business ventures for potential investors

    The Government of Tanzania highlighted key investment areas during the Tanzania - Belgium business forum in Dar East African country Tanzania is aware of President John Magufuli’s dream for the citizens and the nation, to become a semi-industrialized economy by 2025. The Parliament has made...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…