uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Serikali, Watu wanazidi kujenga kuzunguka Uwanja wa Mpira wa Ikhanga-Igawilo Mbeya

    Habari ndugu zangu! Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya. Uwanja huu ni mkongwe sana jijini Mbeya. Umetumiwa na timu kubwa kama yanga, simba wakija Mbeya kama kambi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha

    Hivi huyu aliyependekeza hii ramani ya uwanja mpya ARUSHA ana akili timamu kweli? Ilikuwakuwaje hiyo ramani ilipitishwa kwenye jopo la wataalamu? Ni Bora huo uwanja ukavunjwa ili tujenge uwanja mzuri na siyo hilo beseni.
  3. JamiiForums Tanzania Dhahabu ya bei mbaya yamkwamisha Burna Boy uwanja wa ndege Morocco

    Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mafanikio makubwa ya IDF kwenye uwanja wa Medani 2023/2024/2025!!

    Maangamizi mkubwa zaidi wa magaidi uliofanywa na IDF katika miaka miwili iliyopita: Walioangamizwa na Wasifu wao kwa mwaka (2024): 1) Salee al-Arouri Naibu kiongozi wa kisiasa wa Hamas, mwanzilishi wa tawi la kijeshi la Hamas 2) Marwan Issa Naibu kamanda wa tawi la kijeshi la Hamas 3)...
  5. JamiiForums Tanzania Ulipofikia ujenzi wa uwanja wa Arusha

    https://youtu.be/tG4B0NtWDd8
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

    Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii. Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29, badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia

    Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29 badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia. Ikumbukwe polisi waliuwa maelfu ya gen z na wanawake oct 29 wengi wakiwa majumbani. Je, Tutegemee nini #D9 polisi watakutana na visasi vya gen...
  8. JamiiForums Tanzania TFF yaufungia uwanja wa Mkwakwani kwa kukosa vigezo

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Leo Novemba 26 limeufungia Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kutumika kwenye michezo ya Ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na kisheria vinavyohitajika kwa matumizi ya viwanja vya mpira. Kwa mujibu wa TFF, miundombinu ya uwanja huo haikidhi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan kuapishwa kesho, Novemba 3, 2025 saa 4 asubuhi

    Kutoka BBC | Novemba 2, 2025 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma. Kulingana na taarifa ya serikali iliyotangazwa kupitia runinga ya kitaifa ya TBC, sherehe ya uapisho itafanyika katika uwanja wa kijeshi ambapo raia wa kawaida...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kama tumegeuka taifa la wapiga ramli na washirikina kirejareja

    Kila nipitapo humu, nimekuwa nasoma upuuzi uitwao 'utabiri' wa baadhi ya mazwazwa yanayojikomba kwa bi kidude kutaka wageuzwe chawa na kutupiwa makombo. Si hapa tu, hata huko mitaani, mchezo huu mchafu umeenea na kutamalaki. Ni kama tumegeuka taifa la wapiga ramli na washirikina kirejareja...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Watu mbalimbali wakienda kujaza uwanja kwenye kampeni za mgombea wa CCM

    Pamoja na mawimbi makali bado ccm imezidi kua imara, ccm imezidi kukubalika sana! Tazama hapa katika video WATU WAZIMA mbali mbali wakienda kusikiliza sera za mgombea wa ccm. Ama hakika CCM inakubalika sana.
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyogeuka uwanja wa vita(warzone) chini ya Trump

    US ya sasa chini ya Trump ni mapambano na mshikemshike kila kona. Wanajeshi wamezagaa kila kona na silaha, watu wanakwidwa na kubebwa mzobemzibe sio poa.
  13. JamiiForums Tanzania Video: Huu ndio uwanja uliopo Msoga unaotakiwa kujengwa kumuenzi Mzee Kikwete

    Huu ni uwanja uliopo Msoga na mara nyingi sherehe za serikali hufanyika hapo ikiwemo Msoga marathon. Kutoka hapo mpaka kwa Kikwete kwa mwendo wa gari ni dakika 2, kwa mwendo wa mguu dakika 10-20. Kiuhalisia huu uwanja ujenzi wake hauna tija yoyote kwa wananchi maana hata huko Msoga kwenyewe...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uwanja wa Mkwakwani ulifungwa zaidi ya miezi sita kwa ajili ya Marekebisho huwezi kubali

    Ukiangalia uwanja wa mkwakwani na ukaambiwa umetoka kwenye matengenezo huwezi kubali kwanini Majukwaa ya mashabiki badala ya kuweka viti vya kukunja viko vilevile na hayana paa Pembeni mwa uwanja badala ya kuweka nyasi ila kumuwekwa kokoto Surface ya uwanja mbovu bado ina-mabondemabonde- nyasi...
  15. JamiiForums Tanzania Narudia tena, hakuna uwanja utajengwa pale Jangwani

    Wanasema ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa. Nilishatoa angalizo mara nyingi, hakuna uwanja wa mpira utakaokwenda kujengwa pale Jangwani. Hizo habari za hati ni siasa tu. Ina maana uwanja wa Kaunda haukuwa na hati? Tutarudi katika uzi huu mwaka 2030 hakutakuwa na uwanja...
  16. JamiiForums Tanzania Wenye NIDA tukutane Uwanja wa Mkapa - Uapisho (November 2025)

    Wenye kitambulisho cha NIDA tuna furaha zaidi hivyo basi tukutane kwenye uapisho Uwanja wa Mkapa
  17. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Samia Arusha

    https://vm.tiktok.com/ZMAFMLYqh/
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

    Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani, twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa. Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
  19. JamiiForums Tanzania Wahamiaji 225 wakikutoka Amerika kaskazini watua kwenye uwanja wa ndege wa Ben-Gulion

    ✈️🇮🇱 Siku ya kihistoria nchini Israel, safari ya 65 ya ndege ya kukodi ya aliyah ya Nefesh B’Nefesh ilitua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion, na kuleta olim wapya 225 kutoka Amerika Kaskazini. Ndege hiyo ilibeba watoto 125 (mtoto wa mwisho akiwa na umri wa miezi 9 tu), wasio na...
  20. JamiiForums Tanzania Msigwa kama unashangaa waTanzania kutojaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzako mwamposa aujaze uwanja.

    WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini? Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…