Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi!
Nimekuwa nikikatwa pesa katika kamisheni yangu ya miamala ya uwakala na M-Pesa nikifuatilia naambiwa kuwa nimefanya miamala batili bila maelezo zaidi
Mimi ni wakala wa M-pesa, hivi...
Wasalaam ,
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
bila
kutangaza
meli
mpya
nafasi
sawa
shirika
taasisi
taasisi ya umma
tasac
umma
uwakala
vigezo
waajiri
wafanyakazi
wake
waliokuwa
wenye
Wanabodi? Habari ya majukumu? Wakuu, wakongwe, vingunge na wasaka tonge wote! Ninaomba nipate elimu tosha kuhusiana na biashara ya uuzaji wa saruji, kuanzia taratibu Zote kwa hatua ya mfanya biashara wa kawaida mpaka kuwa wakala, faida, changamoto zake zipoje, taratibu za upatikanaji wa bidhaa...
Habari wanajamvi anahitajika mhudumu mwenye uzoefu wa huduma za uwakala wa simu na benki sharti awe na mdhamini na anaishi dar es salaam maeneo ya kibamba
Mwenye kukidhi vigezo aje pm
Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake...
Mashine za uwakala wa Benk zinauzwa
Benki zilizopo
NBC
EQUITY
CRDB
NMB
SELCOM
EXIM
LAINI ZA UWAKALA
TIGO
VODA
AIRTEL
HALOTEL
Bei ya VYOTE 6M haipungui.
MAWASILIANO : 0653851536
Location : Dar Es Salaam,Kijitonyama
NOTE :
Ukinunua Mashine itabidi uwe na AMBA YA NIDA, LESENI na TIN...
Habari wakuu
Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara
Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu
Je nitafanikiwa kwa mtaji huo?
Biashara hii ina changamoto zipi?
Nizingatie mambo gani?
Laini za uwakala wa miala ya kifedha zinauzwa, Mbeya mjini. Hallopesa,Mpesa,Yas,Airtel money. Bei Tshs 400,000/= Bei inazungumzika. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Karibu katika duka letu la Uwakala, Digital Financial Bridge (DFB), lililopo Tandika Sokoni. Tunatoa huduma za miamala ya simu kwa mitandao yote ikiwemo:
Tigo Pesa
Airtel Money
M-Pesa
Halo Pesa
T-Pesa
Azam Pesa
Pia, tunatoa huduma za miamala ya benki mbalimbali kama vile:
Absa
Access Bank...
Nilikuwa na ofisi yangu ya Uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu lakin bahati mbaya nimefulia na line zipo ila sizifanyii kazi.
Kiukweli sina mpango wa kuzitumia hizi line tena.
Kama unazihitaji tunaweza kuingia makubaliano/Mkataba ili kuwe na usalama kwako na kwangu pia.
Line nilizonazo ni...
Habari za majukumu wanajamvi naomba msaada mtu anaeweza nisaidia kupata eneo zuri lenye mzunguko mzuri wa biashara za UWAKALA wa MPESA TIGO PESA na Banks pia.
Iwe ndani ya KINONDONI-Dar es salaam
Naomba aje inbox
Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu)
Vigezo na mashariti
1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA
2. Uwe na TIN number
Huduma popote ulipo Tanzania inakufikia, Malipo baada ya Kazi au Unaweza kuja Kigamboni.
Whatsapp...
Wahi offer
Laini za wakala zimebaki mbili ni full documented na tunaandikishana, ikiwezekana twende kuchange usajili
Imebaki Halo pesa na Airtel money,
Zote nataka 90K
Karibu Dm
Sababu: ni kutopata muda wa kutosha kuisimamia kutokana na kubanwa na majukumu mengine mbali na eneo la biashara
Eneo: Km 30 kutoka mji wa Mafinga - Iringa
Huduma za uwakala wa benki: CRDB, NMB, NBC, TCB na MUCOBA. Mashine (POSS) zote ziko kwenye hali nzuri na zinafanya kazi
Uwakala wa simu...
Wazima ndugu zangu,
Si mnajua maisha yalivyo wanadamu tumeumbwa kupambana hapa duniani kwa miaka hii michache tunayoishi hapa alafu ukiangalia maisha ndio yanazidi kuwa magumu ila ndio hivyo tuliambiwa tulime ndio tule kula kwa Jason huko.
Lengo la kuja kwenu wakuu ni kuuliza kwa hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.