uwajibikaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ufisadi Jeshini: Rais wa China awatimua vigogo 9

    Nchini China, siku ya Ijumaa, maafisa tisa, wakiwemo maafisa wawili wa juu wa jeshi, wamefukuzwa kazi. Kwa mujibu wa Reuters, waliotimuliwa ni pamoja na Jenerali He Weidong na Admirali Miao wa Jeshi la Wanamaji. Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya China. Maafisa hao wamefukuzwa...
  2. JamiiForums Tanzania Maneno Kuntu kutoka Msemaji wa Jeshi la Madagascar " Haya sio Mapinduzi ni Kitendo cha Uwajibikaji"

    Mapema leo mchana Msemaji wa Jeshi la Madagascar Kanali Michael Randriairina alisema maneno kuntu ambayo yatakumbukwa vizazi na vizazi. Maneno hayo ni "Haya sio Mapinduzi, Hiki ni kitendo cha Uwajibikaji" Tukiwq tunaelekea tarehe 29 Oktoba 2025, macho na masikio yetu Watanzania ni kwa Jeshi...
  3. JamiiForums Tanzania Atakapoingia Rais mpya madarakani akapige magoti na kuziomba radhi familia hizi

    1. Mzee KIBAO. 2. Chaula. 3. Mdude. 4. Soka. Haya yafanyike regime ya waliotawala awamu hii wakiwa hai. Ili waone waliyowafanyia watanzania wenzetu. Baada ya hapo asiwasahau pia kina: 1. Alphonce Mawazo. 2. Sativa. 3. Lissu. Na wengine wengi tusiowajua na wasio na majina makubwa ila...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea huyu akitoka akakemea ufisadi bila na kusema atawawajibisha mafisadi Watumishi wazembe na uwajibikaji Atalinda rasilimli za nchi wakwepa kodi

    Mgombea Urais akisema kwa kinywa chake kwamba anachukia ufisadi atawashughilikia mafisadi. Watumishi wa Umma wazembe watawajibishwa na nidhamu kwa watumishi wa umma. Wakwepa kodi kukiona cha moto kulinda rasilmali za nchi huyu ana kura yangu. Sioni mgombea anazungumzia kuku za Uchumi wa nchi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi walalamika Ofisi ya Serikali ya Mtaa kugeuzwa kuwa Fremu 'Sinza E'

    Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Aron Kagurumjuli imesema umiliki wa kiwanja kilichopo kwenye kitalu namba 1,022 eneo la Sinza E, Dar es Salaam ni wa mtu binafsi kwa mujibu wa nyaraka zilizopo kwenye ofisi za ardhi. Kauli hiyo imekuja kufuatia baadhi ya...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kinachoendelea Tanzania Institute of Accountancy (TIA) ni uozo unaonuka

    Wasalaam ndg zangu Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zimetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fishy maana kesi kama hizi TIA zimekithiri sana na NACTVET ipo kimya. For instance kuna mwanafunzi amekuwa disqualified sababu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania CRDB mnazidi kupoteza uaminifu na Loyalty, kitu pekee kitachorudisha nguvu brand yenu ni "UWAJIBIKAJI", fanyeni haya lasivyo wengi zaidi watawakimbia

    Soko la benki Tanzania halijawahi kuwa na ushindani mkali kiasi hiki. Banks zipo kwenye mchuano mkali na Wateja wana uwezo wa kuhama benki kwa urahisi mkubwa mara 10 zaidi kuliko kubadilisha mtandao wa simu. kutunza wateja katika sekta hii kunahitaji Trust, Loyaty na uamiifu, ni vitu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji Wilaya ya Muleba wanatumia 'Road Barrier' kula rushwa

    Naomba nifichue huu uovu wa baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji waliopo Wilaya ya Muleba, wameweka “Road Barrier” maeneo ya Kasindaga wamekuwa na tabia ya kula rushwa hao na kunyanyasa watu wanaopita eneo hilo, ukipita tu bila kitambulisho lazima uache pesa pale la sivyo kazi unayo. Hili lichukuliwe...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uwajibikaji wa taasisi zinazohudumia wananchi; Je, wanafanya inavyotakiwa?

    Ni miezi 6 sasa nafuatilia usajili wa kikundi chetu kwa mkuu wa wilaya ya kinondoni chini ya wizara ya mambo ya ndani. Kila nikienda nipate majibu wananiambia taarifa zetu hazijarudi na hawajui ni lini zitarudi tumeamua kusajili kwa njia ya mtandao online tumelipia elfu 50 ya fomu ya huduma ni...
  10. JamiiForums Tanzania Kupunguza Matumizi na Kujenga Uwajibikaji wa Kiserikali Tanzania

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, ambapo mapato ya serikali mara nyingi hayalingani na matumizi yake. Badala ya rasilimali nyingi kuelekezwa katika maendeleo ya wananchi, sehemu kubwa ya bajeti imekuwa ikitumia kwa marupurupu ya wanasiasa, safari zisizo na tija, na matumizi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa ya maendeleo 2050 na uwajibikaji

    WanaJF, Natumaini tunaendelea vizuri wikendi hii. Leo nimekuja na ushauri kwa serikali yetu wakati tunapambana kuelekea kwenye uchumi wa juu kama nchi. Wakati tunajivunia maendeleo tuliyopata na tunayoendelea kupata kwenye sekta za afya, elimu, usafirishaji etc tunatakiwa tuhakikishe huduma...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba Asisitiza Uwajibikaji kwa Watumishi wa Ofisi za Hazina Ndogo Kigoma

    DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma na kuzungumza na Watumishi wa Taasisi hizo kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu shughuli za maendeleo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tujenge demokrasia inayozingatia uwazi, uwajibikaji na nidhamu ndani ya CCM

    Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni msingi muhimu wa demokrasia ya ndani ya chama. Mwaka huu, tumeshuhudia mwitikio mkubwa wa wajumbe kushiriki, jambo linaloonesha nguvu ya chama na uaminifu wa wanachama wake katika mchakato wa kidemokrasia. Hata hivyo, yapo maeneo...
  14. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza?

    Kama wewe ni Trafic Police, nani utamruhusu apite kwanza? a). Ambulance b). Gari ya zimamoto c). Kiongozi wa Serikali d). Watajipanga wenyewe? Soma pia: Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka Chanzo: Mwanachuo got talent
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  16. JamiiForums Tanzania Mhe. Balozi Ramadhan Omar Mapuri asisitiza uwajibikaji

    Rai imetolewa na Mjumbe wa Tume HURU Dr Cde Balozi Ramadhan Omar Mapuri kwa kuhimiza uwajibikaji.
  17. JamiiForums Tanzania Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi

    Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi. Maneno haya nime yatafsiri kutoka kwa pole pole, katika uhalisia mtu anaweza kuwa kiongozi mbaya kutokana na mazingira anayo yaongoza, mfano samia amevunja katiba wazi wazi ya chama...
  18. JamiiForums Tanzania Taifa lolote lile duniani likiongozwa na Mtawala mwenye Mshauri Hawara ambaye nae ana Ushawishi sahau kuona Uwajibikaji sana sana Chuki itazidi

    Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini wenye uovu huogopa kuachia madaraka?

    Katika historia ya mataifa mengi, tumewaona watu waliopanda juu kwa ahadi za matumaini, wakaketi kwenye viti vya enzi, wakiapa kuwatumikia watu. Lakini baada ya muda, baadhi yao wakasahau. Wakasahau kuwa mamlaka si urithi, ni dhamana. Wakasahau kuwa madaraka si kinga ya kuendelea kuumiza, bali...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020–2025 Unathibitisha Uwajibikaji wa Kisera au Ni Taswira ya Uongo wa Kimuundo kwa Umma wa Watanzania?

    0-0Wapambe wa demokrasia, kwenye Ilani ya CCM ya 2020–2025 kulikuwapo kipengele kilidhamiria kuunda ajira milioni 7 kwa vijana kupitia empowerment, training na access to low‑interest loans  lakini hadi sasa, yawapo jobless wengi; young people wengi bado hawajafikiwa. 209-1Zaidi, kulikuwapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…