Hivi karibuni, chapa za China katika sekta ya vifaa vya kielektroniki zimeendelea kuvutia duniani kote. Kutoka roboti zenye umbo la binadamu zinazoanza kutumika katika maisha ya kawaida, na mifumo ya akili bandia nyumbani, hadi uzinduzi wa kimataifa wa simu za mkononi zinazoweza kukunjwa kutoka...