uvumbuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing yawa jukwaa la kuonyesha uvumbuzi wa teknolojia ya China

    Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu wengi duniani, ikiwa ni pamoja na mgahawa unaotoa huduma wenyewe, roboti ya usimamizi kwenye hoteli na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya biashara iliyoanzishwa na Marekani haikuweza kurudisha nyumbani kampuni zake kutoka China

    Waziri wa biashara wa Marekani Gina Raimondo ameviambia vyombo vya habari vya nchi hiyo kuwa nchi hiyo inapaswa kushirikiana na washirika wake wa Ulaya ili kuzuia China kupata teknolojia ya hali ya juu na kupunguza kasi ya maendeleo ya uvumbuzi ya China. Pia ametaja kuwa kanuni za sekta ya...
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Huu uvumbuzi ukija bongo tumekwisha

    Habari wadau.. unaambiwa katika uvumbuzi uliozua gumzo ni huu wa Elon Mask uliofanyika katika Tesla Artificial Intelligent Event "Tesla AI event". Robot ya 5ft na 8in ikiwa na 125pound yenye screen usoni ambayo inauwezo wa kusoma kile unachokiwaza na kutoa maandishi ya kile unachowaza kwenye...
  4. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Wimbo wa Taifa la Tanzania ni Uvumbuzi wa Mtu wa Afrika Kusini

    Ubeti wa kwanza wa wimbo wa taifa la tanzania "Mungu Ibariki Afrika" unatumika pia katika nchi ya Zambia, Zimbabwe na Afrika Kusini. Maneno katika wimbo huo yalitungwa na mtunzi Enoch Sentonga huyu ni Raia wa Afrika Kusini. Wimbo huo aliutunga mwaka 1987 ukiwa na maneno "Nkosi sikelel i'Afrika...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Xinjiang machoni mwangu: Ubunifu na uvumbuzi unavyopewa kipaumbele katika maendeleo ya China

    Wasanii na wabunifu wa mambo ni watu muhimu katika jamii yoyote ile. Kwani sanaa hutambulisha vitu na mambo mbalimbali ya watu wa kabila au jamii fulani. Katika matembezi yangu kwenye mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur nimefika hadi kwenye kituo cha ubunifu wa sanaa za mikono cha Qifang mjini...
Back
Top Bottom