uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu wa UVCCM Pwani: Mtu anapataje ujasiri wa Kumzungumzia kirahisi Rais Samia

    Kwa mujibu wa Katibu wa UVCCM mkoa wa Pwani Iddy Ntonga amesema hawatomvumilia mtu yeyote anayehatarisha amani ya nchi na hawatakuwa tayari kuwa naye . Amesema mtu anapataje ujasiri wa Kumzungumzia kirahisi Rais Samia huku akisema watu hawa wapo ikiwa ni siku chache zimepita wakati wakiendelea...
  2. JamiiForums Tanzania UVCCM na Vijana machawa mnajua kama kuna siku historia itawakumbuka?

    Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya... Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mohamed Kawaida: Wateueni wagombea ambao CCM haitapata shida kuwanadi

    WATEUENI WAGOMBEA AMBAO CCM HAITAPATA SHIDA KUWANADI - KAWAIDA MWENYEKITI WA UVCCM (T) Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohamed Ali Kawaida amewataka wajumbe wa kikao cha halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Kagera kutenda haki kwa kuwapitisha wagombea udiwani ambao...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Wilaya ya Handeni avunja rasmi Makundi ya kiuchaguzi kwa vijana

    Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga Ndg. Shabani Lugendo amewataka vijana wote wa UVCCM Wilaya ya Handeni kuhakikisha wana vunja makundi ya kiuchaguzi ndani ya Chama na kuwaomba wasubiri jina la mgombea atakaye pendekwzwa na Chama Ameyasema hayo leo baada ya kufanya kikao cha...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanaenzi Hassan Suluhu akiomba ridhaa mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu UVCCM

    Mwanaenzi Hassan Suluhu akiomba kura kwa ajili ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM. Ameomba kutuwasilisha bungeni ni sahihi?😂
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Viti Maalum 6 walioshinda UVCCM Tanzania bara

    Msimamizi wa uchaguzi wa Viti Maalum kupitia kundi la UVCCM Bara na Zanzibar watakaowakilisha Vijana kwenye Bunge la Tanzania, leo asubuhi ya August 2 2025, ametangaza matokeo ya kura zilizopigwa usiku wa kuamkia leo ambapo kwa Tanzania Bara wamepatikana Wagombea sita. 1. NG’WASI KAMANI - KURA...
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge

    Wajumbe katika uchaguzi wa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi la vijana wa UVCCM wamewachagua wagombea sita akiwemo Jesca John Magufuli kuwa wabunge wa Viti Maalum kupitia kundi hilo kwa Tanzania bara. Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 2, 2025, kwa upande wa Tanzania Bara...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jesca Magufuli Mgombea Ubunge Viti Maalum Kundi la Vijana Geita akiomba kura kwa wajumbe

    Mgombea wa Nafasi ya Viti Vya UBUNGE Viti Maalumu CCM Kupitia Vijana tokea Mkoani Geita, Jesca John Magufuli akijitambulisha Mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa UVCCM Leo Dodoma
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu UVCCM kupiga kura kuchagua wabunge viti Maalum, Dodoma

    Wajumbe Mbalimbali wa Mkutano Mkuu Wa UVCCM hapa Mtumba Dodoma, Kwenye Mkutano Mkuu Maalumu , ambapo Leo Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wanapiga kura kuchagua Wabunge wa Viti Maalumu watakaowakilisha Vijana wa Chama Hicho
  10. JamiiForums Tanzania Mohamed Kawaida: Kila kiongozi akiamua kujiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, hatutokuwa na uongozi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida, aachia comments kujadili suala la Humphrey Polepole

    Hawa watu wa CCM wamekuwa na "ujinga" wa kupost vitu halafu wanafunga comments.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jessica Mshama: Tunawashawishi kwa hoja vijana washiriki uchaguzi

    Neno la Jessica Mshama kutoka Idara ya hamasa na Chipukizi UVCCM,Taifa kuhusu vijana kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msisahau aliyoyasema katibu wa UVCCM kuwa watatumia sindano. Nawakumbusha tu mana inasemekana Lisu anaumwa

    Msikilize TUTATUMIA SINDANO, NOW THE OPPOTUNITY IS RIPE
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe Baraza Kuu Umoja wa Vijana UVCCM, Shamira Mshangama amechukua fomu kuwania ubunge viti maalumu Tanga

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Shamira Mshangama amechukua fomu ya kuwania ubunge wa viti maalumu Mkoa wa Tanga. Shamira amechukua na kujeresha fomu hiyo Julai 2, 2025 kwa Katibu wa UVCCM Mkoa wa Tanga, Ibrahim Kandumila katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Bi. Ester James wa UVCCM ajitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge Jimbo la Katoro

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Kata ya Nyachiluluma wilayani Geita Mkoani Geita Bi. Ester James amejitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge katika Jimbo la Katoro. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini, Chifu Ole Shirima, atangaza nia ya kugombea

    KILIMANJARO: Wakati Joto la Siasa likiendelea kupanda kwakasi hapa nchini kuelekea uchaguzi mkuu Octobar 2025, Mwenyekiti wa UVCCM Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro Chifu Yuvenal Ole Shirima ameeleza kuwa na yeye tayari ameshakiandikia chama chake barua yakuomba ridhaa yakutia nia ya kugombea...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wanavyuo wa UVCCM: Mabadiliko yalifanyika katika tume ya taifa ya uchaguzi, inatupasa kushiriki uchaguzi

    Wanachama wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka katika vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam wamejitokeza na kubainisha mabadiliko yalifanyika katika tume ya taifa ya uchaguzi na kuwataka wananchi wote hususani vijana kuhakikisha wanatumia haki yao ya kikatiba kwa kushiriki...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyikiti wa UVCCM Mohamed Ali Kawaida: Ushindi wa CCM ni sawa na Kifo

    Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu...
  19. JamiiForums Tanzania AMIR: Rais Samia ametekeleza Katavi. Oktoba tunatiki'

    wakuu Ni kama October Tunatiki imeanza kupenya na No Reforms No election inasahaulika ===== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Katavi Ndg. Amir Said Katalambula amewasihi Wananchi wa Mkoa wa Katavi kupiga kura za kishindo Kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kutokana na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM: Hatuhusiki na Msiba wa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa na kuzuiwa kutokana na siasa zao, akisisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio hilo bali kimejipanga kuhakikisha kinashinda katika Uchaguzi Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…