uuzaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uuzaji wa Akiba ya Dhahabu ni dalili mbaya ya kushindwa kwa dola

    Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu ili kufadhili miradi ya miundombinu imenistua sana. Ni jambo linalopaswa kutafakariwa...
  2. Uuzaji wa viwanja kwa mfumo wa TAUSI ni kama kuna michezo hivi

    Mfumo wa TAUSI ambao unanunua viwanja moja kwa moja serikalini una uzuri na ubaya wake. Ni mara ya pili sasa najaribu kununua viwanja ambavyo vimeandikwa viko manispaa ya Kinondoni na navikosa. Mara ya kwanza ilikuwa mwezi wa tano kama sio wa nne mwaka huu ambako vilitangazwa viwanja Mabwepande...
  3. REA kuanza usambazaji na uuzaji wa majiko banifu mkoani Rukwa

    REA KUANZA USAMBAZAJI NA UUZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI RUKWA . Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Ndugu Msalika Makungu, leo Agosti 27, 2025, ametembelewa na ugeni kutoka Wakala wa Nishati Vijijini katika ofisi yake iliyopo katika mtaa wa 1 Barabara ya mkoani mkoa wa Rukwa.. Wakala huo ambao...
  4. Uwakala wa uuzaji wa jumla na rejareja wa Saruji

    Wanabodi? Habari ya majukumu? Wakuu, wakongwe, vingunge na wasaka tonge wote! Ninaomba nipate elimu tosha kuhusiana na biashara ya uuzaji wa saruji, kuanzia taratibu Zote kwa hatua ya mfanya biashara wa kawaida mpaka kuwa wakala, faida, changamoto zake zipoje, taratibu za upatikanaji wa bidhaa...
  5. Jinsi ya kupata leseni ya Uuzaji Bidhaa Jumla na Rejareja (Wholesale & Retail Trade)

    1. Pata TIN Number kutoka TRA Hatua ya kwanza ni kuhakikisha unayo Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hii ndiyo nyaraka ya msingi inayothibitisha kuwa wewe ni mlipa kodi halali. Bila TIN, huwezi kuendelea na mchakato wa maombi ya leseni ya biashara...
  6. A

    KERO Uuzaji holela wa eneo la kijiji unaosababisha Uchafuzi wa mazingira kwa kuchimba moramu kata Usagara, kijiji Nyangomango, kitongoji Nyaruhama

    Kuna tatizo linaendelea hapa kata ya usagara,kijiji Nyangomango,kitongoji Nyaruhama. Kuna uchimbaji wa molamu katika makazi ya watu na mbaya zaidi lipo shimo lefu sana ambalo limetokana na uchimbaji wa hyo molamu hii ni hatari na watu wanaoishi maeneo haya hasa watoto hasa kipindi cha mvua maji...
  7. China amerestrict uuzaji wa rare earth metals kama sehem ya vita ya kiuchumi aliyoianzisha trump-hii ndo sehemu Tanzania ya kusimamia

    Tumeona china ama-restrict uuzaji wa rare earth metals kwa nchi zote dunia sio marekani tu kama mtu anayepigana naye vita na haya ni maoni yangu ambayo yatakuwa na faida kwa nchi kama yakifanyiwa kazi Mfano wa rear earth material zilizopo Tanzania neodymium praseodymium
  8. X

    China vs U.S Trade War: China yazuia uuzaji wa bandari zenye thamani ya $ 23 billion zilizo Panama Canal kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock

    Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama Canal zinazomilikiwa na kampuni binafsi ya Hong Kong. Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana...
  9. Mikakati ya Uuzaji (Marketing Strategies) kwa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) Tanzania.

    Utangulizi Biashara ndogo na za kati (SMEs) ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, lakini changamoto kuu inayowakabili ni jinsi ya kufanikisha masoko yao na kuvutia wateja. Ili kufanikisha hilo, kuna haja ya kuwa na mikakati bora ya uuzaji inayozingatia mazingira ya kibiashara ya Tanzania...
  10. PreGE2025 RC Chalamila atangaza uuzaji viwanja Mabwepande-Kinondoni

    sema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274. -Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei. Soma Pia: RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani" Kufuatia maelekezo ya Rais wa...
  11. S

    China wamjibu Trump kwa vitendo yapiga marufuku usafirishaji wa gallium, germanium kwenda Marekani

    China imezuia uuzaji wa madini muhimu ya gallium, germanium na antimony kwenda Marekani. Madini hayo yanatumika katika utengenezaji wa vifaa vya kielekroniki pamoja na silaha. Katika taarifa yake kuhusu zuio hilo,wizara ya biashara ya China imesema China imeamua kufanya hivyo kwa sababu za...
  12. Tabora: Marufuku kuuza majeneza hadharani

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora ametoa miezi mitatu kwa halmashauri zote mkoani hapo, kutenga maeneo yatakayokuwa na miundombinu ya kujificha ya kutengeneza na kuuzia masanduku ya kuzikia maiti (majeneza) kwani kwa sasa wauzaji wa masanduku hayo wanayauzia hadharani kando na hospitali hali inayoongeza...
  13. Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10

    Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo. Kampuni hiyo ya...
  14. U

    Wito kampuni ya kimataifa ya Uuzaji wa Pizza isogeze huduma Kwa kufunguka migahawa yake maeneo ya Temeke na Mbagala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam. Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni, masaki, msasani na oysterbay hivyo tunaomba wafungue pia matawi na kuanzisha huduma za "delivery"...
  15. EWURA yaonya uuzaaji petrol kwenye madumu

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa tahadhari kwa umma kutokana na kuongezeka kwa matukio ya milipuko ya moto yanayotokana na uhifadhi wa mafuta ya petroli kwenye vifaa visivyo salama kama madumu na chupa za plastiki. Katika taarifa hiyo, EWURA imewaonya wamiliki wa...
  16. Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

    Kamuni yangu ni mpya je nawezaje kupata tenda na kupata wateja nje kama vile india na nk. Msaada kwa mwenye uzoefu anishauri
  17. Nitapata wapi kozi ya uuzaji wa madawa ya binadamu?

    Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki. Natamani nipate kozi fupi ya uuzaji wa madawa, wanajamvi nisaidieni niwapi hii kozi inatolewa
  18. Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa apiga marufuku uuzaji wa viwanja mitaani

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja...
  19. Tenda kwa madalali wa uuzaji wa maeneo na nyumba

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  20. Uuzaji wa Mirungi Usangi (Wilaya ya Mwanga) Umehalalishwa?

    Habari za hapa Jukwaani. Kuna Muuzaji wa Mirungi maarufu pale Usangi wilaya ya Mwanga eneo la Ndanda maarufu kama Kijiweni. Kuna Jamaa mmoja ikifika mida ya Jioni Pikipiki zinajaa pale Kijiweni kununua Mirungi na Bhangi. Huyu Jamaa anahusika sana kuharibu sana Vijana pamoja kuongezeka Matukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…