utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni nini kilikufanya uache ajira yako kwenye sekta binafsi uiingie Kwenye utumishi wa Umma ? Ni marurupu au Mikopo ?

    Habarini za Muda huu ndugu na Jamaa wa Jamvi letu pendwa la HHM. Baada ya salam ambayo utamaduni wetu watanzania kabla ya kuwasilisha Jambo kwa hadhira. Nimekuja na hiyo ajenda kufuatia msururu wa mawazo kichwani kwangu yakiigia na kutoka, mengine nikiyapatia majibu mengine siati majibu yake...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wastaafu Utumishi wa Umma kung'ang'ania ofisi

    Nimeshuhudia watumishi wa Umma mtaani kwetu ambao wamefikia umri wa kustaafu toka December 2024, February 2025 bado hawataki kukabidh Magari ya kazini wala ofisi zao. Mtu Hana Mkataba ila bado anaenda ofisin na kujihusisha kwenye maamuzi ya kiofisi kila siku na boss anavumilia huo upuuzi. Hii...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written Utumishi nafasi ya Planning Officer II mwenye madini share please

    Wadau nakwenda kupambania bahati yangu tarehe 25 mwezi huu, mwenye madini juu ya maswali ya written kada ya planning officer Fanya kushare
  4. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

    Habari wadau, samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
  5. JamiiForums Tanzania TRA Yatumia Consultant Kusaidia Kuajiri na Sio Utumishi

    Kulikuwa na Haja Gani TRA Kuajiri/Kutumia Consultant Kama Haiwezi Ku-Handle Zoezi La Ajira Yenyewe. Inamaana Huyo Consultant wao ni Mtenda Haki kwa Watanzania Maskini Kuliko Utumishi….! Pitia Screenshot ya Taarifa yao..
  6. JamiiForums Tanzania Tupia screenshot ya nafasi ulizoomba Utumishi ila hazijafanyiwa kazi bado

    Habarini Wakuu, Kuna malalamiko mengi sana kuhusu kasi ndogo ya Utumishi kushughulikia mchakato wa Maombi ya kazi. Maombi mengine yanachukua mpaka miaka mitatu bila kufanyiwa kazi na hatujui nini kinaendelea. Tutumie nafasi hii ku-share screen shot za maombi tuliotuma na bado hayajafanyiwa kazi.
  7. JamiiForums Tanzania Engineer-II practical interview za utumishi zinakuwaje?

    Habari zenu wakuu, Kwa wale wenye experience na practical interview za utumishi especially kwenye kada ya engineer -II naomba m-share tafadhari. Sharing is caring🙏
  8. JamiiForums Tanzania Utumishi leo wamenizuia kufanya online written interview

    Habari wakuu, mimi ni mtanzania mwenye miaka 29. Leo nimeenda kufanya interview ya forest officer II chini ya TFS kituo kikiwa chuo cha TIA. Jambo la kushangaza watu wa utumishi wamenizuia kufanya kwa sababu wanasema mpaka mda ambao nitaitwa kazini (Ikitokea nimepata) nitakuwa na miaka 30...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu online interview za utumishi

    Habari za siku wakuu, Naomba aliewahi kufanya online interview za utumishi anipe mwongozo namna ambavyo inakuwa kwenye upande wa format, je maswali ni ya kuchagua? Na yanakuwa mangapi?
  10. JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. Talent sourcing solutions UTUMISHI is a government organization...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Kubadili fani katika utumishi wa umma

    Habari Wana JF naomba kuuliza . Je? Kunauwezekano wakubadili fani baada ya kuajiriwa ( mfano nimeajiriwa katika wizara ya mambo ya ndani katika fani ya electrical na badae nikaenda kuongeza elimu nikachukua fani nyingine ya electronics and telecommunications inauwezekano wakanibadilishia fani...
  12. JamiiForums Tanzania Utumishi online Interview kwa kada ya umeme

    habari za mchana wanajamii naomba msaada kwa mtu ambae ameshawahi kufanya interview utumishi, interview ambayo ilifanyika online naomba kama itampendeza tuwasiliane pm apate kunielekeza mambo yanakwendaje kwa interview za namna hiyo Pia kwa mwenye uelewa na interview za online usisite kuchangia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya Rais Utumishi ni kero kuhusu hamisho kwenye mfumo wa ESS

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mtandao. Cha ajabu ni kwamba Watumishi walioidhinishiwa hamisho zao na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Simbachawene na Utumishi, lakini ni sahihi kwa watumishi wa umma wawapo kazini kuwa na mavazi yenye nembo au picha za watu fulani?

    Leo nimekusikiliza ukiongea kwenye kikao kazi cha wakuu wa taasisi za umma Dodoma. Umeongea mambo mengi mazuri, makubwa na ya msingi kwenye hotuba yako ya ufunguzi. Umezungumzia changamoto mbalimbali za kiutumishi, uwajibikaji, maadili nk. Umetoa mifano hai na ufafanuzi wa kueleweka. Nakupa...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Sekretarieti ya ajira wametoa taarifa kwamba walimu walio kosa maksi tano kufikia ufaulu kupangiwa vituo vya kazi kwa utaratibu maalumu

  16. JamiiForums Tanzania UTUMISHI: Tabia ya kutoa tangazo halafu mnaita watu kwenye usahili baada ya miezi tisa mkome.

    itaendelea wiki ijayo..
  17. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais, Utumishi imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu

    OFISI ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma. Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Deus Sangu ametoa agizo hilo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini TRA wametangaza kazi kwenye website yao ikiwa kuna ajira portal (Utumishi)?

    Ndugu zangu. 1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ? 2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira zinasimamiwa na taasisi badala ya utumishi, wasio na connection wanatoboa hapa ?

    Mfano kwa leo nimeona kuna tangazo la ajira TRA. Ni wao wenyewe wanasimamia zoezi, maombi yanatumwa kwao Wasio na connection wanatoboa hapa ? Boss yupo tayari kumpa ajira mtu asiemjua wakati Ndugu zake, Mtoto wake, ndugu wa mke wake hawana ajira ?
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini UTUMISHI wamezuia watumishi wa umma kukopa?

    WanaJF salam! Kuanzia mwishoni mwa mwaka jana Utumishi ilizuia mfumo wa manual wa kupitisha makato kwa watumishi wote na kutaka mfumo wa kielectronic kupitia ESS pekee ndo utumike katika kukopa na kupitisha makato kwa maHRO. Sasa katazo hili ndo linasababisha watumishi kushindwa kuuza madeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…