utu

Utu, later worshipped by the East Semitic Akkadian-speaking Babylonians as Shamash, was the ancient Mesopotamian sun god, god of justice, morality, and truth, and the twin of the Mesopotamian goddess Inanna (Ishtar in the Assyrio-Babylonian language), the Queen of Heaven. His main temples were in the cities of Sippar and Larsa. He was believed to ride through the heavens in his sun chariot and see all things that happened in the day. He was the enforcer of divine justice and was thought to aid those in distress. According to Sumerian mythology, he helped protect Dumuzid when the galla demons tried to drag him to the Underworld and he appeared to the hero Ziusudra after the Great Flood. In the Epic of Gilgamesh, he helps Gilgamesh defeat the ogre Humbaba.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utu Uzima Feki: Kukua kwa Umri Lakini Kukwama kwa Nafsi

    Asubuhi hii ya Pasaka, tunapoamka tukisikia mlio wa mataifa ukisherehekea ushindi dhidi ya kifo, tunakumbushwa kuwa Pasaka haimaanishi tu ufufuo wa Yesu, bali pia ni mwaliko wa kufufuka kwetu—kiroho, kiakili, na hata kijamii. Katika mwangaza huu wa asubuhi takatifu, tunapaswa kutafakari: Je...
  2. JamiiForums Tanzania Anthony D. Luvanda Kuna MC wanapost video na picha ambazo zinadhalilisha utu wa mtu

    “Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la mc kupost video clips kwenye sherehe lakini sasa wengine wanapost mpaka video ambazo zinadhalilisha utu wa mtu sasa inabidi kuzingatia sio kila kitu unapost na kama unavyojua tasnia ya MC imekuwa ikivamiwa na watu wengi na kila mtu anataka kuonekana yeye ndo...
  3. JamiiForums Tanzania Mazungumzo na Vijana wa 2000: Hali ni Mbaya, Watoto Wenu Wanaowindwa na Mabasha na Mashoga

    Hali ni mbaya—tena mbaya sana. Ni vigumu kuelezea kiwango cha uharibifu bila kushikwa na hasira kali. Tumeingia katika zama za giza, zama ambazo maadili yameanguka vibaya, na kizazi kipya kinazama kwenye kinamasi cha upotovu bila hata kupambana. Wale tuliowatarajia kuwaongoza—mababa wa kiroho...
  4. JamiiForums Tanzania Hasira hasara,tuishi kwenye misingi ya utu na ukweli

    Kuna Uzi humu nimeuona jana unaongelea ongezeko la watu wasio na hofu ya Mungu mtaani Ki msingi ni kweli hata humu mtandaoni maneno ya Mungu yenye kutumika kama meme ni mengi lakini pia hata watu walio asi kwenda misikitini na makanisani idadi yao ni kubwa pia. Mtaani watu kujichukulia...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM waweka ukomo nafasi za Ubunge na Udiwani Viti Maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli mbiu ya ccm ya 'kazi na utu tunasonga mbele' inalenga kuwaunganisha watanzania kama familia moja kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 2025

    Ni muendelezo wa nia na dhamira njema ya CCM na mbeba maono wa waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha taifa kua imara zaidi katika umoja, amani na mshikamano, na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote. Kwa wakazi wa mkoa wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mnaowapa vijana Bajaji na Bodaboda za mkataba kuweni na Utu!

    Habari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake. Katika maisha kila mtu ana njia zake za kupata fedha,hapa nazungumzia fedha halali. Nilimdhamini kijana mmoja pikipiki kwa mtafutaji mmoja kwa mkataba, kijana kapambana, pamoja na...
  8. JamiiForums Tanzania Update: Kazi na Utu, Tunasonga Mbele T2025 CCM

    *Uzi huu utakuwa ni update ya kila siku kuhusu kauli mbiu hii ambayo inamfaa kila mtanzania. * Kauli mbiu rasmi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni "KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE" . Kauli mbiu hii inasisitiza umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii huku...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchambuzi wa Kauli Mbiu ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025: Kazi na Utu, Tunasonga mbele

    𝗨𝗰𝗵𝗮𝗺𝗯𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝘂𝗹𝗶 𝗠𝗯𝗶𝘂 𝘆𝗮 𝗖𝗖𝗠 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗠𝗸𝘂𝘂 𝟮𝟬𝟮𝟱: "𝗞𝗮𝘇𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝘁𝘂, 𝗧𝘂𝗻𝗮𝘀𝗼𝗻𝗴𝗮 𝗠𝗯𝗲𝗹𝗲" 𝗡𝗮. 𝗝𝘂𝗺𝗮 𝗦𝗮𝗶𝗱, 𝗧𝘂𝗺𝗯𝗮𝘁𝘂 - 𝗨𝗻𝗴𝘂𝗷𝗮 Kauli mbiu hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 inabeba dhana kuu tatu: Kazi, Utu, na Maendeleo (Tunasonga Mbele). Hizi ni misingi muhimu inayolenga...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa Kazi na Utu ya CCM katika picha; Ongezea ya kwako

  11. R

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya CCM Uchaguzi 2025: Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

    Maswali yangu: 1. Kazi gani? 2. Utu gani? 3. Kusonga wapi? 4. Mbele wapi? 1. Ali Kibao 2. Soka et al 3. Ben saa nani 4. Kangoye na wengineo. 5. Katiba mpya iko wapi 6. Tume huru iko wapi? etc etc etc UTU UKO WAPI? KAZI IKO WAPI? TUNASONGA WAPI...kaburini/
  12. JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya CCM, ya Utu na Kazi, Imewapa Agenda ya Awali Wapinzani.

    CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu. Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake. Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
  13. JamiiForums Tanzania CCM Kazi na UTU mnadanganya umma.

    Kwa yanayoendelea nchini miaka mitatu ya serikali hii ya Chama hiki na mwenendo' na kauli za Vijana wa Chama hiki, kusema mnajali UTU ni uongo mchana kweupe. Watu waliopotezwa na kuuawa chini ya Chama hiki katika miaka 3 hii huwezi kuongelea UTU watu wakakuelewa. Hakuna mahali Chama hiki...
  14. JamiiForums Tanzania Utabiri uliofichika:- Kazi na Utu

    Utabiri ni kuona yale yajayo kiunaga ubaga. Utabiri lazima utimie. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri na kubashiri. Kutabiri ni jambo la rohoni wakati kubashiri ni jambo la mwilini. Kwenye kubashiri, ubashiri sio lazima utumie kwasababu uko mwilini, na ulimwengu wa mwili...
  15. JamiiForums Tanzania Hatua anazopitia binti wa kisasa kutoka usichana hadi utu uzima

    Zifuatazo ni hatua ambazo mabinti wa kisasa a.k.a watoto wa 2000 wana possibility kubwa kupitia kwasababu hata dada zao watoto wa 1980’s na wa 1990’s wamepitia tayari na sasa wanalipia hesabu yao ya kukengeuka kama wendawazimu. UMRI KUANZIA MIAKA 16 HADI MIAKA 26. Hii ndio stage nyeti na...
  16. JamiiForums Tanzania Sawa mambo yako hayaendi lakini usidhalilishe utu wako

    Sio kwamba hauna thamani ni basi tu uko unappreciated Fanya mabadiliko. Jiweke miongoni mwa wanaoona thamani yako then angalia jinsi utakavyoboreka haraka. Wakati ua halichanui, rekebisha mazingira ili liweze kukua, Sio kurekebisha au kubadirisha ua. Tusisubirie vya kuja kuthamini ubora wetu...
  17. JamiiForums Tanzania Utu uzima umebadili mtazamo wangu kuhusu mafanikio

    Nikiwa chini ya miaka 20 nilikuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa umasikini na shida niliona kama vitu vya kupita. Nilikuwa najiuliza na kushangaa sana inakuwaje mtu anaishi mpaka anafika miaka 30 hana nyumba, hajaoa hata hawazi kununua gari? Huo ni uzembe bwana nilijijibu mwenyewe. Sikuwahi...
  18. JamiiForums Tanzania Jamii ya Kiarabu ni watu wakorofi, washari, wenye ukatili na wasio na utu?

    Angalieni na fanyeni tathmini. Teams zetu za Simba na Yanga wakienda cheza. Morocco, Tunisia,Algeria,Egypt, Libya. Kisha wakienda kucheza Botswana,Zambia,Congo,Zimbabwe, nk Lakini angalieni pia matches hata zinazochezwa hapa Tz na teams toka kwa nchi za Kiarabu. Leteni majibu.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari tumeachana na Msiba wa Kariakoo tunaposti habari za Mkuu wa Mkoa; utu umezimwa na pesa

    Leo vyombo vyote vya habari vipo busy kupost clip za RC Arusha akieleza miezi sita ya uongozi wake. Vyombo vyote vimeachana na vifo na majanga ya ndugu zetu huko Kariakoo......kwamba kuanguka kwa ghorofa siyo habari bali miezi sita ya kisiasa ni habari. Tunaweza tusione tatizo kama Taifa ila...
  20. JamiiForums Tanzania Ule utu baina yetu sijui umeenda wapi?

    Nime angalia ile clip ya bwana Tarimo anavyo buruzana na wale vibaka kuna watu wanapita tu kama hawaoni na isitoshe gari iliyotumiaka ni binafsi na wanaojifanya polisi hawana sare na wakina mama wanaangalia tu badala yakupiga kelele,ili hali siku hizi kuna utekaji,kweli huu ndio utanzania wetu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…