utt amis

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT Amis

    Hello wakuu, Naomba kwa aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT aniambie faida za mifuko mwaka Huu ilikua asilimia ngapi Kwa: Liquid fund Bond fund Wekeza Maisha Jikimu Na Watoto fund
  2. D

    UTT Amis kuna shida gani? App yao haifanyi karibia wiki mbili sasa

    Habari wadau, Sielewi kwamba ni mimi mwenye ninayepitia hii hali au kuna wengine pia wanakumbana na hili. Ni karibia wiki mbili sasa ninashindwa kuingia kwenye App yao. Hii inanikwamisha kwa kiasi kikubwa kwani ninashindwa kutoa sehemu ya akiba yangu iweze kunisaidia kwenye masuala kadhaa...
  3. PeeWee

    Uwekezaji kwenye Hatifungani Vs UTT Amis

    Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni matumaini yangu kuwa mko wazima bukheri. Kama kichwa cha mada hapo juu, naomba kuuliza kuhusu uwekezaji kwenye Hati fungani na UTT Amis. Swali langu ni uwekezaji upi kati ya UTT na hatifungani una faida zaidi kwa mwekazaji katika maana ya ukubwa wa faida...
  4. E

    Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App

    Habari za muda huu wakuu, Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi) Kwa muda wa miezi miwili sasa...
  5. Nehemia Kilave

    Ni nani hasa mmiliki wa UTT AMIS?

    Naomba nijibiwe kwa ushahidi sio hearsay, ni nani hasa mmiliki wa UTT AMIS?
  6. R

    Je, kuwekeza UTT AMIS ni mfuko gani ambao hauna hatari?

    Habari wanajukwaa nilikuwa nataka kuuliza kuwekaza utt ni mfuko gani ambao hauna risk yeyote kabisa mm ndio nataka nianze hela kiasi 7M
  7. K

    Wapi pazuri kuwekeza hisa, bond au fixed deposit au UTT?

    Jamani kwa mtu ambaye hajawahi kufanya biashara ni wapi pazuri kuwekeza kama million 100? Hisa, kampuni zipi Zina hisa Bora,,NMB,CRDB,TBL, Serengeti Bia,Wapi hasa na kwanini? Bond..je za BOT 20 to 25 years?je ni rahis kuzipata mwananchi wa kawaida? Fixed deposit..eg 14 pcnt mfano finca au...
  8. B

    KERO;PESA kuchelewa kusoma UTT AMIS

    Habarini wakuu,husika na mada tajwa hapo juu.Kama kuna viongozi humu wa UTT amis,tunaomba muangalie namna ambavyo salio linaweza soma haraka kwenye akaunti baada ya kuwekeza at least iwe within 24hrs kuliko hii ya kukaa muda mrefu kwani inazua taharuki kwa wawekezaji wengi.Lakini pia itawasaidia...
  9. B

    UTT amis, naomba kujua maana ya hii "growth scheme

    Habarin wakuu,msaada kwa mwenye kufahamu haya mambo ; 1.Mfano umefungua akaunti UTT-liquid fund na ulishakamilisha usajili ofisini kwao,then baada ya mwaka ukataka ongezea mfuko mwengine mfano bond fund,je inawezekana ? 2.Naomba kujua maana ya hii "growth scheme" naiona kwenye liquid fund kama...
  10. kipoma

    Safari imeanza Leo na UTT AMIS

    Habari wadau wa uwekezaji katika UTT AMIS, Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande. Kipindi najiunga nimeambiwa usaliji haujakamilika mpka ofisi kwao ila naweza endelea kununua vipande kama kawaida.
  11. B

    Msaada: UTT AMIS monthly calculator

    Habarini wakuu, tafadhali aliyeelewa hapa anifafanulie kwenye huo ukokotoaji ulivyofanyika hapo sababu mimi nikipiga hesabu zangu kwa uwekezaji wa Tsh. 500,000 kwa mwezi, manake kwa mwaka ni 6,000,000 kwa riba ya 12% ilitakiwa kuwa jumla 6,720,000 cha ajabu pale kwenye jedwali kuna 6,341,251...
  12. U

    Mnaotumia App ya UTT Amis naomba msaada kwenye hili

    WanajF naomba mnisaidie hasa wale wanaotumia App ya UTT Amis! Nilifungua akaunti kwa kutumia hiyo App sasa pale kwenye usajili wa namba ya simu ya kutumia inanitaka niingize OTP wanayotumia kwenye simu! Baada ya kuweka hiyo OTP inakubaliwa na kunitaka niingize namba ya siri!Ajabu kila namba ya...
  13. U

    Naombeni tofauti ya mifuko hii Faida Fund na UTT Amis

    WanaJF, nawasalimu nyote! Ninaomba anayeijua vizuri tofauti iliyoko kati ya mifuko hiyo miwili anijuze!Ninaomba ninapofafanuliwa hilo nijibiwe maswali haya: UPI ni bora kuliko mwingine?Upi unamfaa mtu mwenye kipato cha cha chini kinachomwezesha kubaki na akiba ndani ya shilingi 30000/- kwa...
  14. Mpishimzoefu

    SoC04 Mfuko wa uwekezaji wa pamoja (UTT AMIS) uunganishwe na mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwakwamua Watumishi wa Umma

    Watumishi wa Umma wamekuwa wakipitia changamoto za kifedha kwasababu ya kukosa kipato Cha ziada,Iwapo mifuko hii itaunganishwa changamoto hii inaweza kupungua. Kwanza nianze na kueleza maana ya mifuko hii 1. NSSF Ni mfuko wa hifadhi ya jamii ambao unamsaidia mfanyakazi wa Umma au Taasisi...
  15. A

    KERO Huduma kwa wateja UTT Amis ni mbovu, simu zinakatwa au hazipokelewi kabisa na kwenye mitandao ya kijamii hawajibu

    Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis? Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa watu tuliopo mbali na ofisi zao hatujui kinachoendelea kuhusu pesa zetu, lakini pia maswali mengi...
  16. Mama Mwana

    Namna ya kujiunga na UTT AMIS

    Hellow friends, naomba kuelekezwa namna ya kujiunga na hii kitu
  17. mkarimani feki

    Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Wakuu nime-estimate matumizi ya familia yangu, bills na msosi kwa mwezi jumla yake ni 250k. Je mfuko gani UTT unaoweza kunipa fixed commission ya 250k kwa mwezi?
  18. WANGAMBA

    Ila UTT AMISS ni bonge la mchongo

    Ila UTT ni bonge la mchongo mwaka jana nimevunja kibubu changu cha chuma nikakuta m8 na usheee pesa nilijibanabana mwenyewe hamna kilichoongezaka, Mwaka huu 15/05/2022 nikafungua account UTT nilianza na laki 5 na baada ya hapo nikaendelea na utaratibu kama naweka kwenye kibubu nikipata 10k au...
  19. KingOligarchy

    Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) watangaza securities investment and trading course (SIT) kuanza mwezi ujao

    DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Baada ya kuangalia content nimeona walimu watakaofundisha ni kutoka watu wenye experience kutoka vitengo vya Treasury - Bank, UTT Amis watu wa portfolio management , kuna wengine pia ni CFA Holders! Kudos DSE this is good work, Tukutane...
  20. Vladimir Lenin

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Habari wakuu, Huwa naisikia UTT Amis kupitia mifuko yake ambayo ipo takribani sita, wekeza maisha, watoto fund, umoja fund, bond fund etc. Je, kuna mdau yoyote ambae ni member wa UTT anipe ufafanuzi zaidi? Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom