Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT), Samuel Eto’o, amefungiwa kuhudhuria uwanjani kwa mechi nne na kutozwa faini ya dola 20,000 za Marekani (Sh49.6 milioni), akidaiwa kufanya utovu wa nidhamu wakati wa mechi ya robo fainali ambayo Cameroon ilipoteza dhidi ya Morocco kwenye Kombe la...
Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi waliochezesha mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC.
Ibrahim...
Taarifa zilizo washangaza WATU MBALIMBALI ni kitendo cha msanii IBRA KWENDA Burundi kufunga NDOA bila kuwashirikisha wasanii wenzake. HUKU za chini zikidai kua ukweni NDO wamesimamia gharama za harusi ETI HADI nauli ya bwana harusi. Inasikitisha SANA DOGO kakosea aombe radhi haya ni maisha TU...
Kumekucha wana JF?
Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye.
Eti Mpina ni mtovu wa nidhamu kumwambia Rais shida alizotumwa na wananchi wake?
Jana wote tumeona na tumesikia alivyokuwa anaongea jinsi wananchi walivyokuwa wanashangilia kwa furaha...
Kiukweli na kiuhakika sitarajii wewe kama kweli ni mtiifu ,muadilifu ,mpenda haki na mcha Mungu kwa vyovyote vile unapokwazika eti uamue kubishana na kumdhihaki kiongozi wako wa chama!
Kama kweli umekwazika na kiongozi wako wa chama zipo taratibu za kufuata ambazo ni haki na maadili .
Nchimbi...
Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.
Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"
Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale...
NIMEONA VIJANA WAMEANZA KUCHUNGIZWA KWA UTOVU WA NIDHAMU
BERKANE WAMENIPA OFF SIKU MBILI SIKWENDA KAZINI
LAKINI KWA HUU UJINGA WA SIMBA ZNZ NA UTOVU WA NIDHAMU
NATANGAZA KUPUMZIKA AIKU NNE RASMI NIKISIKIA WAMEFUNGIWA NA CAF
IWE FUNDISHO NA HTA KWA MASHIRIKISHO NA MABODI YANAYOBEBA UJINGA...
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Suleiman 'Morocco' amewaondoa kambini nyota wake wawili kwa utovu wa nidhamu.
Katika taarifa iliyotolewa na ZFF, nyota waliofukuzwa ni Ibrahim Mkoko anayekipiga katika klabu ya Namungo FC na Abdallah Said (Lanso) wa KMC.
Utovu wao wa...
"Mtashurutishwa kutii ratiba, kanuni na sheria za nchi bila shuruti mpaka lini chadema yangu? Vijana wanatukana viongozi wa nchi wanaachwa tu? Nani atatupenda chadema, na nani atatuheshimu sisi kama chadema kwa hali hiyo? Tutaacha kugawanyika kweli kama ndio hivi? nani atachagua watu ambao...
Ni utovu wa nidhamu kugoma kufanyiwa sub,wengine wanasema kocha alidhani amepata injury,lakini utaona kocha akikasirika na kuongea kwa Mzize kugoma kutoka.
Hamna mchezaji mkubwa zaidi ya timu hata Samata na Msuva hawajafanya alichofanya Mzize leo.
Bodi ya ligi kamati ya nidhamu zote zipo kimya hawatuelezi hatua gani wamemchukulia kocha wa yanga Gamondi kwa kitendo cha kumpiga kiongozi mwenzie mbele ya kamera za azam tv kila mmoja anaona na mpaka leo anaingia kwenye mechi ya tatu bila adhabu wala tamko.
TFF mtueleze nini kimejificha au...
Vijana 131 kati ya vijana 3,698 waliokuwa kwenye mafunzo ya awali ya askari polisi kwenye shule ya polisi Tanzania zamani ikiitwa CCP ,wameshindwa kuendelea na masomo baada ya kufukuzwa shuleni hapo kutokana na makosa mbalimbali ikiwamo ya utovu wa nidhamu.
Hayo yamo kwenye Taarifa ya mkuu wa...
Rais Samia akifunga mkutano mkuu wa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa mwaka 2024 na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania katika viwanja vya Jeshi la Polisi (CCP) Kilimanjaro, amesema;
R4 si sababu ya utovu wa nidhamu, si sababu ya kukiuka sheria za nchi sheria za nchi...
Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo manne yanaweza kufanyika. Nayo ni:
Kukimbia, kama una uhakika unayo kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au
Kupanda mti mrefu au kuingia kwenye...
Jumapili wakati Nappe akigawa Tuzo Mlimani City na mkewe akiwa kitandani anamsubiri arudi nyumbani, alitenguliwa na hakuna sababu zilizotolewa na Rais kwa utenguzi huo.
Mashirika aliyofanya Nape akiwa kama waziri yametoa pongezi na kujifanya wanajua sababu wakati rais pekee ndiyo anajua sababu...
Luhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili.
Natanguliza shukrani
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu.
Akitangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 18, 2024 Dk Tulia amesema kuwa Mpina amedharau mamlaka ya Spika na Bunge...
Hakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu Lema akijibiwa kwa dharau ya hali ya juu mtandaoni na mmoja wa vijana wa chama chake. Hakika hili ni...
Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.