utoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwenye Injili ya Utoto ya Thomas (Infancy Gospel of Thomas), hadithi hii isiyo kanoni inasimulia matukio matatu muhimu

    Laana na kifo cha rafiki Yesu akiwa na miaka mitano alicheza kando ya mto, akakusanya maji kwenye dimbwi na kutengeneza ndege za udongo. Mvulana mwingine alipougia dimbwi lake, Yesu alimlaani na mara moja mwili wa mvulana huyo ukaanguka na kwenda maji – alikuwa amekufa kwa papo hapo. Wikipedia...
  2. JamiiForums Tanzania Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  3. JamiiForums Tanzania Haya wale ambao mnamtetea Ali Kamwe na Utoto, Upuuzi na kutaka Kwake Sifa zinazoenda Kumtokea puani sasa mjibuni huyu Dada kama mna Hoja za maana

    "Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe msamaha mkuu watu wa mkoa Paul Chacha."- Christiana Mwagala ( @mwagala.christina) Afisa Habari wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga Dar wagomea dabi kuchezwa tena baada ya kuota mbawa

    Wazee na wanachama wa klabu ya Yanga leo wakiwa Makao Makuu ya klabu ya Yanga Jangwani wametoa msimamo wao juu ya mchezo wa Dabi dhidi ya Simba ulioahirishwa mnamo tarehe 8/3/2025. Pia, Soma Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni Bodi ya Ligi Kuu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli viongozi wa Yanga wana utoto na ujinga? Majibu ni haya

    Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia page yako kwenye insta unawaambia wanayanga twendeni uwanjani, wewe unabandika listi ya kikosi kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe bado ana utoto mwingi anaigharimu timu

    Nafasi yake inahitaji mtu makini mtu serious,Haji Manara hafai ila Ally Kamwe ndio hafai kabisaa Kuna vitu hatakiwi kuongea ila ndio anavishikia bango,anavyotakiwakuongea ndio haviongei. Anatujaza upepo mashabiki wa Yanga tofautina uhalisia.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Uzee huwa unaambatana na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza busara, kumbukumbu na kurudi kwenye hali ya utoto

    Kama kuna kipindi tunatakiwa kuwa karibu na wazee wetu ni kipindi wanapo kuwa na umri mkubwa. Wazee wetu wanapo kuwa na umri mkubwa huwa wanakumbwa na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza maarifa na busara, akili zao hurudi nyuma na kuwa za kitoto. Nashauri vijana wenzangu ambao wazee wao bado...
  8. JamiiForums Tanzania Mbabe aache Ujinga wa kuishi kwenye Kivuli cha Ronaldo Christian. Ni Utoto

    Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga. https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
  9. JamiiForums Tanzania Kama hii ndio simba tulioitaka bora wazee

    Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili, Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya. Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control skills, dribbling, marking & concentration. Timu ilikuwa down sana hamna pace, no clear target &...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna Wanaume wenye huu 'Utoto' na 'Ushamba' ndani ya Ndoa na Mahusiano?

    ''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Sitasahau nilivyokoswa na kiberenge enzi za utoto wangu

    Katika kipindi cha makuzi watoto wengi huwa wanapitia nyakati ambazo huatarisha maisha yao hususani watoto ambao ni watundu sana.Sasa kuna kipindi cha utoto wangu tulikuwa na kawaida ya kuzurula sana. Tunajikusanya watoto wa mtaa mzima kila ifikapo wakati wa jioni tunaelekea Relini kucheza...
  12. JamiiForums Tanzania Kuitana 'babe' kwenye mahusiano ni utoto na mwanzo wa kukosa kuheshimika, hasa kwa mwanamme

    Imagine mwanamme unaitwa babe sijui baby, yaani mtoto? Hii sio kweli. Kwa mwanamke ni sawa, sababu hata kwa kiswahili tunawaita watoto yaani 'totoz' au 'bebez'.... kwa mwanamme ina maana gani? Kama ni kwa mahaba, basi iishie siku za mwanzo tu za uchumba ile kudanganyia.... ukishanasa haina...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri Taifa Stars katika mchezo wa Niger vs Tanzania

    Sina shaka na mechi ya leo, kwani historia inatubeba! Tumekutana na Niger mara mbili na tumeshinda mechi moja na droo mechi moja! Kwa kikosi tulichonacho Stars leo lazima tuwatembezee kichapo hawa Niger. Tayari Sokabet Nao washafanya yao huko! Ushindwe wewe tu kupiga mkwanja! Wanacheza, Unashinda!
  14. JamiiForums Tanzania Admin wa Simba apunguze utoto

    Hii ndo nini sasa?
  15. JamiiForums Tanzania Ni utoto, ujinga, ushamba na ulimbukeni kwa vijana kushindana kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani

    Kuna mtindo wa kitoto, kijinga, kishamba na ulimbukeni unaokuwa kwa kasi miongoni mwa vijana wa sasa kujivunia kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani, yaani kuanzisha ligi na mtu yoyote wanayemkuta barabarani hususani safarini maeneo ya high way, akiwa anaendesha gari yake, basi ghafla hupambana...
  16. JamiiForums Tanzania Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

    Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu. Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi. Kifupi...
  17. JamiiForums Tanzania Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava. Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV Credits to MJRecords, Bongo Records.... Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Leo ngoja niwarudishe kwenye utoto tena.

    Kwa wale tulio kwenda Drive Inn Cinema na madingi mnakumbuka hii nyimbo kwenye zile speakers za kuning'ingiza dirishani kwenye gari?, kila ninapo isikia inanipa feeeling kubwa ya kumbukumbu zinazo nirudisha kabisa kwa kujiona kama niko Drive Inn cinema kwa ile ile hali niliyo ifeel...
  19. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuumbuliwa kwa kitu ulichokuwa unajifanya kukijua sana?

    Nirudi kwangu kwanza, kipindi nikiwa nasoma mkoa kama umefika Dar ulionekana bonge la mjanjaa! Sasa nikiwa shule ya msingi chini ya 2000 huko mwalimu yoyote akiuliza swali la nani anajua Dar es Salam, Big stone and coner stone nakuwa wa kwanza kusimama. Nani anajua maji ya bahari yana ladha...
  20. JamiiForums Tanzania Haya ndio madhara ya kuajiri watoto kwenye taaluma

    Unajiuliza hawa ni wawakilishi wa timu kwenye umma au ni vibonzo?! Hapa wanahojiwa na mwana habari, lakini wanajibu upuuzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…