1.Nilipokua mdogo, nilikua naona watu wakubwa Wana Raha sana ktk Maisha wanafanya Kila watakacho. Baada ya kua mtu mzima mambo ni Tofauti.
2. Nilipokua mdogo nilikua najua Askali awafi....
3.Nilikua mdogo nilikua najua Nesi akikuchoma sindano Hapo Hapo unapona, pia Nesi akikuchoma sindano...