utopolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Simba Jersey Challenge: Utopolo njooni na huku mchukue sampuli

    dah ila msomali Analiwa hela kizembe sana watu wanachukua samples zilizotumwa kwenye #simba jersey challenge tena wamechukua ile sample mbovu wanaitembeza mtandaoni, unajua haikuwaga siri ziliztumwa nyingi sana hizi ni baadhi nendeni m kaprint kabisa na hizi msambaze mtandaoni ILA MSIWE NA...
  2. C

    Dharau ya CAF kwa Yanga walikuwa Pot 5

    Yes I said it, lowest ranked clubs ndipo utapu tapu au utopolo fc wana po belong ,vilevile karibuni sana team ya Nigeria tutawapa ushirikiano wa kutosha. Wachambuzi TAKATAKA kina Priva na kitenge watajifanya kama hawajaliona hili la utopolo kuwekwa kwenye kapu la team zenye viwango duni...
  3. Francis fares Maro

    Naomba kujuzwa kinachoendelea katika michuano ya kombe la Kagame

    Wasalaam, Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!! Nasubiria na updates za usajili kutoka club yangu pendwa naona viongozi na mashabiki tumekua kimya sana kama tumepigwa na ganzi kunani
  4. Utopologist

    Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

    Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema. Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
  5. Kibosho1

    Madhara ya Covid-19: Club za Uchina bila wageni ni Utopolo FC tu

    tulizoea sana hizi timu zikivunja rekodi kwenye usajili. Baada ya hali mbaya kiuchumi kupitia makampuni ya udhamini wachezaji woooote wa kigeni wameondoka. Angalia kipigo zinavyopokea kwa sasa.
  6. N

    VIDEO: General utopolo Mzee Mpili anakuambia hatuchezi hatuchezi hatucheziiii

    Huyu mzee ana busara sana kwa kweli kila nikiiangalia team yangu simba wazee kama ramesh patel, philemon sarungi,kina kova wanatuchelewesha tu laiti tungekuwa na kina mzee mpili,mzee magoma tungekuwa mbali sana
  7. M

    Utopolo wanasubiri kesi ya Morrison huko CAS! Kesi zilizopo kwenye ratiba hizi hapa!!

    19.05.21 CAS 2020/A/7510 Daniel Kinyua Wanjiru v. World Athletics CAS 2020/A/7239 Shabab Al Ahli Dubai Club v. Mauro Alberto Díaz & Club Estudiantes de la Plata CAS 2020/A/7261 Mauro Alberto Díaz & Club Estudiantes de la Plata v. Shabab Al Ahli Dubai FC 21.05.21 CAS 2021/A/7628 Fabián Hernando...
  8. M

    Baada ya Wanaume wengi wa Tanzania kuwa Utopolo Vitandani, Wanawake wakimbilia Mimba za Kupandikiza Muhimbili

    Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii. Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi. Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
  9. Utopologist

    Utopolo yaaogopa, yakimbia kipigoia

    Mbona hawakususa mechi zao za azam na biashara kubadilishwa muda? Waache kudanganya watu, utopolo wamekimbia kipigo cha mbwa mwizi kilichokuwa kinawasubiri leo taifa, na kwa taarifa tu, kipigo kipo pale pale. Ningeomba tff na bodi ya ligi waiadhibu utopolo kwa kukiuka kanuni, sheria ifate...
  10. M

    Utopolo mmeahirisha tu kichapo, kichapk kipo pale pale.

    TFF imetumia busara, imeamua kuahirisha mechi ya simba na utopolo ambayo itapangiwa siku nyingine!! Utopolo walitegemea simba ingepewa pointi 3, raha yao tu ni kwamba wamekwepa kichapo. Kwa kuliona hilo TFF wakaahirisha mchezo, sasa utopolo wamenuna! Hawawezi kugoma tena maana sasa mechi...
  11. kiwatengu

    Utopolo Ni Yanga au Simba?

    Wakuu, tueleweshane kidogo! Sijashabikia mpira siku nyingi. Ila kuna maneno mapya mapya siku izi kama UTOPOLO na VYURA. Yanasemwa na kila shabiki, niulize Utopolo ni Yanga au Simba? au ni ile timu inayopoteza? Msaada jukwaani.
  12. GENTAMYCINE

    Namtafuta sana anayewadanganya Mashabiki wa Simba SC kuwa Kaizer Chiefs FC ni 'wepesi' na 'utopolo' mno kama walivyo Yanga SC

    Kwa kuwafuatilia Kwangu kwa Jicho la Kiufundi naliomba Benchi la Ufundi la Simba SC lifanye Maandalizi makubwa ikiwezekana hata kuliko yale waliyoyafanya ilipocheza na Al Ahly hapa Dar es Salaam. Wana Winga zao ( Viberenge ) Wawili ambao nina uhakika Siku hiyo akina Kapombe na Tshabalala...
  13. Kipenzi Changu

    Prince Dube ameshakula ameshiba anawasubiri Utopolo

    MOTO uliouwasha Prince Dube sio wa kitoto kwani jamaa unalijua goli balaa. Mpaka sasa Dube ndiye unayeongoza kwa mabao kwenye Ligi Kuu ukifungana na mfungaji bora wa msimu uliopita Meddie Kagere wa Simba. Dube ndiye unayeibeba Azam kwa sasa, pale Yanga sioni beki wa kukuzia kwa maji anayomwaga...
  14. Kipenzi Changu

    Vodacom Premier League: Yanga yaibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Biashara

    Matokeo: Yanga 1-0 Biashara Goli pekee lilofungwa na mshambuliaji wa kimataifa kutoka Burkina Faso, Yacouba Sogne lilitosha kuipa ushindi vinara wa ligi Yanga dhidi ya timu ya Biashara ya kutoka Mara. Uwanja wa taifa leo ni Utopolo na Biashara Utd ya Musoma. Saa 1 usiku kitanuka. Utopolo...
  15. M

    Nadhani Yanga leo itakaza msuli dhidi ya biashara!

    Leo Yanga almaarufu kama utopolo watakuwa na mechi muhimu na ngumu kwao dhidi ya biashara. Huku wakijua kuwa wakishindwa au kutoka sare itakuwa ndio mwisho wa kuongoza ligi kwa mwaka huu baada ya kesho jioni, nafikiri watakuwa radhi kufia uwanjani ili mradi tu wapate matokeo mazuri. Kwa hiyo...
  16. N

    CAF Ranks: Timu ya Simba ya 13, Namungo ya 59 na Yanga ya 74

    mambo ni faya fire fireeee mootoooooo..ewaaaahhhhhhhhh kings of East africa wanakamata nafasi ya 13 huku vijana wa waziri mkuu wa awamu YA TANO asiyejulikana kama atarudi madarakani wakiwa nafasi ya 59 na deportivo la utoPolo kama kawaida yao wako nafasi ya 74
  17. M

    Mashabiki wa Yanga SC wakiambiwa ni ' Vichwa Maji ' / ' Kipa Katoka ' achilia mbali ' Utopolo ' wasiwe Wananuna

    Kauli za Mashabiki wa Yanga SC kabla ya Mechi ya Simba SC na El Merreikh leo.... " Leo mtafungwa hamtoamini " " Mtakoma mnacheza bila Watazamaji leo " " Leo mmekomolewa na CAF hivyo mnacheza bila Mashabiki na hamtoingia na Paka wenu wale " Kauli za Mashabiki wa Yanga SC mara baada ya Simba SC...
  18. Utopologist

    Mashabiki wa Yanga hawapigi tizi tena kunyanyua makombe, wanapiga tizi ili kwenda kuwatoa viongozi wao madarakani

    Watopolo wameshajua mchawi wao ni nani. Si TFF, si bodi ya ligi, si marefa na wala si kamati ya saa 72😆😆 Bakora karibuni kuruka huko vidimbwini 😆😆
  19. N

    Metacha mnata anaondoka Yanga

    Vumilieni tu wazee wa visit kidimbwi yatakwisha tu.
  20. R

    Yanga Queens mpaka sasa wamefungwa mbili bila

    Baada ya utopolo wanaume , leo ni zamu ya yanga queen mpaka sasa wamefungwa mbili bila na mchezaji wao mmoja kapewa red card kwa kudaka mpira makusudi. Tayari goli tatu. Full time 3-0 tumeshuhudia pira biriani kwa dada zetu
Back
Top Bottom