utopolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tangu asubuhi sijaona cha kushangaza kwa hawa Utopolo

    Yaani hawa utopolo hawana cha ajabu hata, ukute wanasubiri kwenda kuitikia salamu za mama ndo wanachoweza Mtaani kumepoa sana leo, ila wasijipe moyo kutushtua Mnyama ni mnyama Wanyama tulimaliza kila kitu hatujawaachia nafasi hata moja
  2. PLOII

    Simba tumepotea kwa porojo za utopolo; "lengo letu limetimia sisi ni fanalist cafcc ubingwa wa nbc sio target yetu huku tuache watambe"

    Habari Zenu mashabiki bora wa CAF Super League! Kiukweli tumeingia mkenge Kwa porojo za Utopolo. Simba Kwa Msimu huu tumefanikiwa kufika sehemu ya ndoto yetu wengi hatukuwahi kushuhudia Mnyama akicheza stage hiyo. Haya ni mafanikio makubwa Sana bahati mbaya tumeingia kwenye ujinga wa wauza...
  3. PLOII

    Simba ina viongozi wasiojitambu; Tshabalala mkataba unaisha mnaangalia no negotiation in prior. Utopolo wapo njiani wanaenda kuchombeza sasa mjisahau

    Hello wana Jukwaa, Niende kwenye Mada Kwa ufupi. Hivi viongozi wa Simba umakini wenu aliondoka nao Hans Pope kweli cream kama Tshabalala The Captain, the only one & the top in SIMBA Sports Club hadi contract ina freeze viongozi mpo tu? Hivi ukimtoa Tshabalala pale Simba in terms of...
  4. DELETED ACCOUNT

    Utopolo msijisifu saana, wenyewe Simba tunaojua mambo ya ndani tunajua haikutaka kushinda derby ya jana

    Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji. Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba...
  5. Uhuru24

    Utopolo msipoamka unapigwa na maboss zenu

    Nimefuatilia vizuri hizi barua kwa uelewa wangu nimegundua kwamba nyumamwiko kuna mchezo wanacheze wa na watu waliowaamini kwenye club yao. Team ina udhamini, jezi, viingilio, bonus za kushiriki club bingwa iweje kila mwaka mnaposajiri wachezaji hamlipi na badala yake mnategemea TFF wawakate...
  6. DELETED ACCOUNT

    Hakuna kipengele cha Utopolo kulipwa kutokana na mauzo ya Feisal Salum

    Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa...
  7. BRN

    Ila Utopolo mna shida Sana

    Mmelishupalia suala la Simba kucheza mechi ya fainali kwenye uwanja wa Amani utafikiri nyie ndio Berkane. Hangaikieni mambo yenu. Mnafanya hivi kwa kufahamu nguvu ya Mnyama akiwa kwa Mkapa. Oneni aibu
  8. Metronidazole 400mg

    Heri ya Siku ya Kuzaliwa Young Africans (Yanga SC )

    Leo mtani wetu klabu ya Yanga imetimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa,, ingawa imeangukia siku mbaya baada ya Jana kuangukia pia baada ya kutoa sare na Jkt ya masau bwire ila ndio hivyo maisha lazima yaendelee TU hakuna namna. Nawaza TU hapa sherehe na shamra shamra zitafanyika kweli??, au...
  9. M

    Mpango wao Utopolo sio huo tu wameshajipanga kutuangamiza kombe la Shirikisho ili tufanane, msiseme sikuwaambia

    Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao kinasubiri kujua nani amepangiwa kucheza na simba hatua ya robo ili wamalize shughuli kwa kushirikiana...
  10. Yoda

    Kolo, Dunduka na Utopolo yana maana yoyote?

    Haya maneno ya Kolo, Dunduka na Utopolo ambayo yanatumika na washabiki Waswahili wa mpira mitaani ni misamiati yenye maana yoyote?
  11. T

    Utopolo Wamekimbiwa na Kocha

  12. Mngoni asiyepiga gambe

    Mshabiki kindakindaki wa Mnyama, Simba SC ila nasimama na Yanga SC wapite kwenda robo fainali

    Nimeangalia game ya Mc Alger na Mazembe ya jana(ijumaa) kule Algeria ,well ukweli ni kwamba hamna timu kati ya zile yenye quality ambayo Yanga wanayo Nadhan itakuwa sio fair kwa mpira wa miguu kwa Yanga hii ya Pacome,Aucho , Baka etc kutoenda robo halafu aende Mc Alger,plus the fact kwamba...
  13. DELETED ACCOUNT

    Tumefikia huku? Inakuwaje wengine tunabaniwa tusione nyuzi za mechi za Utopolo?

    Leo nimeshangaa hadi mechi inaendelea ya Yanga vs Prisons sioni uzi wake. Nikasema labda wamesusia litimu lao. Mara kuna mtu akaanzisha uzi unaohusiana na matokeo ya mechi, nilipoufungua, kumbe mods wameuunganisha, nikapelekwa kwenye uzi rasmi wa mechi ambao kwangu hauonekani. Nikasema mmmh...
  14. Mngoni asiyepiga gambe

    Naangalia Al Hilal na TP Mazembe hapa itoshe kusema Depotivo de Utopolo (Yanga SC) jiandaeni kumaliza wa mwisho kwenye kundi

    Kama kuna mtu aliwadanganya deportivo de utopolo kuwa Mazembe ameshuka kiwango basi mjiandae kushenyetwa nje ndani jamaa wanapeleka moto sio poa.
  15. Mindyou

    Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo. Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017. Akiongea na wanahabari leo...
  16. Kipenzi Changu

    Magoli ya Kutia adabu-Tabora Utd dhidi ya Utopolo

    https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13 Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu. Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii
  17. Moshi25

    Kombe Neno "Utopolo" maana yake ni Kisu Kikali cha Kumchinja Mnyama Simba!

    Ukiwa Mwanasimba uko mitaani ukatamka neno utopolo basi unacheka, unafurahi , unadharau na kubeza , simba ikija uwanjani inaanza mbwembwe Debora anazungusha watu dimba la katikati watu wanakaanga chips shwaaa, raha iliyoje, mara Zimbwe Jr anageuka kwa madoido watu weweee, Kibu anaruka ruka...
  18. Vichekesho

    Japo Yanga inamtenga na kumchukia lakini Mzee wa Utopolo anabaki kuwa shabiki wa Yanga mwenye mvuto zaidi

    Huyu mwamba yuko level nyingine kabisa, huwezi kumlinganisha na akina Mwalimu Yanga au God Yanga ambao wanaonekana kupendwa zaidi na uongozi. Ushauri: club ya Yanga isimtenge mzee wa utopolo. Ndiyo ana wadhamini kadhaa wanaomwezesha kusafiri mikoa mbalimbali kuifuata timu ila ukiongea naye...
  19. L

    Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

    1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid. Yanga kama kawaida yao...
  20. L

    TFF mmeona walichokifanya Utopolo leo uwanjani, nasubiria mseme neno

    Tumewaona utopolo katika basi Lao wametanguliza wachezaji 4 t, wengine wamepanda mabasi mengine, TFF nasubiria tamko lenu, wanasema hawarogi nn hii
Back
Top Bottom