Unajua kwamba watu waliodharauliwa sana katika nyakati fulani za maisha, hubaki na kumbukumbu inayowafanya watafute heshima na kuthaminika kwa namna yoyote. Hujawahi kuona watu waliozaliwa kwenye familia zenye nguvu ya pesa, ni watulivu sana, hawajioneshi na siyo rahisi kujua kama ni watoto wa...