uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yakataa kumshikilia Rais Ruto na maafisa wengine wa serikali kwa kudharau mahakama kuhusiana na uteuzi wa wajumbe wa IEBC

    Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo. Katika uamuzi uliotolewa...
  2. JamiiForums Tanzania RAIS afanya uteuzi mpya na uhamisho wa wakuu wa milaya na mikoa 24 june 2025

  3. JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC? Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro...
  4. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na mabadiliko ya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliohamishwa na walioteuliwa ni kama ifuatavyo: A: Uhamisho...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa mama unanukia; muda wa kupata uteuzi na utenguzu huu hapa. Je utakumbukwa? Wangapi kuondoshwa?

    Tarehe zimewadia za kujua wale wote waliochoka kufanya kazi ya uteuzi na sasa wanataka kufanya ya ubunge. Dakika chache zijazo kama siyo siku chache tutaona Mkeka kama Mhe. RAIS alivyoelekeza wanaotaka kugombea wamng'ate sikio mapema apeleke wengine. Je, wakuu wa mikoa wangapi wamechoka kuwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mpina umeuponza, subiri UTEUZI wa kitaifa

    Kijana umekosa adabu mbele ya viongozi wako. Kabidhi jimbo kwa mwingine kusubiria uteuzi. Asante
  7. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu; Leah Ulaya, Maganga Walivyogomea uteuzi wa Rais kisa CWT

    Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa Rais hakwenda kituo cha kazi alichoteuliwa. Sambamba na uteuzi huo Rais pia alimteua aliyekuwa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya (W) Ngara Col. Mathias Julius Kahabi Tishio la Kisiasa kwa Vijana wa Ngara : Mamlaka za Uteuzi Ingilieni Kati

    Mkuu wa wilaya ya Ngara COL. MATHIAS JULIUS KAHABI kupitia kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (W) Ngara cha mapema Mwezi huu Mei alinukuliwa akitoa kauli za vitisho dhidi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akitishia kuwakamata na akikishauri chama kutowateua katika nafasi za uongozi uchaguzi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chadema fungua shauri mahakamani kupinga maagizo ya msajiri wa vyama vya siasa, "inaezekana" ana maagizo ya mamlaka yake ya uteuzi, anaweza kuifuta.

    TAKE IT SERIOUSLY Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake! Hawa CCM and it affiliates siyo watu tena, ni wanyama kabisa, na kweli ataifuta (ingawa inaweza kuleta...
  11. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Abdul-Razak Badru ateuliwa kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:- (i) Bw. Abdul-Razak Badru ameteuliwa kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria za uteuzi yalipaswa kuongelewa na kina IGP wenywe sio mpaka wasemewe na Gwajima

    closed
  13. JamiiForums Tanzania Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi

    Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi. Raisi ataendelea kuwa na mamlaka kwenye vyombo vya usalama lakini sio kwa maslahi yake binafsi.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

    IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu! Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Mwinyi ateua wakurugenzi wapya 11 wa Manispaa, Mabaraza ya Miji na Halmashauri za Wilaya za Unguja na Pemba leo Mei 20, 2025

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Manispaa, Mabaraza ya Miji na Halmashauri za Wilaya za Unguja na Pemba katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ leo Mei 20, 2025. Miongoni...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania itanufaika vipi na uteuzi wa Prof. Janabi WHO

    Kwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030. Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu. Naomba kuwasilisha The introvent ✍️ Soma...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa vyama vya siasa Mulika mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM mwaka huu una kasoro nyingi

    Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe. Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike...
  18. JamiiForums Tanzania Uteuzi na Uhamisho: Lazaro Twange aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Ubungo ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji TANESCO

    Wakuu, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uhamisho na uteuzi huo ni kama ifuatavyo...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Naelekea kulamba uteuzi hapo TANESCO mjiandae!

    Wakuu tayari jina lipo mezani. Hivyo nawataarifu TANESCO mjipange mapema. Ni mwendo wa kazi na bata!
  20. L

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia afanya uteuzi Wenyeviti wa Bodi Mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya matumaini. Amefanya uteuzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…