uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Diwani Athman atenguliwa ikulu. ========= Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
  2. Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

    Pengine huu ni mwanzo mpya wa mageuzi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mabadiliko haya ya uongozi yana maana kubwa sana kwa Idara yetu, ni matumaini yangu kwamba mabadiliko yatakwenda mbali zaidi kuguza muundo wa idara, mfumo wa idara, sheria na kanuni za idara ili kuendana na ulimwengu mpya wa...
  3. R

    Swali la msingi: Je, kulikuwa na sababu ya kumbadilisha IGP?

    Amekuja Wambura, lakini hajafanya any positive development katika jeshi la polisi kwa utendaji wake unaolalamikiwa na watanzania wote! Mama Samia kwanini alimbadilisha Siro? Walio wengi walitarajia mabadiliko katika utendaji wa polisi particularly katika kuzingatia haki za binadamu wanapofanya...
  4. Vipi ikatokea unakutana na barua ya Zuhura Yunus kuhusu uteuzi wa Kiongozi Mkubwa wa Upinzani?

    Siasa za Tanzania zina mambo, hivi siku hizi mnajua barua za uteuzi wanakadiria tumelala ndiyo inarushwa hewani. Vipi Ukakutana na barua siku moja kwamba uteuzi wa Mheshimiwa Mbowe ameteuliwa kuwa na nafasi fulani serikalini au nje ya nchi? Si lazima Mbowe, hata Lissu Au Lema? Kwa Zitto huko...
  5. Rais Samia afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wawili, leo Desemba 14, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Abdallah alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara...
  6. UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  7. Kigwangalla na Lusinde mnahoji uanachama wa Dkt. Bashiru, mbona hamkuhoji alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM?

    CCM oyee! Zidumu fikra za mwenyekiti Magufuli Bashiru Ally aliteuliwa na mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli, hamkupiga ktk kikao chochote zaidi ya kumpongeza huku KIgwangalah ukijua kuwa Bashiru ni mwanachama wa CUF. Wapinzani waliteuliwa na kupewa nyadhifa serikalini huku mkijua serikali...
  8. T

    Tunaomba Rais ufanye uteuzi kwa nafasi zilizo wazi muda mrefu

    Habarini, Ninaomba yeyote aliye karibu na Mhe. Rais amfikishie ombi langu mbele yake nalo ni kufanya uteuzi wa nafasi zilizo wazi kwa muda mrefu hususani za utendaji kama wakurugenzi Uteuzi wa nafasi hizo utasaidia utendaji mzuri na kuacha kufanya kazi kwa kujionyesha. Kukaa muda mrefu bila...
  9. Nini kinachomsibu Rais Mwinyi kwa uteuzi wa aliyekosa imani ya Wazanzibar uchaguzi 2020?

    Wanajamvi kumekuwa na sintofahamu juu ya uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mkuu 2020 hadi kuondolewa katika nafasi hiyo. Kuna jambo halipo sawa au ni mikakati ya kujiimarisha Kiserikali. Karibuni.
  10. F

    Neno la shukrani kwa Kamati kuu na NEC ya CCM kwa uteuzi bora wa wagombea

    Kwa mara nyingine tena siwezi kuficha hisia zangu za furaha kwa kazi nzuri iliyofanywa na kamati kuu na Halmashauri kuu ya CCM taifa kwa uteuzi bora wa wagombea. Nami pia nilikuwa ni moja ya watia nia kwa nafasi ya uenyekiti wa UVCCM Taifa lakini sijafanikiwa kupita lakini hilo haliachi...
  11. UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

  12. Kenya: Bunge laidhinisha uteuzi wa Mawaziri, kuapishwa leo

    Rais William Ruto amepata kibali rasmi cha Bunge kuwateua Mawaziri wa Serikali yake ambao wataanza kazi leo Oktoba 27, 2022 baada ya kupitia mchujo wa Kikatiba kwa takriban wiki 2 Mawaziri hao pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri wanatarajia kuapishwa na...
  13. Rais Ruto afanya uteuzi wa wafanyakazi wapya Ikulu

    Uteuzi huo unajumuisha watu 10 ambao watakuwa wakifanya kazi kwa karibu na Mkuu huyo wa Nchi. Baadhi ya majina mashuhuri kwenye orodha hiyo ni pamoja na aliyekuwa mwanahabari wa Citizen TV Hussein Mohamed ambaye ameteuliwa kuwa Msemaji wa Ikulu na mwanauchumi David Ndii ambaye ameteuliwa kuwa...
  14. Rais Samia afanya uteuzi mpya wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake, leo Oktoba 10, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali kama ifuatavyo: Amemteua Dkt. Boniphace Christopher Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu Dkt. Luhende alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa...
  15. S

    Uteuzi wa Makamba kama Waziri wa Nishati na aliyofanya alipoteuliwa umenifanya niwakataze watoto wangu kuchukua masomo ya Sayansi

    Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake. Sasa kwangu mimi hilo nililiona lina walakini sana. Sina tatizo na Makamba kuwa waziri, lakini...
  16. CCM inaanza vikao vya uteuzi wa ngazi ya Taifa leo Dodoma

    Vikao vya ngazi ya Taifa vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimeanza jijini Dodoma huku miongoni mwa kazi zitakazofanyika ni kupokea mapendekezo, kujadili, kupitisha na kufanya uteuzi wa mwisho wa wanachama wanaomba uongozi katika ngazi za wilaya. “Chama cha CCM kinapenda kuwaarifu wanachama wake na...
  17. Uteuzi wa Barbra CAF; kejeli za Yanga ni ushahidi wenye akili ni wawili tu?

    Baada ya mwanamama Barbra CEO wa Simba Sc kuteuliwa CAF kumekuwa na kejeli za kila aina kutoka Yanga. Kejeli hizi zinafanya nje na ndani ya JF. Kuhusu uwezo wake hakuna shaka, hata wanaokejeli humu wanalijua hilo. Ila najiuliza shida nini tumekuwa haters wa kiwango hiki? Mtindo huu wa maisha...
  18. R

    Kwa Hulka za Wanaccm, bila mamlaka ya Uteuzi wangemchukulia kama Mwenyekiti wa TADEA tu

    Ukweli bora usemwe tu. Kwa hulka za wanaccm za kukosa uzalendo na nia njema za kulitumikia taifa kwa maendeleo ya Taifa sidhani kama wangekuwa wanamheshimu Mwenyekiti wao. Yaani ni hivi bila ya kuwa na mamlaka ya kuwateua na kuwapa ulaji wangekuwa anamchukulia kama Mwenyekiti w TLP au TADEA...
  19. Tetesi: Mkwamo wa Uteuzi wa wagombea EALA- CCM (Ngoja niwape mbinu)

    Leo, makada wengi wa chama pendwa walitarajia Shaka angetoa orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Afrika Mashariki, Lakini hakufanya hivyo. Dalili zinaonesha kuna mkwamo mahali fulani na nani apite, nani atemwe! Tathmini yangu inaonesha vigogo wengi wameleta vimemo wakipendekeza...
  20. Ajabu ya uteuzi wa Waziri Mkuu wa Uingereza

    AJABU YA UTEUZI WA WAZIRI MKUU UINGEREZA 🇬🇧 Na JumaKilumbi, 05.09.2022 Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, Demokrasia iliyokomaa hasa, ila ina Malkia mwenye mamlaka ambayo huizidi katiba kwa sehemu. Kuna mengi ya kuuliza kuhusu ‘Demokrasia’ yao ila leo tuzungumze kuhusu kupatikana kwa Waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…