utendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Utendaji Mbovu wa Miradi ya Maendeleo: Madai ya Madiwani wa Moshi Manispaa

    Mkurugenzi wa Moshi Manispaa amekabiliwa na malalamiko kutoka kwa madiwani wa manispaa hiyo kuhusu utendaji mbovu wa miradi ya maendeleo, hususan ujenzi wa soko la Mbuyuni. Madiwani hao wamewasilisha ombi rasmi kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kitengo cha Civil Engineering...
  2. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini uliotokana na maboresho ya uwekezaji. Akizungumza mara baada kufanya ziara ya kujionea utendaji...
  3. Naibu Waziri, Deus Sangu: Usimamizi mbovu wa Rasilimali Watu unasababisha kushuka kwa utendaji kazi katika Taasisi za Umma

    NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amewataka maofisa utumishi na wakurugenzi wa taasisi za umma kuhakikisha wanawajibika ipasavyo katika kuhudumia watumishi na kuacha uzembe na usumbufu wanaposhughulikia changamoto zao. Akizungumza leo...
  4. Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  5. Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  6. Moshi FM Radio Kilimanjaro: Mjitafakari na Mjitadhimini katika Utendaji Wenu kwenye utoaji wa taarifa za Miradi ya Moshi Manispaa

    UTANGULIZI: Moshi FM Radio inatakiwa kujitafakari kuhusu utendaji wake katika jamii, hasa katika mji wa Moshi, ambao ni mji mdogo na una wasomi wengi ,ambao ni wafanya biashara wakubwa na WA kati. Katika mahojiano yenu na Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kuhusu soko la Mbuyuni, kuna maswali...
  7. Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi

    Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi. Hali imebadilika baada ya Rais Samia kuwajengea jengo jipya la halmashauri ya Bumbuli ambalo limerahisisha huduma kwani lipo katikati ya halmashauri hiyo lakini linatoa...
  8. Ukishinda Urais, vitu gani vitano utafanya katika utendaji wako?

    Ndio umeshinda urais wa awamu ya saba. Ni vitu gani vi-5 utaviondoa au kuvifanyia reformation ili utendaji wako na maendeleo ya wananchi viwe thabiti. Karibuni wakuu.
  9. Tulilalamika sana siasa kuingilia Utendaji. Sasa tumeanza kuvuna matokeo yake

    Yalianza kama masikhara ila sasa tuvumilie kuvuna matunda yake. Kuanguka kwa Tanzania ni suala lililochukua muda kidogo. Tuliopata nafasi ya kuonya, tulionya ili kulikomboa Taifa ila hakuna yaliyofanyika na matokeo yake ndo haya tunayoyaona leo. Ilianza kwa kuanza kutoa nafasi za utendaji...
  10. Kama waziri hapati nafasi kuonana na boss wake unaweza kupata picha nia,dhamira na utendaji kazi wa ufalme huu

    Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi. Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
  11. Utendaji wa kimazoea umezidi serikali ya Samia

    Huu utendaji wa mazoea mazoea ulikua umeisha kabisa kipindi cha Hayati Magufuli naona sasa umerudi , mtu anaingia ofisini kitu cha kupitisha kwenye mfumo ata login kisha atakua anaitizama kompyuta yake huku anachezea simu mpaka siku inaisha na unakuta kwenye mfumo yeye anatakiwa kubonyeza just...
  12. Hongera Trump kwa kutia saini Amri ya Utendaji inayoidhinisha kufukuzwa kwa watu wasio raia wa US wanaounga mkono mashirika ya kigaidi kama vile Hamas

    Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana. Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
  13. G

    Mafunzo ya polisi yawe miaka 3 badala ya miezi 6. Ili kuboresha utendaji wa jeshi la polisi.

    Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
  14. LGE2024 Ni Kichekesho Kutumia Sifa za Utendaji wa Rais Kumnadi Mgombea Uenyekiti wa Mtaa

    Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku kwetu, kumbe ndio style yao wote nchi nzima wakiongozwa na Makalla kila aendapo. Utendaji wa...
  15. A

    DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  16. M

    PreGE2025 LGE2024 Utendaji wa Mbunge Kimei wamng'oa katibu wa ACT Wazalendo Jimbo la Vunjo

    Kasi ya utendaji ya Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei katika utekelezaji wa majukumu yake unatajwa kuwavutia wengi akiwemo aliyekua mgombea ubunge Jimbo la Vunjo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambaye pia ni Katibu wa ACT WAZALENDO katika Jimbo hilo Ndg Idd Mfinanga...
  17. Nairobi: Makamishna wa Mamlaka za Kodi Afrika Mashariki wazindua ripoti ya utendaji

    Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya...
  18. Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  19. Waziri Chana apongeza utendaji kazi TANAPA, asisitiza uadilifu kufikia malengo

    ARUSHA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato yatokanayo na shughuli za utalii. Ametoa pongezi hizo alipotembelea makao makuu...
  20. Waziri Chana Apongeza Utendaji Kazi TANAPA, Asisitiza Uadilifu Kufikia Malengo

    WAZIRI CHANA APONGEZA UTENDAJI KAZI TANAPA, ASISITIZA UADILIFU KUFIKIA MALENGO WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…