utekelezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya utekelezaji wa sera ya uongezaji wa ukwasi mtaani kutoka benk kuu.

    Naambatanisha wala wa benki kuu wa tarehe 13.09 .2021 hapo chini
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa hukumu ya vifo umeongezeka Saudi Arabia

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema idadi ya matukio ya utekelezaji wa hukumu ya kifo nchini Saudi Arabia imeongezeka tena baada ya nchi hiyo kukamilisha muda wa urais wa kundi la nchi zilizostawi na zile zinazoinukia kiuchumi duniani za G20 katika...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Katiba inaweza kuweka ‘statement’ nzuri, bila utekelezaji ni kazi bure

    "Katiba ya Marekani ya Mwaka 1789 iliandika ‘all men are created equal’ lakini bado miaka 180 baadaye bi. Rosa Park alitakiwa kumpisha kiti dume la kizungu! Katiba inaweza kuweka ‘statement’ nzuri, bila utekelezaji ni kazi bure.Kwa kuwa hii inatoa haki, usawa na amani, tuiheshimu." "Kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia maoni ni Haki yake bali Maamuzi na Utekelezaji

    Niwasalimu kwa jina la JMT. Kama binadamu na kama rais, Mama Samia ana haki zake za msingi zikiwamo za kuwa na maoni na mawazo yake. Mtu halaumiwi wala kushutumiwa kwa maoni au mawazo yake bali kwa maamuzi na matendo. Mama anaona kuwa katiba mpya si kipaumbele chetu. Tupo tunaodhani katiba...
  5. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa mambo haya uliishia wapi?

    Hivi nani aliibua mchakato wa vazi la taifa? Uliishia wapi? AU yule aliyeshauri vitambulisho vya NIDA, vina tija gani kwa sasa? KUNA waziri alisema tiketi zipatikane kwa njia ya mtandao sijui aliishia wapi USAFI kila mwezi je? Mchungaji Mtikila aliwahi sema nchi hii haiwezi kuendelea sababu...
Back
Top Bottom