Wakati Serikali imezindua Mpango Mkakati wa Kisayansi wa Kukuza Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (2025/26–2030) kwa lengo la kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 watoto wote wa Tanzania wanamudu stadi za msingi, wadau wametakiwa kutekeleza mwongozo wa kitaifa wa utoaji wa chakula na lishe kwa...