Niliwahi kusema watawala kinacho wapa nguvu ni kitu kimoja tu, AINA YA WATU WANAO WAONGOZA.
Watawala sio wajinga, sio wendawazimu, wanajua wanaongoza aina ipi ya raia,na wanajua pia Keybord movement hazina impact yoyote kwao.
Ukiona wanafungia makanisa, wanafunga kiongozi mkuu wa Chama kikuu...