utawala

  1. U

    JamiiForums Tanzania Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  2. JamiiForums Tanzania Utawala wa sheria kimataifa (Rules-based order(RBO) umefika katika ukomo wake

    Muundo au Mfumo wa muingiliano wa dunia baada ya kuisha kwa vita vya pili vya dunia ulijulikana kama Rules-Based Order(RBO), katika mfumo huu viongozi wa dunia walikubaliana kuachana na ule unyang'au wa wakati uliotangulia wa kutumia mabavu ya vita kujiimarisha na ushindani wa kipumbavu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni taifa la Israel tu raia wake 24 wako mbele kabisa katika utawala wa Mungu Mbinguni

    Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana. Wenye hekima Watanielewa. Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu utawala. Utawala huu Mungu ameandaa kwa ajili ya Wanadamu. Sasa basi, kwa sehemu, Mungu ametufunulia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: sheria na utawala bora ukivurugwa hakuna yeyote atakayesalimika

    Waliofariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo, hawakuwa kwenye maandamano , lakini katika maeneo yao ambayo standard ya ujenzi imekuwa compromised ! My take: Ni ngumu kuona connection ya andiko la Lema huko X , kati ya haya yanayotokea Kariakoo na utawala bora, utawala usio fuata sheria...
  5. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

    Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani anapanda mbegu ya uongo, wizi, uhuni katika Uongozi na Utawala wa Tanzania?

    Tumsikilize Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yapanda viwango Utawala wa Sheria Duniani katika Ripoti ya 2024 ya Mradi wa Haki Duniani (WJP)

    Tanzania imepiga hatua kuelekea mfumo wa Kisheria unaowajibika zaidi na wa haki, kama inavyoonekana katika Ripoti ya 2024 ya Mradi wa Haki Duniani (WJP) kuhusu Utawala wa Sheria. Hatua za utawala chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan dhidi ya ufisadi zimetajwa kuimarisha heshima ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tofauti ya utawala wa awamu ya nne na sita ni jinsia tu, vingine vyote vinafanana

    Niaje waungwana Japo mimi sio mchambuzi mzuri wa mambo ya siasa, lakini nina imani kuwa wengi mtakubaliana na mimi kwamba utawala wa awamu ya nne na ya sita vinafanana sana, sema tofauti ipo kwenye jinsia ambapo awamu ya sita wanawake wameongezeka zaidi katika uongozi kuliko ilivyokuwa awamu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Utawala bora bado ni tatizo kwa hii nchi

    Kumbe watu wanakula mitonyo yetu na sie tumekaa kimyaa tuu?
  10. JamiiForums Tanzania Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, tunaenda sasa kushuhudia kufutika kwa Utawala wa Kiayatollah kule Iran?

    Mimi mwenyewe ninaogopa kushuhudia kile kinataka kutokea, labda mwezi huu wa October. Kweli kabisa Iran ina nguvu za Kijeshi: kibaya zaidi kwa sasa inapata support kubwa toka Urusi na Uturuki. Niwajuze tu kuwa wakati wa Vikao vya UN kule New York kulikuwa na mkutano wa Foregn Ministers wa Iran...
  14. JamiiForums Tanzania Msikilize Netanyahu anavyowatetea Raia wa Irani dhidi ya utawala wa Ayatollah

    Waziri Mkuu wa Israel ameongea kwa kutumia vyombo vya habari na wananchi wa kawaida wa Irani na kuwataka wananchi wa nchi hiyo kuachana ama kujitenga na utawala wa nchi hiyo. Msikilize. Benjamin Netanyahu
  15. JamiiForums Tanzania BABU: Utawala wa Rais Daniel Moi wa Kenya ( 1978-2002) unafanana na utawala wa Rais Samia wa Tanzania (2021-2024).

    Utawala wa Daniel arap Moi nchini Kenya, ambao ulidumu kuanzia mwaka 1978 hadi 2002, unakumbukwa kwa matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na utekaji wa raia, ukandamizaji wa viongozi wa kisiasa, na mauaji. Hali hii inaonekana kuwa na uhusiano wa karibu na utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

    Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
  17. JamiiForums Tanzania THBUB: Tanzania nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria

    Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB ), Mathew Mwaimu amesema kuwa Tanzania Nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria na kwamba Mtu anapoona hatari anatakiwa kutoa taarifa kwenye mamlaka stahiki. "Tunazungumzia Tanzania Nchi inayopaswa kufuata Utawala wa Sheria...
  18. JamiiForums Tanzania Ahadi kama hizi Ndio zinakosesha imani kwa Utawala Huu

    Fikiria ahadi kama hii ambayo inahusu usalama wa maisha ya Raia yaliyo potea na hakuna lililo fanyika bali ahadi hewa! Nani atakuwa na imani tena na kiongozi huyo? Wananchi kama WAAJIRI wanapaswa kufanya nini kama sio kukufukuza kazi kwa njia ileile waliyo kuingiza kazini yaani KURA? Au watumie...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ameshawahi kutekwa au kuuwawa mtu?

    Jamani sina mengi sana nimemkumbuka Rais wangu Ally Hassan Mwinyi, Mungu amjalie pepo ya filidausi, kweli sisi sote ni mashahidi wake na amani iwe juu yake mpaka siku ya kufufuliwa kwake
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Hali inayoendelea nashawika kusema 2025 CCM iondoke madarakani au utawala ubadilishwe!

    Nchi yetu tangu 1960 baada ya wakoloni kutuachia nchi yetu kulikuwa na vitu vinaitwa miiko!! Kulikuwa na tamaduni zetu na haki ya watu kuishi kulingana na tamaduni zao!! Seke seke la Wamasai Ngorongoro linasikitisha sana! Hata kama mnagogoro na wao ndio muondoe huduma za afya na madawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…