utawala wa sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kufuatia sakata la stendi ya mabasi ni wazi kuwa watanzania wengi bado hatupo tayari kwa utawala wa sheria na tunajicha kwenye "busara itumike"

    Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Mojawapo ya misingi ya dira 2050 ni demokrasia, haki na uhuru. Kwa namna hii tutafika?

    Kama wahadhiri wanakamatwa kwa kuelezea namna uhuru wa kuandamana na kujieleza ulivyowekwa kwenye Katiba ya JMT. Hii dira ya 2050 itatekelezwa kwa namna gani? Huku CCM hawataki taifa liwe na demokrasia, haki na uhuru wa kujieleza.
  3. JamiiForums Tanzania Ombi la kizalendo, kwa imani kwamba Tanzania yenye maridhiano, haki na utawala wa sheria ndiyo Tanzania yenye nguvu zaidi

    Kwenu Waheshimiwa wenye Mamlaka kwenye hii nchi Asalaam aleykum? Bwana Yesu asifiwe? Kristu ? Kwa heshima kubwa, naomba nitoe ushauri kama mwananchi mwenye nia njema kwa mustakabali wa nchi yetu. Pengine umefika wakati wa kupanua wigo wa ushauri munaoupokea. Mbali na washauri waliopo ndani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Katambi: Tumekuwa na jamii sisi wengi hatufuati sheria na tunahalalisha haramu nyingi

    Kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amejibu hoja zinazodai kuwa Jeshi la Polisi limepoteza imani na kuaminika miongoni mwa wananchi "Tumefika hapo kwa sababu ah moja tumekuwa na jamii sisi wengi hatufuati sheria na pili kwa sababu...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Sigrada: Tanzania tuna utawala wa matamko, hatuna utawala wa sheria

    Mbunge Sigrada amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaendeshwa kwa utawala wa matamko badala ya utawala wa sheria, akisisitiza kuwa misingi ya kisheria ndiyo inapaswa kuongoza maamuzi na utendaji wa taasisi za umma Hakunanga utawala wa sheria. Tanzania tuna utawala wa matamko. Sheria zipo ila...
  6. JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria

    Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria. Samia alijua atakuwa mtu wa kumsaidia kuwaunganisha watanzania. Badala yake katambi kamvua nguo Samia hadharani. Je, Matendo ya Katambi ni Maagizo ya Samia. Au kamuweka njia panda?
  7. JamiiForums Tanzania LHRC: Kurejea kwa kasi kwa matukio ya utekaji ni tishio kwa uhuru wa raia na Utawala wa Sheria nchini

    LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
  8. JamiiForums Tanzania Tuseme Polepole alikua na makosa kwa hiyo Solution ikawa kumteka na kumpoteza? Utawala wa sheria Tanzania unafanya kazi kweli?

    Tumekubali Polepole alikua na makosa lakini solution ikawa ni kumteka na kumpoteza? Sote tunajua Polepole alikua anagusa meza za wakubwa wa nchi hii ambao wamejimilikisha kila kitu cha nchi hii ndo maana kila alipokua...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Brenda Rupia Kamanda: Jinsi CHADEMA inavyokabi unayokabiliana na Hali ya Ukandamizaji na Utawala wa Sheria nchini Tanzania

    30 April 2026 Brenda Rupia Kamanda: Ukandamizaji na Upinzani wa Kisiasa: Utawala wa Sheria nchini Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=7iFw37GQQb4 Brenda Rupia Kamanda, msemaji wa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA nchini Tanzania, yanaangazia uamuzi wa hivi karibuni wa mahakama ya rufaa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Demokrasia kwa tajiri maana yake ni kumnyonya mwananchi wa kawaida sio kuwa na utawala wa sheria

    Matajiri wote wanaopigania demokrasia maana yake wawe na uhuru wa kupanga bei za bidhaa bila hata kuangalia mnyororo wa udhalishaji. Moja wapo ya njia hizo ni kutengeneza cartels. Matajiri wanakubalia bei ya soko ili kusiwe na ushindani makampuni ya mtandao ya simu ni mfano mzuri.
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kujengewa nyumba yake, Mwenye Nyumba awaita maaskari wa Uhamiaji kuwakamata wajenzi waliojenga nyumba hiyo

    Mkazi mmoja wa Maryland nchini Marekani anadaiwa kusubiri hadi wafanyakazi wahamiaji walipowasili kuanza ukarabati wa nyumba yake kabla ya kuwapigia simu maafisa wa Uhamiaji na Forodha (ICE). Tukio hilo lililotokea mjini Cambridge lilirekodiwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Leo ni siku ya sheria : Dah! Inakosa mvuto kwa vile Tanzania hakuna utawala wa sheria

    Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria? Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa sheria ufuate mkondo. Kwanini CCM waliongia mkataba na Mwekezaji Rashidi walimruhusu abomoe bila kulalamika?

    Kwamba muwekezaji Rashid ni mjinga aamke na kuanza kubomoa kama mwehu bila kuogopa mali za watu? Eneo ni mali ya CCM chama cha mafisadi nawezi. Kwanini alipokuwa anabomoa hao CCM wapo kimya? Serikali inaingilia vipi wakati hawana mkataba na Rashidi? Rashid kwanini hukumpiga ngumi nzito...
  14. JamiiForums Tanzania Maelfu waingia mtaani kuandamana Bulgaria. Wananchi wanataka haki na Uchaguzi huru

    Maelfu ya raia wa Bulgaria wamefanya maandamano jumatano kupinga Serikali inayomaliza muda wake ambapo waandamanaji hao wanadai uchaguzi wa haki na mabadiliko katika mfumo wa mahakama ili kupambana na rushwa iliyokithiri nchini humo. Maandamano hayo yalifanyika katika mji mkuu sofia na miji...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
  16. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na utawala wa sheria , Kikwete angekuwa jela kama Nicolas Sarkozy wa Ufaransa

    Hivyo tu yaani. Maana kuna mambo yanatugharimu kama taifa kwa sasa. Hili lilikuwa ni chaguo lake kama running mate wa baba Jesy.. kumbe kete za draft zilikuwa zinapushiwa kuanzia 10 to 20 years kwa ajili ya kutengeneza mazingira... Anyway siwezi kuwaambia kila kitu. Nyie ni watu wazima...
  17. JamiiForums Tanzania Trump alazimisha kushitakiwa kwa aliyekuwa mkuu wake wa zamani wa FBI, James Comey

    James Comey mkuu wa zamani wa FBI ambaye katika kipindi chake Trump alichaguliwa rais kwa mara ya kwanza sasa atafikishwa mahakamani baada ya muendesha mashitaka chawa wa Trump aliyepachikwa muda mfupi kukubali maelekezo kutoka juu kumfungulia kesi. Muendesha mashitaka mwingine mzoefu wa muda...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwansiasa Kenya ashauri EAC isijikite katika Biashara tu ifike hatua kuwatenga wale wasiofuata utawala wa sheria na demokrasia

    GT Naona kaamuamua kupiga dongo. Baadhi ya viongozi kiaina.. anasema hakuna maana yakuwa na ushirikiano na watu wakandamizaji wa demokrasia. === During the EALA games opening ceremony, Mombasa senator Omar Hassan took stage and urged East African leaders to fight for common standard and strive...
  19. JamiiForums Tanzania Polepole, usisahau nchi au taifa lolote la Maana Msingi wake ni Mambo haya Makuu matatu; Chama chako kinavunja Msingi Mkuu wa taifa, hayo ni matokeo

    Mpo Salama! Taifa lolote la Maana, ndoto ya watu ni lile linalojengwa katika Misingi Mikuu miitatu; 1. Utawala Bora na Sheria (Good Governance and Rule of Law) Huu ni kama msingi wa nyumba. Bila utawala bora hakuna amani, hakuna haki, hakuna maendeleo. Sheria hutuliza, huongoza, na hutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…