utawala wa magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Godbless Lema: Hata Mbowe naye alikimbia Nchi wakati wa Magufuli sio sisi tu

    https://www.youtube.com/watch?v=BZquug8cV1s Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 mkoani Dar es Salaam, kuhusu...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushenzi wa kutekana ni matunda ya utawala wa Magufuli

    Ninaita ushenzi kwakuwa ni matukio ambayo mtu mwenye akili timamu hawezi kuyashangilia wala kuyafanya. Matukio ya kuuana na kutekana yapo worldwide ila kwa Tanzania kutekana kulirasimishwa rasmi 2015/2016 mara tu baada ya Magufuli kuingia madarakani. Sasa wale vijana watekaji wapo bado pamoja...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Genge la Mafisadi na Viongozi Wastaafu waliotumika kuchafua Utawala wa Magufuli

    Hizi ni habari za ndaaaaaani kabisa ambazo wengi hawazijui na wengine wanazijua ila wameamua kunyamaza kwa sababu kadhaa. Magufuli hakuwa Malaika. Hilo lazima tukubaliane kama Binadamu kama Rais kuna makosa alifanya. Tuendelee na mada yetu. Mara baada ya Magufuli kuingia madarakani haraka sana...
  4. F

    Wakati mambo makubwa ya utawala wa Magufuli yakitazamiwa kufichuka siku za usoni, Mbowe anahitajika sana kuendesha maridhiano ya hatua ya pili.

    Eric Kabendera ameandika mengi ya kustaajabisha kuhusu hayati John Magufuli aliyekuwa rais wa awamu ya 5 Tanzania. Ukweli kuhusu walipo akina Ben Saanane na Azorly Gwanda umewekwa wazi katika kitabu hicho. Wakati umma ukiwa na taarifa pengine za kuweza kuaminini kwa kiasi kikubwa, inashangaza na...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  6. A

    Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  7. A

    Tujikumbushe kidogo na kauli na majibu tata kwenye utawala wa Magufuli

    Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, alijulikana kwa majibu yake ya moja kwa moja na mara nyingi yenye utata alipokuwa anaulizwa maswali na waandishi wa habari au umma. Hapa ni baadhi ya mifano ya majibu yake kwenye maswali yaliyomuulizwa wakati wa utawala wake: 1. Kuhusu Uchumi na...
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Wachungaji, Maaskofu na Manabii ambao mlikaa kimya kipindi cha Magufuli acheni unafiki. Fungeni vinywa vyenu mtulie kimya msubiri jehanamu

    Sasa kila sehemu wachungaji, manabii na watumishi wengine hasa Wakristo wako on fire kukemea vitendo vya utekaji na uuaji. Hawa watumishi wako madhabahuni zaidi ya miaka 10. Miili ya watu iliokotwa kwenye viroba wengi walikaa kimya. Utekaji ulikithiri wengi walikaa kimya. Eti leo wanajifanya...
  9. Bulelaa

    Nimekumbuka maisha ya siasa enzi za Hayati Magufuli (JPM) siasa ilichangamka buana, na wananchi kwa ujumla wake!

    Enzi za (JPM) hata aliyekuwa kilaza wa siasa, alivuma Enzi za JPM, kila raia alikuwa akitamani kushinda kwenye luninga akiangalia matukio ya siku hiyo Huku mzee wa kuwasukuma ndani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora mzee Mwaniri, alichangamsha mkoa huo Dar es salaam akiwapo kijana maarufu...
  10. J

    Kwanini Hayati Magufuli aliogopwa sana na Waandamanaji tofauti na Ruto anavyoonewa huko Kenya?

    Maandamano ya CHADEMA yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z. Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha kuwafanya CHADEMA waufyate Lakini hapo Kenya kila wiki Rais Ruto anatoa Vitisho vipya lakini Gen Z...
  11. M

    Zitto ulitaka iundwe tume ya kuchunguza matendo ya kuumiza watu kipindi cha Magufuli. Uko tayari Iundwe ya kuchunguza mambo hayo wakati wa Samia??

    Siyo siri, Inaonekana Samia ameshauriwa au amejishauri kuwa na yeye ageze mambo ya Magufuli ili kutishatisha watu. Inavyoonekana hali ya kisiasa na kiuchumi nchini imewasukuma kuamini kuwa Watanzania wanahitaji kutishwa ili Ule moyo wa ujasiri wa kwenda next level katika kuchallenge matendo ya...
  12. Erythrocyte

    Tido Mhando: Awamu ya Hayati Magufuli imechangia 'Comedy Journalism'

    Hii ni miongoni mwa Kauli alizotoa Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza Dhiki au Matatizo ya uchumi yanavyovikabili vyombo vya habari nchini Tanzania , Tido Muhando. Mhando ameyasema hayo alipotoa hotuba yake kwenye kongamano la Maendeleo ya sekta ya habari linaloendelea Dar es Salaam Ni nini...
  13. figganigga

    Utawala wa Magufuli ulikuwa Msiba uliokosa Matanga

    Nchi ilikuwa Gizani, Wajinga hadi leo wanaamni Magufuli hakuwa fisadi kubwa. Tunafiwa sisi Msiba kwake. Kazi tulifanya sisi kazi Mshahara Watu wa Geita. Kimara wanabomolewa nyimba, lakini Wasukuma wa Mwanza akadai walimpigia Kura Wasibomolewe. Mafisadi akasema ni Wahujumu uchumi, akataka...
  14. BARD AI

    Chungu ya miaka 6 ya utawala wa Hayati Rais Magufuli

    Miaka sita ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ilikuwa mwiba kwa Chadema, inayotimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kwa kuwa zilifunguliwa kesi nyingi zilizowahusu viongozi, wanachama na wafuasi pamoja na kushambuliwa, kuuawa na wengine kutoweka. Licha ya...
  15. Getrude Mollel

    'Hangover' ya propaganda za utawala wa Magufuli zitadumu kwa baadhi ya watu milele

    No doubt Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali. Media zote nchi, binafsi na zile za serikali hadi zile ambazo ziko tu online ambazo hazina usajili wa serikali zilijaa woga...
  16. J

    Kati ya uMagufuli na Samia ni upi umejaa wahuni zaidi? Tuorodheshe matukio ya kihuni

    Wafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli Kwa...
  17. S

    Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

    Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa! Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo! Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Back
Top Bottom